Kumuacha Idd Amin dada afe kifo cha asili tulifanya mfano mbaya sana kwa madikteta

Idd amin aliepuka kifo kwa sekunde kadhaa tu
Najivunia mzee wangu alikwepo front line kumchapa huyo nduli

Magufuli yupo imara hakuna wa kuichokoza nchi yetu

Use your own brain, don’t depend on another man’s brain. Jiwe kafika vp hapa? Nyie mnasababisha wadada waonekane wote wako kama wewe
 
Habari wakuu,

Kitendo cha kumuacha idd amin dada akimbie na kumuacha mpaka afe kwa amani kilikuwa ni mfano mbaya sana kwa madikteta, sasa madikteta wanajua wanaweza kuichezea nchi yetu na wakakimbia bila kuchapwa, huu ulikuwa ni mfano mbaya sana, kosa kama hili tusilirudie tena
Asanteni
....
tapatalk_1565593609614.jpeg
 
Habari wakuu,

Kitendo cha kumuacha idd amin dada akimbie na kumuacha mpaka afe kwa amani kilikuwa ni mfano mbaya sana kwa madikteta, sasa madikteta wanajua wanaweza kuichezea nchi yetu na wakakimbia bila kuchapwa, huu ulikuwa ni mfano mbaya sana, kosa kama hili tusilirudie tena
Asanteni
Hata wanaowapokeaga kama wakimbizi wa kisiasa wanafanya makosa makubwa sana
 
Habari wakuu,

Kitendo cha kumuacha idd amin dada akimbie na kumuacha mpaka afe kwa amani kilikuwa ni mfano mbaya sana kwa madikteta, sasa madikteta wanajua wanaweza kuichezea nchi yetu na wakakimbia bila kuchapwa, huu ulikuwa ni mfano mbaya sana, kosa kama hili tusilirudie tena
Asanteni
Unamaanisha kwamba huyu wasimuache afe kifo cha asili au Mimi sijaelewa??
 
Habari wakuu,

Kitendo cha kumuacha idd amin dada akimbie na kumuacha mpaka afe kwa amani kilikuwa ni mfano mbaya sana kwa madikteta, sasa madikteta wanajua wanaweza kuichezea nchi yetu na wakakimbia bila kuchapwa, huu ulikuwa ni mfano mbaya sana, kosa kama hili tusilirudie tena
Asanteni
Iddi Amini alikuwa muislam safi na alifata mafundisho ya kiislam. Alifanya uislam ndio sababu wenye dini Yao wakamuita apumzike huko Saudia.
 
Mie naona Bora angeichukua Tu kagera ikawa sehemu ya Uganda maana watu wake hawafurahi kabisa kuwa watz.

Yaani wanapangiwa Hadi pa kuuza kahawa waliolima wenyeww
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom