Kumtunza mwanamke kwa lengo la kumridhisha ni kupoteza muda wako

Mi msimamo wangu huwa ni mmoja siyumbishwi,nikisema no ni no ,nikimwambia usirudi kuniletea ishu hizi ndo hivo ,anapata nguvu wapi kuingilia maamuzi yangu,nikiona ushauri mzuri nitauchukua sifanyi kwa kumridhisha kama hawezi aondoke
Ngoja kwanza, umeoa? Kama ndio, ndoa yako ina miaka mingapi? Maanake hu msimamo wako hu uliwashinda MANABII. Mfano Adamu, wengi hua nawasikia wakisema kwamba wakati Hawa/Eva anaongea na nyoka, Adamu hakuwepo pale, sio kweli, Adamu was there leaserning his wife debating with the serpent, huyo mmoja, hivi unajua ugomvi wa Waarabu na Wayahudi ni kwasababu ya baba yao kushindwa kum control mkewe? Mkewe ndio alilazimisha huyu baba wa Imani kulala na house girl, matokeo yake ndio hayo, house girl katengeneza waarabu na yeye mama alikuja kuzaa whats called leo Wayahudi, i think pia unaifahamu vizuri story ya Samson, bongo pia hapa zipo story za wakubwa wetu pia; mwanamke ni kiumbe kingine kabisa, ndio pekee kilicho pata fursa ya kuongea na shetani wakati aliyepata fursa ya kuongea na Mungu ni mwanaume
 
Unaweza ieleza sio wote wanaijua
Kwanza jisajili kuwa "Mtoto wa Mungu" kwa kumwamini na kumpokea Kristo Yesu maishani mwako ikiwa bado hujafanya hivyo. Na kama bado ukitaka waweza kunidokeza kwa nini hujaamua kumkabidhi Yesu "driving seat" ya maisha yako. Je, ni kwa sababu humjui kiundani na hivyo huoni thamani yake maishani mwako au?. Nasisitiza hili kwa sababu hata "Ndoa" ni Yesu ndiye aliyeiumba (Soma Yohana 1:1-3). Si hivyo tu lakini pia ndiye anayejua kwa nini alikuumbia hamu ya kuwa na "Mwenza" na anajua wapi alipo huyo "Mwenza" aliyekuumbia(kumbuka kuna tofauti kati ya "Mwenza mwema" na "Mwenza sahihi"). Usajili huu ni muhimu kuliko unavyoweza kudhani kwa sababu kwa kufanyika mtoto wa Mungu,Mungu anakuwa Baba kwako hivyo anatake full responsibility ya maisha yako kadiri unavyompa nafasi. Pili,tafuta kujua kilichomsukuma Mungu kuiumba ndoa ni nini na alitaka ndoa iweje.Je,nafasi yako kama mume au kama mke kwenye ndoa ni nini kwa mujibu wa Mungu(sikufichi hapa duniani tunapotoshana kwa mengi). Mungu ndiye anayejua siri za kila alichokiumba. Tatu,usithubutu kujiroga "kutongoza" maana kwa kufanya hivyo utakuwa umempa Ibilisi nafasi ya kukusogezea akina "Delila" wazitwae "Nguvu" zako. Badala yake soma na tafakari
Mithali 3:5-6 kisha mwambie Mungu mfano wa maneno haya tena mwambie mara moja tu maana sikio lake sio zito mwambie "Baba asante kwa neema yako ya uhai na uzima katika Kristo Yesu,nimejiwekea kiapo nafsini mwangu kwamba sitathubutu kuenenda kwa kuzitumainia akili zangu mwenyewe ikiwemo kujitafutia Mwenza wa maisha nikijua kwamba maisha yangu yote yapo mikononi mwako. Wewe ulianza na natamani wewe ndio umalize. Kwa wakati na kwa namna ifaayo mbele zako naamini utanikutanisha na mwenzangu uliyeniumbia". Halafu subiri SURPRISE huku ukiendelea na maisha yako. Hapo ndipo utakapojua na kuamini zaidi kwamba Mungu yupo na anajihusisha sana na mambo ya "watoto wake". SIRI HII NI YA AJABU. Mimi ni shahidi wa hili.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Nawani changamoto iliyopo kwa sasa ni namna maisha yanaendeshwa bila utaratibu maalumu na vijana tunajiendeshea maisha kwa ushauri au maneno ya kiholela yasiyo na msingi.

Maneno ambayo yanajenga mwenendo wa wanawake kuhisi wao ni muhimu zaidi kuliko wanaume linapokuja swala la mahusiano jambo ambalo si kweli.

Unapokuwa katika mahusiano umuhimu wako upo katika mchango wako unaotoa kwa mwenzako kwanza na pili katika uhusiano. Pesa ni swala muhimu ila sio la kwanza kabla ya kuanza kuishi pamoja.

Mahusiano mengi Leo yanachangamoto sababu ya kuendeshwa na msingi wa pesa kwanza. Ni kweli inahitajika pesa katika kufanya mahusiano ila pesa sio msingi wa mahusiano.

Kama mwanamke unahisi unahitaji sana pesa kiasi kwamba kila mwanaume anaekuja unampima kwa uwezo wake wa kukugawia pesa then hebu jaribu kutafuta zako then wewe ugawe kwa namna ile ile unapenda upewe uone utakavyojisikia ila sio umlazimishe mtu akupatie pesa na haujui anatafutaje.

Na kama utaona ambaye hakupi pesa hastaili kuwa nawe basi weka wazi kuwa wewe ni kahaba na mtu akija na hela akufanye vyovyote anataka bila kupangiwa au masharti ikibidi akuite majina yoyote anayotaka ikiwamo 'malaya'.

La hautaki hiyo unataka heshima ya kuwa mke wa mtu then behave like one......
 
Kwanza jisajili kuwa "Mtoto wa Mungu" kwa kumwamini na kumpokea Kristo Yesu maishani mwako ikiwa bado hujafanya hivyo. Na kama bado ukitaka waweza kunidokeza kwa nini hujaamua kumkabidhi Yesu "driving seat" ya maisha yako. Je, ni kwa sababu humjui kiundani na hivyo huoni thamani yake maishani mwako au?. Nasisitiza hili kwa sababu hata "Ndoa" ni Yesu ndiye aliyeiumba (Soma Yohana 1:1-3). Si hivyo tu lakini pia ndiye anayejua kwa nini alikuumbia hamu ya kuwa na "Mwenza" na anajua wapi alipo huyo "Mwenza" aliyekuumbia(kumbuka kuna tofauti kati ya "Mwenza mwema" na "Mwenza sahihi"). Usajili huu ni muhimu kuliko unavyoweza kudhani kwa sababu kwa kufanyika mtoto wa Mungu,Mungu anakuwa Baba kwako hivyo anatake full responsibility ya maisha yako kadiri unavyompa nafasi. Pili,tafuta kujua kilichomsukuma Mungu kuiumba ndoa ni nini na alitaka ndoa iweje.Je,nafasi yako kama mume au kama mke kwenye ndoa ni nini kwa mujibu wa Mungu(sikufichi hapa duniani tunapotoshana kwa mengi). Mungu ndiye anayejua siri za kila alichokiumba. Tatu,usithubutu kujiroga "kutongoza" maana kwa kufanya hivyo utakuwa umempa Ibilisi nafasi ya kukusogezea akina "Delila" wazitwae "Nguvu" zako. Badala yake soma na tafakari
Mithali 3:5-6 kisha mwambie Mungu mfano wa maneno haya tena mwambie mara moja tu maana sikio lake sio zito mwambie "Baba asante kwa neema yako ya uhai na uzima katika Kristo Yesu,nimejiwekea kiapo nafsini mwangu kwamba sitathubutu kuenenda kwa kuzitumainia akili zangu mwenyewe ikiwemo kujitafutia Mwenza wa maisha nikijua kwamba maisha yangu yote yapo mikononi mwako. Wewe ulianza na natamani wewe ndio umalize. Kwa wakati na kwa namna ifaayo mbele zako naamini utanikutanisha na mwenzangu uliyeniumbia". Halafu subiri SURPRISE huku ukiendelea na maisha yako. Hapo ndipo utakapojua na kuamini zaidi kwamba Mungu yupo na anajihusisha sana na mambo ya "watoto wake". SIRI HII NI YA AJABU. Mimi ni shahidi wa hili.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Amen
 
Hahahaaaaa. Hapana mtu sahihi sio pesa. Ukimpata huyo mtu sahihi yaani aliyeumbwa kwa ajili yako mbona hizo pesa utatamani umpe zote.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Ukipata Mwanamke wa kibiblia umepata yote.Ukimpa mwenye sumu umekosa yote ni bora ukaishi juu ya dari kuliko kuishi na poison woman.
Ndoa ni heshima utii na kauli Hakuna hivi vitatu ni ngumu kudumu.
 
Minawake mingine hata uwape nini hawaliziki wala kutoa shukurani. Wanasahau wema uliowafania. Akili za wanawake bwana,,,wachache wanajielewa a na wenye huruma
 
Back
Top Bottom