The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,817
Kuna wengine wanasomesha kabisa
Wewe age go unajua ku-drive kweli? Anyway, ni hivi huyo mumeo amepata mke bora anayetambha majukumu yake(wewe), na ndiyo maana kakupa usafiri. Wanaume hatutoi toi tu magari na huduma hovyo kwa watu wasio na sifa za kuwa wake bora. Wewe ni mke bora na ndiyo maana umepata vyote, unastahili. La sivyo, mpaka muda huu ungeota sugu kwa kuhemea dala dala, na kusonga ugali. Mshukuru Mungu.
Kwa hiyo kitendo cha Adam kushuhudia mkewe akibishana na nyoka, hii inamaanisha mwanamke ni hatari?Ngoja kwanza, umeoa? Kama ndio, ndoa yako ina miaka mingapi? Maanake hu msimamo wako hu uliwashinda MANABII. Mfano Adamu, wengi hua nawasikia wakisema kwamba wakati Hawa/Eva anaongea na nyoka, Adamu hakuwepo pale, sio kweli, Adamu was there leaserning his wife debating with the serpent, huyo mmoja, hivi unajua ugomvi wa Waarabu na Wayahudi ni kwasababu ya baba yao kushindwa kum control mkewe? Mkewe ndio alilazimisha huyu baba wa Imani kulala na house girl, matokeo yake ndio hayo, house girl katengeneza waarabu na yeye mama alikuja kuzaa whats called leo Wayahudi, i think pia unaifahamu vizuri story ya Samson, bongo pia hapa zipo story za wakubwa wetu pia; mwanamke ni kiumbe kingine kabisa, ndio pekee kilicho pata fursa ya kuongea na shetani wakati aliyepata fursa ya kuongea na Mungu ni mwanaume
Kwa hiyo unasema mwanamke ni kiumbe 'kingine kabisa' kwa kuongea na shetani sio? Na je, tumuiteje mwanaume aliyeongea na Mungu ambaye ni mkubwa mara dufu kuliko huyo shetani?Ngoja kwanza, umeoa? Kama ndio, ndoa yako ina miaka mingapi? Maanake hu msimamo wako hu uliwashinda MANABII. Mfano Adamu, wengi hua nawasikia wakisema kwamba wakati Hawa/Eva anaongea na nyoka, Adamu hakuwepo pale, sio kweli, Adamu was there leaserning his wife debating with the serpent, huyo mmoja, hivi unajua ugomvi wa Waarabu na Wayahudi ni kwasababu ya baba yao kushindwa kum control mkewe? Mkewe ndio alilazimisha huyu baba wa Imani kulala na house girl, matokeo yake ndio hayo, house girl katengeneza waarabu na yeye mama alikuja kuzaa whats called leo Wayahudi, i think pia unaifahamu vizuri story ya Samson, bongo pia hapa zipo story za wakubwa wetu pia; mwanamke ni kiumbe kingine kabisa, ndio pekee kilicho pata fursa ya kuongea na shetani wakati aliyepata fursa ya kuongea na Mungu ni mwanaume
Sijahusisha age na ku-drive!Umeandika saaaaaaana......
Age yangu unaijua?? Hebu nipe vigezo vya age ya kudrive
Nimekuita 'age go'(kama jina) ila sijahusisha na driving, sawa? Driving inajitegemea hapo!Umeandika saaaaaaana......
Age yangu unaijua?? Hebu nipe vigezo vya age ya kudrive
Hilo jina linakufaa wewe sanaNimekuita 'age go'(kama jina) ila sijahusisha na driving, sawa? Driving inajitegemea hapo!
Wewe ni John Makufuli ?Ndio maana mimi mama Jesca sikuwa na muda nae sana kiasi cha mpaka yeye kunenepa imebidi asubirie mpaka nife
Wewe ni John Makufuli ?
Wewe ni John Makufuli ?
Unajionaje na hali ?Mimi ni hayati kwa sasa
Napitia makubwa mkuuUnajionaje na hali ?
Unaonaje muelekeo wa nchi kwa sasa ?Napitia makubwa mkuu
Hahah ila wewe ni mke mzuri na bora, unaonekana kwa maneno yako! Endelea na moyo huo huo.Hilo jina linakufaa wewe sana
Sawa eeeh!!??
Shetani ana lugha ya ushawishi hence aliyeongea na shetani he/she may look like it au njia atakazo tumia ni hizo hizo, Mungu hashwishi, anaelekeza tena kwa upole na halazimishi ila anatakwambia madhara ya kutofuata maelekezo but again kwa upole; nahisi swali lilikua moja, hilo lingine unataka kuniletea ugomvi na watu, in fact halina wema ndani yake so naomba nisijibu hilo mkuu.Kwa hiyo unasema mwanamke ni kiumbe 'kingine kabisa' kwa kuongea na shetani sio? Na je, tumuiteje mwanaume aliyeongea na Mungu ambaye ni mkubwa mara dufu kuliko huyo shetani?
Unajaribu kutuaminisha kuwa mwanamke ni kiumbe wa pekee mno, sio mbaya ila nijibu tu maswali yangu tafadhali, unaweza kunishawishi.
Umesema kuwa hata Bongo, viongozi baadhi hutawaliwa na wake zao, sio mbaya ila si WOTE.
Kwa hiyo hoja yako/mtazamo wako wa kusema mwanamke ni 'kiumbe mwingine' na kumpa upekee kuliko mwanaume, naona haina mashiko endapo utashindwa kutetea hoja zako kwa kujibu maswali yangu.
Kazi njema!
Umeoa au bado? Hili ndio lilikua swali la kwanza, la pili lilikua, je ndoa yako ina muda gani???? Ukijibu hayo maswali 2 tunaweza kwenda pamoja vizuriKwa hiyo kitendo cha Adam kushuhudia mkewe akibishana na nyoka, hii inamaanisha mwanamke ni hatari?
Halafu mbona kama unalazimisha wengine waamini kama unavyotaka wewe?(huo ni ushamba).
Kwa hiyo kama manabii walishindwa kuwa na msimamo huo, ina maana mimi nitashindwa? Mimi ni hao manabii? Umeshau Mungu kaumba kila mtu kwa personality yake?
Pia, kuhusu suala la Waisrael na Waarabu, una uhakika gani kama Sarah alimlazimisha Abraham azae na kijakazi, na si kumshauri/kumsihi? Nipe andiko lisemalo alimlazimisha!
Nakupa nyongeza tu kwa faida yako, si vema kulazimisha watu tuamini kama unavyotaka wewe.
Mbona ni kama wewe ndie unalazimisha yeye aamini unachokijua wewe.Kwa hiyo kitendo cha Adam kushuhudia mkewe akibishana na nyoka, hii inamaanisha mwanamke ni hatari?
Halafu mbona kama unalazimisha wengine waamini kama unavyotaka wewe?(huo ni ushamba).
Kwa hiyo kama manabii walishindwa kuwa na msimamo huo, ina maana mimi nitashindwa? Mimi ni hao manabii? Umeshau Mungu kaumba kila mtu kwa personality yake?
Pia, kuhusu suala la Waisrael na Waarabu, una uhakika gani kama Sarah alimlazimisha Abraham azae na kijakazi, na si kumshauri/kumsihi? Nipe andiko lisemalo alimlazimisha!
Nakupa nyongeza tu kwa faida yako, si vema kulazimisha watu tuamini kama unavyotaka wewe.