Ndugu wenzangu, unajua Prof Mhongo na Prof Mbwawala pamoja na Dr Mpango ni Majembe sana kwa Magufuri na anayaamini? Sasa mimi nashauri wapinzani wenzangu, tutafuti jinsi ya kuwafinin kwa wananchi kuwa ni wezi na wametoa misamaha ya kodi ovyoovyo.Hili litafanya bunge limutishe Waziri mkuu kujiuzuru au wao waondoke. Na hawa wakiishaondoka yaani deal zote tutapiga kichizi kwani wengine na mwaziri wanaofukuzia madeal. Tumemfiini juzi kuwa amependelea kampuni ya kichina kuwapa kitalu cha gesi lakini imebuma sasa tutumie bunge hili la budget kuwafitini basi wataondolewa. Bila kufanya hivyo akiyanani upinzani baadaye tujilaumu.Uzuri wabunge wengi wa CCM nao hawawapendi kwa hiyo tunaweza kupata sapport yakuwanywa hawa.