Kumteua mtu kuwa balozi, kumtengua na kumfikisha Mahakamani, idara inayofanya VETTING, na kushauri uteue ijitafakari

Mzee, make unatafuta peke yako,mteule anatafutwa na taasisi
Hiyo vetting inatafuta malaika? Wstu wamekuwa wajinga sana siku hizi, wanauliza urojo tu! Mke ambaye mnatafuta miaka na kwenda nae kanisani/msikitini anabadilika na unamuacha, ndo ije kuwa nafasi za uteuzi!
 
Vetting ipo,vetting inahusu watu,sifa zao,maadili yao na utu wao,maamuzi yao na nguvu ya kumshawishi Raisi.
Tuseme kabla ya kulalama yabidi kupata picha halisi,unless your insider.
 
Sioni tatizo kama serikali haikujua baadhi ya mambo kabla, na sasa imejua inachukua hatua. Ingekuwa sio vyema kama haikujua, sasa imejua iendelee kumkumbatia. Ni sahihi inavyofanya, na mahakama ikukuta hana hatia aendelee na majukumu yake. Tuache chuki na unafiki, serikali ikikosea ni vyema tuiseme, na ikifanya zuri tuipongeze.
 
Mkuu ungemsoma vizuri ungenikubalia kuwa wewe ndio akili zako mbovu. Binadamu hatabiriki kwa kiasi hicho. Ebu tupe huo uchunguzi uliofanya (vetting) kwa mkeo kuhakikisha kuwa una "ideal wife". Kwa majibu yako yasiyo na staha huenda mkeo anajilaumu kwa kuolewa na wewe pia. You are not perfect as I am as any other human being can be, huo utimilifu wa kumtafuta mke wa kuolewa na wewe malaika sijui utaupataje. Sikutaka kuingia kwenye mkumbo wa kutumia maneno mazito lakini ni vizuri kueleweshana.

QUOTE="sifi leo, post: 29321376, member: 75839"]Akili zako ni mbovu! Kbla ya kuoa unatakiwa uchunguze na upate historia ya unae taka kumuoa! Sio huoe ndo uchunguze[/QUOTE]
 
Mkuu hao high profile wanaotumbuliwa na Trump kila siku unawasemaje? A human being remains unpredictable!
Mkuu Nod, FBI walishamtonya Trump kupitia kwa Obama kwamba Lt. Gen. Flynn alikuwa "compromised" na Russia hakusikia. Matokeo yake unayajua. Kwa wenzetu "vetting" ipo tena kali mno.!
 
Mkuu hao high profile wanaotumbuliwa na Trump kila siku unawasemaje? A human being remains unpredictable!

Toka lini kosa la pili hulifanya kosa la kwanza kuwa sio kosa? Kwa kuwa kwa Trump wanafanya kosa hilohilo inahalalisha sisi kulifanya?
 
Kwani kuna nchi Dunia ambayo haikuwai kiongozi mkuu kutengeua nafasi ya mtu fulani ambae hakufanya vizuri katika utendaji wake? mara ngapi tunasikia kesi huko nje mpaka kwa maraisi wastafu kuwa walitumia madaraka yao vibaya?
 
Siyo rahisi kukisia tabia ya binadamu kwa maisha yake yote. Hiyo siyo kwa Trump tu ni dunia nzima na mifano ipo! Strauss Kahn wa IMF?

mpata binadamu
Toka lini kosa la pili hulifanya kosa la kwanza kuwa sio kosa? Kwa kuwa kwa Trump wanafanya kosa hilohilo inahalalisha sisi kulifanya?
 
Vetting ni probability! Siyo rahisi kukisia tabia ya binadamu kwa maisha yake yote 100%. Wanakisia viashilia vya kuwa na tabia fulani. Hiyo siyo kwa Trump tu ni dunia nzima na mifano ipo! Strauss Kahn wa IMF na high profile viongozi wengine hapa Tanzania toka enzi ya mwalimu na duniani kote? Nachosema ni kuwa vetting ilifanyika ila people do change. Kosa la Kidata labda mwenzetu unalijua utueleze. Au unamwelewa vizuri to conclude that he was useless from the beginning

Mkuu Nod, FBI walishamtonya Trump kupitia kwa Obama kwamba Lt. Gen. Flynn alikuwa "compromised" na Russia hakusikia. Matokeo yake unayajua. Kwa wenzetu "vetting" ipo tena kali mno.!
 
Kitendo cha Rais,kuteau,kutengua na kumfikisha mteuliwa na mtenguliwa mahakani, maoni yangu naomba idara inayousik na kufanya Vetting na pia kumshauri Rais ateue,atengue ijitafakari kiutendaji!

Naomba uzi huu uambatanishwe na ule ambao niliwai kumuuliza Rais alikuwa amefanya vetting mpaka akamteua mtu fulani kuwa mteule?

Naomba kuwasilisha.
Ni kama ndizi
Ikiwa changa ikachumwa ni chakula cha mifugo
Ikikomaa huchumwa na kupikwa kama chakula cha binadamu
Ikikomaa na kuiva haipikwi tena bali huliwa kama tunda..
Ni kitu kile kile katika nafsi tatu tofauti... Lakini huathiriwa na nyakati
 
Kama vetting isingekuwepo we hapo ulipo usingekuwepo, pia jua kwamba kuna vetting na after hiyo kuna performance ya mtu ambayo inategemea utashi wake binafsi kwahiyo usimpaumu aliyefanya vetting
 
Back
Top Bottom