Kumtesa mtu yuko uchi huku unamrekodi video ni unyama mkubwa

Hao mapolisi wanaotesa watanzania wenzetu hatutawapumzisha kamwe unyama mlioufanya kwa watu wasio na hatia mtajibu.

Komando Lingwenya alisema aliteswa mateso makali akiwa uchi wa mnyama huku wakimrekodi video kwa simu.

Mdude alisema hivyo hivyo eti ata wanawake wanavuliwa nguo na hao mapolisi wanateswa na kurekodiwa juu,, Mdude anasema Kuna mdada mmoja alikuwa chumba Cha pili kutoka alichokuwa mdude,, unaambiwa alivyokuwa analia kwa kuteswa hajui walikuwa wanamtesa na nini.

Halafu unavuliwa nguo Kama ni mwanaume anakuja askari wa kike anaupiga uume wako halafu anakuambia simamisha, what a humiliation .

Wanawake wanaoteswa vituoni wanavuliwa nguo na kuteswa uchi( sio maneno yangu ni ushuuda wa Mdude, Lingwenya na Adomo)

Mlaaniwe nyie Askari mnaodhalilisha watanzania wenzetu,, lakini pia mbalikiwe Askari mnaotenda haki.
Nikiwa sebleni kwa shemeji yangu na king'amuzi ameshakilipia huku na subiri dada apike ugali na nyama nile..halafu Askari vinalipwa pesa mbuzi tarehe kama hizi wanapumulia gesi
 
Lissu ana eskipiriensi zaidi baada ya kujifanya kiherehere na wakili msomi mbele ya jamhuri na mamlaka zake😅!

You have a freedom of speech but your freedom after speech is questionable!
Kule n noma mzee ukiitwa kule jitahidi kutoa ushirikiano fasta ukijidai mwanasheria utajua kuwa ulikuwa hujui
 
Mungu awalaani kina Kingai, Mahita, Goodluck, Jumanne,na wengine wote wanaohusika. Alaani na vizazi vyao vyote viwe na dhiki kuu na magonjwa yasiishe miongoni mwao. Wameua watu,wametesa,wamebambikia watu kesi nk..
 
Uzuri wake wameshaanza kujulikana kwa uwazi kabisa. Bila kusahau kuwa wanafamilia na wao wenyewe wako so open. Kama haki haipatikani hata mahakamani basi itapatikana mtaani.
Kina Hamza na wenye weredi watapatikana wengi tu against polisi this time.
Sitamani yatokee yale ya baada ya uchaguzi wa 2000 wazanzibari kuvamia nyumba za polisi na kuwachinja mmoja mmoja!!
Ata wakijulikana utawafanya kitu gani Wana Nguvu? Apo kuomba mungu awape tu ajari
 
Unafikiri mtuhumiwa wa ugaidi anahojiwa kwa kubembelezwa? Nyie vipi Nyie haya mambo mnayaelewa kweli au mnaleta tu huruma za kipuuzi kwenywe usalama wa nchi.
Dunia duara ata wewe unaweza kuwa suspect wa ugaidi
 
Unamaanisha ni lazima iwe Hotel ili mtumishi apate vifaa stahiki mahali pa kazi?

Sijui kama umefikiria kuwa karibu 80% ya maisha yako unayatumia mahali pa kazi?

Kwamba, sehemu kubwa ya maisha yako unaitumia na wale waliokuzunguka kwenye kutafuta ridhiki!

Kama utasubiri wakufanyie kwakuwa si hotel, ni sawa!
Serikali za kiswahili kukuboreshea mazingira ya Kazi utasubiri sana,wao wanaamini ni kupoteza pesa, kuliko kuboresha maisha na mazingira ya Kazi mfano Mwalimu ni heri kununua ndege,Kati ya ndege na walimu kipi ni tija kwa taifa.
 
Unaelewa maana ya mtuhumiwa?
Ukishamtesa halafu ukakuta hausiki unamrudishiaje haki yake?
Unafikiri mtuhumiwa wa ugaidi anahojiwa kwa kubembelezwa? Nyie vipi Nyie haya mambo mnayaelewa kweli au mnaleta tu huruma za kipuuzi kwenywe usalama wa nchi.
 
Jeshi letu ni la ovyo kuliko majeshi yote dunian, ukiwaona wakiwa ndani ya magwanda unajisemea hawa si ndio watu sasa!!, kimbembe litokee tukio la kweli kuwapima uwezo wao mf our hero Hamza nk ndio utakapojihirisha kwamba hamna kitu kabisa.
 
Uzuri wake wameshaanza kujulikana kwa uwazi kabisa. Bila kusahau kuwa wanafamilia na wao wenyewe wako so open. Kama haki haipatikani hata mahakamani basi itapatikana mtaani.
Kina Hamza na wenye weredi watapatikana wengi tu against polisi this time.
Sitamani yatokee yale ya baada ya uchaguzi wa 2000 wazanzibari kuvamia nyumba za polisi na kuwachinja mmoja mmoja!!
Ndo kilichobaki
 
Unafikiri mtuhumiwa wa ugaidi anahojiwa kwa kubembelezwa? Nyie vipi Nyie haya mambo mnayaelewa kweli au mnaleta tu huruma za kipuuzi kwenywe usalama wa nchi.
Siku akiojiwa mama yako hivyo utatia akiri
 
Wewe nae kipumbu tu, usitufanye tupigwe ban humu.
Onesha mabomu bunduki vifaa vya kukatia miti barabarani vilivyotakiwa kufanyiwa ugaidi.

Kuna wakati nchi ilikuwa na ujambazi uliokithiri,palifanyika operation ya kukamata majambazi.
Nakumbuka alikuwa jambazi akikamatwa Dar, alikula kipondo mpaka ataje wenzie wapo wapi na siraha wameficha wapi.

Siraha popote ilipo ikitajwa tu, zambazi linatiwa kwenye defender inafuatwa ilipo, mkoa wowote.
Zilikusanywa nyingi sana.

Hao mnaowaita magaidi uliwakuta na siraha?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Wafuasi wa Kingai hao
 
Unajua mwanafasihi hua anakuza jambo ili lilete simanzi kwenye Jamii ili Jamii imuonee huruma
 
Back
Top Bottom