Ujinga wa watanzania watafuta vyeo wacha wamsifu huyo maushungi!Uko sahihi. Bunge linapitisha bajeti lkini kila anasems Samia katoa hiki au kile huu ni unsfiki kwani wskisema serikali tatizo ni nini.
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Hii tunaita 'unyumbu' ambapo tunaodhani wanauwezo mzuri wa kufikiri wanapo acha kutumia akili zao wenyewe, badala yake kufwata mkumbo 'kutumia akili za wengine'Namshukuru sana aliyeleta mada hii leo! Imenikera sana kwa miaka sita na bado wameendeleza katika awamu hii!
Je makampuni yakijenga daraja ama barabara tunataja jina la mkurugenzi???
Mbona tunasema Azam, CRDB, EXIM! ASAS na kadhalika!
Awamu zote isipokuwa ya mwendazake na hii ya sita tulizoea kusikia “serikali imeagiza ama imefanya hiki na kile””
Kwa mfano wakati wa Mlm Nyerere sikuwahi kusikia Nyerere kajenga daraja. Ilikuwa ni serikali na ni vema iwe serikali kwani neno serikalili linajumuisha wananchi!!
Ninasikitika kuona wanataka kuendeleza mambo mabaya ya awamu iliyopita!!
Please stop it inawaaibisha!! Inatuaibisha wote!!
Tunakuwa kama watoto wadogo!!
Baba amenunua shati, baba amenunua nyumba lakini hapa ikiwa na maana afadhali ijapo mama hatajwi!!
Lakni kodi zetu anapewaje Rais halafu useme ni ya rais na ndiye kajenga??????
Ndiyo maana hakuna maendeleo ta watu binafsi Tanzania. Wananchi wameaminishwa kuwa ni rais anaywrakiwa kuwalisha, kuwabeba, kuwapa dawa, nk.
Tuwe wakweli tuwaambie wananchi kuwa serikali imehenga kwa kodi zao na imeshindwa kujengakwa sababu kodi zao hazikutisha!!
Hapo watu watajua faida ya kodi na watahenga ownership na kutunza raslimalu yao!!
Please stop it!!!
Hakuna serikali ya rais fulani hapa.Wanatakiwa waseme Serikali ya mh Rais Samia imefanya x,y na z sio kusema Rais amefanya x,y z au kaleta hiki au kile ..huu ni ujinga
Basi Baki na ujinga wako,subiria chadema waingie ikulu ndio uje useme serikali ya wananchiHakuna serikali ya rais fulani hapa.
Serikali ni ya wananchi.Sijui watu wanajipendekeza ili wapate nini!Tuache ujinga na woga uliopitiliza.
Naomba namba ya hako kademu,hakana kazi tena kako kijiweni katagongwa mpakaSimbachawene kasema ukimsemasema rais Samia anatuma hawa vijana wake kukukamata
View attachment 1948657
Na kuchukia wenye mawazo chanya yanayoijenga jamiiUmaskini wetu uko kila mahali hadi kwenye akili..Tuna umaskini wa fikra,elimu na kipato alafu matajiri wa unafiki,majungu,tamaa na mengine yafananayo.Kwahiyo usishangae hayo.Ni matokeo ya jinsi tulivyo.
Acha upumbavu.Basi Baki na ujinga wako,subiria chadema waingie ikulu ndio uje useme serikali ya wananchi
DuuuuhKuna baadhi ya vitu yani kama ni binadamu wa kawaida kabisa vinatia kichefuchefu sana.
Hivi ni kweli kwamba kila kitu kinachofanyika katika nchi hii na vingine ni vya aibu na vingine wala Rais hauhusiki ktk kuvifanya , Je ni lazima kumtaja. 'Rais anakwenda kufanya. Rais anakwenda kufanya..'
Hivi ni kweli kwamba Marais wa nchi hii wanataka kuwa acknowledged namna hiyo hata kwa vitu ambavyo vinatia aibu. Hii si sawa kabisa na huu ni utopolo na umakolo wa hali ya juu kabisa.
Sidhani kama Rais Samia anahitaji sifa za hovyo namna hiyo na nyingine za aibu. Nafikiri Viongozi na Watumishi serikalini muache kujipendekeza.
Kuna habari moja ya aibu nimeitizama TBC muda si mrefu. Kuna shule huko Morogoro , Matombo sekondari. Tangu uhuru hakuna muundo mbinu wowote ambao Serikali imewahi ongeza..shule hiyo ilijengwa na mkoloni. Sasa kuna madarasa ma nne tu nasisitiza Ma NNE TU..serikali ya CCM ndo imeona iyajenge leo, 60 years later since colonial era anatajwa Rais Samia... "Rais Samia anakwenda kujenga vyumba vinne...'' what in the hell is this?
Embu Rais atajwe katika mambo ya msingi.. Mambo mengine kumtaja Rais ni kumtukana. Ifike mahala tuache potosha wananchi. Miradi mingine ni ya Wananchi.. Aibu.
Mambo kama haya ndio yanawapa watu hawa utukufu na kujikuta wao ni Miungu hapa duniani. Na ndio maana mtu anaweza simama mbele za watu na kusema 'nitaenda kuwa viongozi wa malaika...' ujinga kabisa. Kumbe sisi wenyewe ndo tumewajaza Ufalme Juha... Ukuu uliopitiliza na Utakatifu.
Tuache Ujinga huu.
AIONE SSH.
Na ndio tatizo la kumwabudu Jiwe lilikoanzia likiongozwa na Prince Bashite.Awamu ya jiwe hili jambo ndipo lilishika hatamu, hii ni legacy mojawapo ya mwendazake