Kumtaja Rais kila mara hata kwa vitu vya ovyo ni aibu, tujirekebishe

Namtaja Mara kibao ili ukerekwe vema mkuu.
Rais wangu Mama Samia nampenda Sana.
Rais wangu Mama Samia namkubali Sana
Rais wangu Mama Samia Ni mwanamke shupavu!
Rais wangu Mama Samia Ni Kiongozi MAHIRI.
 
Ummy Mwalimu huko morogoro et "Rais Samia anakwenda kuweka historia ya kujenga madarasa manne ktk shule ya matombo"

Yani unabaki unajiuliza hivi wanajielewa kweli hawa mawaziri na wengine wataja rais rais rais kila kitu?!!! Hovyo Tanzania
Yani ni mambo ya hovyoo.
Yahi hawa jamaa wanatuonaje!??
 
Sasa tupo burundi wanatukamataje ..au ndio watavuka kama malawi ..tunaenda Guinea watufate kwa Mamadi Damumbaya 🤣🤣🤣🤣🤣
IMG_20210922_171548.jpg
Malawi hawataki ujinga.
 
Hivi mara,Rais katupa billion .......je
anakuwa ndo katoa mfukoni mwake, au serikali yake ndo imetenga pesa kwa ajili ya shughuli x,y,z... kaaazi kwelikweli.
Na miradi ambayo ni ya wananchi ambayo ni wananchi, wanakijiji, wakinamama.. watajwe hao.

Na pesa sio za Rais.. hili lieleweke vizuri.
 
Kuna baadhi ya vitu yani kama ni binadamu wa kawaida kabisa vinatia kichefuchefu sana.

Hivi ni kweli kwamba kila kitu kinachofanyika katika nchi hii na vingine ni vya aibu na vingine wala Rais hauhusiki ktk kuvifanya , Je ni lazima kumtaja. 'Rais anakwenda kufanya. Rais anakwenda kufanya..'

Hivi ni kweli kwamba Marais wa nchi hii wanataka kuwa acknowledged namna hiyo hata kwa vitu ambavyo vinatia aibu. Hii si sawa kabisa na huu ni utopolo na umakolo wa hali ya juu kabisa.

Sidhani kama Rais Samia anahitaji sifa za hovyo namna hiyo na nyingine za aibu. Nafikiri Viongozi na Watumishi serikalini muache kujipendekeza.

Kuna habari moja ya aibu nimeitizama TBC muda si mrefu. Kuna shule huko Morogoro , Matombo sekondari. Tangu uhuru hakuna muundo mbinu wowote ambao Serikali imewahi ongeza..shule hiyo ilijengwa na mkoloni. Sasa kuna madarasa ma nne tu nasisitiza Ma NNE TU..serikali ya CCM ndo imeona iyajenge leo, 60 years later since colonial era anatajwa Rais Samia... "Rais Samia anakwenda kujenga vyumba vinne...'' what in the hell is this?

Embu Rais atajwe katika mambo ya msingi.. Mambo mengine kumtaja Rais ni kumtukana. Ifike mahala tuache potosha wananchi. Miradi mingine ni ya Wananchi.. Aibu.

Mambo kama haya ndio yanawapa watu hawa utukufu na kujikuta wao ni Miungu hapa duniani. Na ndio maana mtu anaweza simama mbele za watu na kusema 'nitaenda kuwa viongozi wa malaika...' ujinga kabisa. Kumbe sisi wenyewe ndo tumewajaza Ufalme Juha... Ukuu uliopitiliza na Utakatifu.

Tuache Ujinga huu.

AIONE SSH.
Vyomb vya habar viwajibishwe kwanza
 
We still undergo the hang over of worshipping leaders instituted by Magufuli or the 5th phase government as popularly known.

May we be redeemed of this mentality " Leader' worshipping Nation
 
Kuna baadhi ya vitu yani kama ni binadamu wa kawaida kabisa vinatia kichefuchefu sana.

Hivi ni kweli kwamba kila kitu kinachofanyika katika nchi hii na vingine ni vya aibu na vingine wala Rais hauhusiki ktk kuvifanya , Je ni lazima kumtaja. 'Rais anakwenda kufanya. Rais anakwenda kufanya..'

Hivi ni kweli kwamba Marais wa nchi hii wanataka kuwa acknowledged namna hiyo hata kwa vitu ambavyo vinatia aibu. Hii si sawa kabisa na huu ni utopolo na umakolo wa hali ya juu kabisa.

Sidhani kama Rais Samia anahitaji sifa za hovyo namna hiyo na nyingine za aibu. Nafikiri Viongozi na Watumishi serikalini muache kujipendekeza.

Kuna habari moja ya aibu nimeitizama TBC muda si mrefu. Kuna shule huko Morogoro , Matombo sekondari. Tangu uhuru hakuna muundo mbinu wowote ambao Serikali imewahi ongeza..shule hiyo ilijengwa na mkoloni. Sasa kuna madarasa ma nne tu nasisitiza Ma NNE TU..serikali ya CCM ndo imeona iyajenge leo, 60 years later since colonial era anatajwa Rais Samia... "Rais Samia anakwenda kujenga vyumba vinne...'' what in the hell is this?

Embu Rais atajwe katika mambo ya msingi.. Mambo mengine kumtaja Rais ni kumtukana. Ifike mahala tuache potosha wananchi. Miradi mingine ni ya Wananchi.. Aibu.

Mambo kama haya ndio yanawapa watu hawa utukufu na kujikuta wao ni Miungu hapa duniani. Na ndio maana mtu anaweza simama mbele za watu na kusema 'nitaenda kuwa viongozi wa malaika...' ujinga kabisa. Kumbe sisi wenyewe ndo tumewajaza Ufalme Juha... Ukuu uliopitiliza na Utakatifu.

Tuache Ujinga huu.

AIONE SSH.
Uko sahihi. Bunge linapitisha bajeti lkini kila anasems Samia katoa hiki au kile huu ni unsfiki kwani wskisema serikali tatizo ni nini.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna baadhi ya vitu yani kama ni binadamu wa kawaida kabisa vinatia kichefuchefu sana.

Hivi ni kweli kwamba kila kitu kinachofanyika katika nchi hii na vingine ni vya aibu na vingine wala Rais hauhusiki ktk kuvifanya , Je ni lazima kumtaja. 'Rais anakwenda kufanya. Rais anakwenda kufanya..'

Hivi ni kweli kwamba Marais wa nchi hii wanataka kuwa acknowledged namna hiyo hata kwa vitu ambavyo vinatia aibu. Hii si sawa kabisa na huu ni utopolo na umakolo wa hali ya juu kabisa.

Sidhani kama Rais Samia anahitaji sifa za hovyo namna hiyo na nyingine za aibu. Nafikiri Viongozi na Watumishi serikalini muache kujipendekeza.

Kuna habari moja ya aibu nimeitizama TBC muda si mrefu. Kuna shule huko Morogoro , Matombo sekondari. Tangu uhuru hakuna muundo mbinu wowote ambao Serikali imewahi ongeza..shule hiyo ilijengwa na mkoloni. Sasa kuna madarasa ma nne tu nasisitiza Ma NNE TU..serikali ya CCM ndo imeona iyajenge leo, 60 years later since colonial era anatajwa Rais Samia... "Rais Samia anakwenda kujenga vyumba vinne...'' what in the hell is this?

Embu Rais atajwe katika mambo ya msingi.. Mambo mengine kumtaja Rais ni kumtukana. Ifike mahala tuache potosha wananchi. Miradi mingine ni ya Wananchi.. Aibu.

Mambo kama haya ndio yanawapa watu hawa utukufu na kujikuta wao ni Miungu hapa duniani. Na ndio maana mtu anaweza simama mbele za watu na kusema 'nitaenda kuwa viongozi wa malaika...' ujinga kabisa. Kumbe sisi wenyewe ndo tumewajaza Ufalme Juha... Ukuu uliopitiliza na Utakatifu.

Tuache Ujinga huu.

AIONE SSH.
Kwakinyakyusa tunaita,'herding behavior' an occurrence of thoughtful people suspending their individual reasoning because of fear, in this case, fearing their leaders
 
Mtu
Kuna baadhi ya vitu yani kama ni binadamu wa kawaida kabisa vinatia kichefuchefu sana.

Hivi ni kweli kwamba kila kitu kinachofanyika katika nchi hii na vingine ni vya aibu na vingine wala Rais hauhusiki ktk kuvifanya , Je ni lazima kumtaja. 'Rais anakwenda kufanya. Rais anakwenda kufanya..'

Hivi ni kweli kwamba Marais wa nchi hii wanataka kuwa acknowledged namna hiyo hata kwa vitu ambavyo vinatia aibu. Hii si sawa kabisa na huu ni utopolo na umakolo wa hali ya juu kabisa.

Sidhani kama Rais Samia anahitaji sifa za hovyo namna hiyo na nyingine za aibu. Nafikiri Viongozi na Watumishi serikalini muache kujipendekeza.

Kuna habari moja ya aibu nimeitizama TBC muda si mrefu. Kuna shule huko Morogoro , Matombo sekondari. Tangu uhuru hakuna muundo mbinu wowote ambao Serikali imewahi ongeza..shule hiyo ilijengwa na mkoloni. Sasa kuna madarasa ma nne tu nasisitiza Ma NNE TU..serikali ya CCM ndo imeona iyajenge leo, 60 years later since colonial era anatajwa Rais Samia... "Rais Samia anakwenda kujenga vyumba vinne...'' what in the hell is this?

Embu Rais atajwe katika mambo ya msingi.. Mambo mengine kumtaja Rais ni kumtukana. Ifike mahala tuache potosha wananchi. Miradi mingine ni ya Wananchi.. Aibu.

Mambo kama haya ndio yanawapa watu hawa utukufu na kujikuta wao ni Miungu hapa duniani. Na ndio maana mtu anaweza simama mbele za watu na kusema 'nitaenda kuwa viongozi wa malaika...' ujinga kabisa. Kumbe sisi wenyewe ndo tumewajaza Ufalme Juha... Ukuu uliopitiliza na Utakatifu.

Tuache Ujinga huu.

AIONE SSH.
WA hovyo lazima afuatwe na mambo hovyo ! Hasa rais rahisi. The buck stops at her
 
Namshukuru sana aliyeleta mada hii leo! Imenikera sana kwa miaka sita na bado wameendeleza katika awamu hii!
Je makampuni yakijenga daraja ama barabara tunataja jina la mkurugenzi???
Mbona tunasema Azam, CRDB, EXIM! ASAS na kadhalika!
Awamu zote isipokuwa ya mwendazake na hii ya sita tulizoea kusikia “serikali imeagiza ama imefanya hiki na kile””
Kwa mfano wakati wa Mlm Nyerere sikuwahi kusikia Nyerere kajenga daraja. Ilikuwa ni serikali na ni vema iwe serikali kwani neno serikalili linajumuisha wananchi!!
Ninasikitika kuona wanataka kuendeleza mambo mabaya ya awamu iliyopita!!
Please stop it inawaaibisha!! Inatuaibisha wote!!
Tunakuwa kama watoto wadogo!!
Baba amenunua shati, baba amenunua nyumba lakini hapa ikiwa na maana afadhali ijapo mama hatajwi!!
Lakni kodi zetu anapewaje Rais halafu useme ni ya rais na ndiye kajenga??????
Ndiyo maana hakuna maendeleo ta watu binafsi Tanzania. Wananchi wameaminishwa kuwa ni rais anaywrakiwa kuwalisha, kuwabeba, kuwapa dawa, nk.
Tuwe wakweli tuwaambie wananchi kuwa serikali imehenga kwa kodi zao na imeshindwa kujengakwa sababu kodi zao hazikutisha!!

Hapo watu watajua faida ya kodi na watahenga ownership na kutunza raslimalu yao!!

Please stop it!!!
 
Back
Top Bottom