Kumshauri rais kuhusu katiba mpya inahitaji muda mrefu kiasi gani

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
Wana JF,

Kuhusu swala la kufanya utaratibu wa kushughurikia KATIBA MPYA tayari Waziri Mkuu Mizengo, ameshalitolea tamko swala hilo na kuahidi kumshauri Rais Jakaya Kikwete, kuunda timu ya watu kwa ajili ya kulishughulikia.

Wajua hapa ndipo napo shindwa kuwa elewa hawa viongozi wetu walioko madarakani, Kama Waziri Mkuu anasema atamshauri Rais kuhusu swala la katiba How long does it going to take for the PM to advice the President about New Constitution???? Does it mean the president isn't aware about this Matter? Give me a break Mr. PM!!! Au ndio tusema wametufanya sie mazuzu? Mwataka kuniambia IKULU hakuna watu walioko kwenye kitengo cha Kushughuria KATIBA na wakamweleza/Kumshauri Rais???
 
ag;Waziri wa Mambo ya Nje bado anatalii,anatengeneza NITE nje ya nchi.

mtoto wa mkulima yeye balie tuu,

Sie cha muhimu tuwashe MOTO,

IF THEY CANT CHANGE WITH TIME-WE WILL CHANGE THEM
 
Back
Top Bottom