Kumsamehe aliye kusaliti

Samehe ili na wewe usamehewe...usikubali kukaa na kinyongo ndani yako...siku zote asie samehe ni was shetani...
 
Mwanaume anaweza kumwacha mke kwasababu amemfumania lakini hapo hapo anaenda kuoa mke alieachwa kwa kosa la kufumaniwa. Hapo ndo utajua kwanini
*wanaume wana ndevu*
 
Jirani yangu amemsamehe mkewe kwasababu anadai aliishiwa pesa za matumizi baada ya mumewe kusafiri,na maisha yanaendelea ila anadai pamoja na kumsamehe hisia za kimapenzi kwake hazipo tena, mwezi wa tatu huu hawakutana.
 
Daaah sad kwa kwel
 
Mimi nilimsamehe lakini nilimwacha.
Unajua ukijua wewe ndo ulichukua kunguru na kujaribu kufuga lakini ukaja ukagundua ni kunguru unamtema hata kama ni mali za sh ngapi unamwachia na unasonga mbele.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom