Baba Genovivah
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 756
- 248
Bora akusaliti kabla hamjaanza mahusiano,
Msameh tu...Sasa unafanyaje mkuu kama mtu unampenda saana na mmewekeza vtu vng sana nae
AhsanteNakupenda mtumishi !!
Binadamu sio shetani.Mbona hakumsamehe lucipher alipoasi kule mbingini?
Ila sijui kwanini wanaume wengi tukisalitiwa mtu akiomba msamaha unamwambia akupe tigo ili umsamehe
Kwani lucipher ni shetani au malaika mkuu?Binadamu sio shetani.
Ni shetani ila alikua malaika mkuu.Kwani lucipher ni shetani au malaika mkuu?
Zitaje mojawapo kwa msaada zaidi tafadhaliInategemea na sababu zilizopelekea akanisaliti
Anaeza akasamehewa na maisha yakaendelea........
fimbo ya mbali haiu nyika! sijajua kama ww ni ME/KEMazngra mara ya kwanza tulvokua pamoja na mara ya pili tulkua distance kidogo kwa muda wa miez mitatu
Fanya yote
1.shirkii
2.usaliti
Hata kama tumeishi na kutengeneza nn ur gone 4 good[/QUOTE
mkuu hiyo shirkii ndio nn?
Mefimbo ya mbali haiu nyika! sijajua kama ww ni ME/KE
Daaah sad kwa kwelJirani yangu amemsamehe mkewe kwasababu anadai aliishiwa pesa za matumizi baada ya mumewe kusafiri,na maisha yanaendelea ila anadai pamoja na kumsamehe hisia za kimapenzi kwake hazipo tena, mwezi wa tatu huu hawakutana.
Sasa unafanyaje mkuu kama mtu unampenda saana na mmewekeza vtu vng sana nae
Hakuna sababu ya ku justify usaliti. Hebu niambie ni sababu ipi akikupa utamsamehe.Inategemea na sababu zilizopelekea akanisaliti
Anaeza akasamehewa na maisha yakaendelea........