Mwagito84
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 235
- 705
Heshima gani iliyo palepale.......Mi nilisalitiwa na mke wa ndoa nikamsamehe....akarudia. nikaingia mahakamani nikadaka gamba muda huu kila mtu kimpango wake. Usicheze hicho kidonda hakipinagi ni kama kansa hivi. Ushauri wangu ukisalitiwa katika uchumba hiyo ni alam kiwa hicho kimeo.....unasamehe ili iwaje sasaNi kwel mkuu vp kwa mfano mwnamke akakussliti mara ya kwanza akakili na akaomba msamaha yakaisha alafu baada ya muda Tena karudia Yale Yale Tena vp unaweza msamehe
NB : bado anakujali na heshima iko pale pale yaan hajabadilika kitu