Kumsamehe aliye kusaliti

f de solver

JF-Expert Member
Feb 12, 2017
2,339
1,834
Habarini wana JF,

Hivi watu mlioko kwenye mahusiano ikitokea kakusaliti utamsamehe au utafanyaje? Na Je kuna watu ambao washawahi salitiwa na wakasamehe especially kama walikuwa wanawapenda sana wake zao?

Naombeni majibu wakuu
 
Kama amekusaliti mara moja na unaona anajutia kosa au ndio kosa lake la mwanzo unaweza kusamehe ingawa itakuwa inakuuma sana.pia cha kuangalia km anakuheshim na kukujali bado pia inaweza kuwa sabab ya kusamee.
Kusalitiwa ipo tu na huwa na sababu yake ila mi bado naamini katika dunia binadam kubadilika huwa ni ngumu sana!tabia na hulka kuzibali ni kibarua kizito sana.nobody can reborn yaani ukiambiwa kosa lako huwa hili na ubadilike lazma lile kosa litajirudia mfano kuwa jeuri au kiburi au dharau vilevile kujiona we ni very special hakuna kama wewe hizi tabia ni ngumu kuziacha hata ukiwa msaliti utaomba msamaha lakini kesho utafanya kwa kificho tena na utadakwa
 
Ni kwel mkuu vp kwa mfano mwnamke akakussliti mara ya kwanza akakili na akaomba msamaha yakaisha alafu baada ya muda Tena karudia Yale Yale Tena vp unaweza msamehe

NB : bado anakujali na heshima iko pale pale yaan hajabadilika kitu
 
Ila sijui kwanini wanaume wengi tukisalitiwa mtu akiomba msamaha unamwambia akupe tigo ili umsamehe
 
Kama una nukta kama ya jamaa wa jana ukisalitiwa siyo yeye ndiye aombe msamaha, wewe ndiyo inabidu uombe msamaha kwa kua na nukta.

Wenye vibamia tuna kazi
 
Ni kwel mkuu vp kwa mfano mwnamke akakussliti mara ya kwanza akakili na akaomba msamaha yakaisha alafu baada ya muda Tena karudia Yale Yale Tena vp unaweza msamehe

NB : bado anakujali na heshima iko pale pale yaan hajabadilika kitu
Dawa yake na wewe tafuta kifaa kingine kikali zaidi yake uone km atachepuka tena
 
Samehe ili ukichepuka ukifumwa umkumbushe kua na wewe ulimsamehe
Kweli kabisa mkuu yaan unakua naww una sababu hahahahaha... Ila sasa inakua ni kama mnakomoana magonjwa pia yatakua ni nyemelezi
 
Back
Top Bottom