Kumsaidia mtoto home work✔

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
7,141
14,677
Kusaidia Mtoto wa Nursery home work ni ngumu sana. Jana nimemuuliza swali la hesabu: "Nina pipi tano, nikiwagawia watoto watatu, kila mmoja pipi mojamoja nabakiwa na pipi ngapi?
Akaniambia, “Toa kwanza nizione…”

emoji125.png
emoji125.png
emoji125.png
emoji38.png
emoji38.png
emoji38.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Kamesha fuzu hako, kapeleke field sasa (mafunzo kwa vitendo)

Ndio maana Wadau wanaipigia kelele Serikali, kuweka maabara katika shule za Sec...
 
Hiyo hesabu ni ya mtu aliyekomaa ambaye yuko madarasa ya juu. Chekechea kila kitu kama sio picha ni kwa uhalisia, sio kwa kufikiria.
 
Hizo kusaidiwa home work na wazazi ni tatizo sana, najiuliza homework akikusaidia mshua alafu ukakosa zote sijui utamwangalia kwa jicho gani! Au unavunga kumlindia heshima.
 
Ndiyo yale juzi namuuliza mtoto mmoja wa jirani yangu kilo ya mawe na kilo ya manyoya ya kuku ipi nzito akasema ya mawe nilichoka na yupo darasa la tano.
 
Mafunzo bila practical hayaendi bwana
... Tafuta hizo pp tano na kakusanye watoto watatu kwa majirani
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom