option nyingine itaangaliwaVipi na yeye kama anafanya kazi?
Nakukubali kwa electronic mzeehakuna ubaya kumsaidia mm binafsi huwa namsaidia sana mkewangu huwa anafurahi sana endapo nikimsaidia japo nakaa dsm yeye yupo moro kwa kikazi huwa naenda kila baada ya wiki na msaidia kuanzia kupika kudeki mpaka kufua na sion tatizo zaidi ya kuongeza furaha
ahahahahahha ahsante boss ila kwa sekta hiyo ya kumsaudia wife niko vizuri zaidiNakukubali kwa electronic mzee
inategemea na makuzi uliyo kulia mfano faza angu alikua anafanya hvy tena mbele yetu tuliishi kwa imani hiyo hadi leo nimefika stage ya kuoa sioni tofaut afu kingine ni kujiendekeza mbona tukiwa bachelor tunapika na kudeki hatakama akija rafiki yako wa kiume una msaidia bila tabhivi wanaume wa aina yako kumbe bado mpo? hongera kwa mkeo
inategemea na makuzi uliyo kulia mfano faza angu alikua anafanya hvy tena mbele yetu tuliishi kwa imani hiyo hadi leo nimefika stage ya kuoa sioni tofaut afu kingine ni kujiendekeza mbona tukiwa bachelor tunapika na kudeki hatakama akija rafiki yako wa kiume una msaidia bila tab
Sio sawa hata kama ndiyo uhuru wa kuongea chochote, tuwe na huruma japo, kumsaidia mkeo sio jambo baya, ila usifanye mara kwa mara maana wanawake wengine hujisahau na kuona ni wajibu, ila pale kazi zinapo kuwa nyingi basi wanaume nasi tuwe msaada kwa wake zetu bila shaka ni jambo lenye mvuto na uboresha upendoSawa kama aliekuajiri anatambua swala la we kuosha vyombo na mkeo muda wa kazi...Kila la heri!
ahahaahah inategemea mkuu we jiulize ukienda sehem mwanaume amepanga huwezi kuta chumba kichafu nguo chafu wala vyombo vichafu inamaanisha hizo kazi anazifanya mwenyew mm acha wanione bwege nafanya na wife nimemwambia haina haja yakuwa na dada wakazi kwa firstborn wetu nilikua nafua had nguo za mkojo wakat yy anauguza kidondanamimi nashangaa mkiwa chuon had kupika mnapika sasa muoe uwii mnageuka wafalme ghaafla
ahahaahah inategemea mkuu we jiulize ukienda sehem mwanaume amepanga huwezi kuta chumba kichafu nguo chafu wala vyombo vichafu inamaanisha hizo kazi anazifanya mwenyew mm acha wanione bwege nafanya na wife nimemwambia haina haja yakuwa na dada wakazi kwa firstborn wetu nilikua nafua had nguo za mkojo wakat yy anauguza kidonda
Sijaona tija katika jibu lako, kwahiyo wenye kipato cha chini watafanyaje.... Kumsaidia mke sio utumwa wa kifikra au utumwa wa kimapenzi ni upendo tu na ndiyo cha msingi, nyumba ni yenu mlengo ni kusaidiana, usijifanye wewe ndiyo una mawazo pevu sana ni ulofa badilikaNyie ndo nasema mpo duniani kupita. Badilisha mawazo bwana mkubwa. Inatakiwa uishi
Ninaposema uishi, namaanisha uwe na mawazo chanya ya kuibadilisha dunia.
Wenzako wanahangaika kila siku waweze kurahisisha mambo. Yaani kila kitu kifanywe na mashine. Badala ya wewe kuelekeza mawazo yako ya nini wanaume cha kufanya wakati mwanamke anafanya kazi ambazo hazinaga mwisho, wewe unawarudisha nyuma wenzako.
Labda nikupe mfano, kipindi mama chanja akiwa mjamzito, nilikua najituma sana kusombelezea maji kutoka kwa nyumba ya jifani. Kuna siku nikawa nimechoka sana na Maji hayakuwepo ndani. Ilinibidi nikachote kwa kujilazimisha. Ndipo nilipoanza kujiuliza, hivi kubeba maji kwaajili ya mke wangu ndo upendo au kujitesa?
Nikajiuliza pia, kwani wanaoweka mfumo wa maji ndani ya nyumba ni wazembe?
Ndipo nilipogundua kuwa kwamba kumpenda mke wako ni kuhakikiaha unapata pesa za kutosha ili umuwekee kila kitu ndani.
Tafakari sana
we jamaa umenifurahisha sana, sisi wanaume tuwe na mitazamo mizuri juu ya wake zetu, tutapunguza wimbi la wanawake kutoka njee ya ndoahakuna ubaya kumsaidia mm binafsi huwa namsaidia sana mkewangu huwa anafurahi sana endapo nikimsaidia japo nakaa dsm yeye yupo moro kwa kikazi huwa naenda kila baada ya wiki na msaidia kuanzia kupika kudeki mpaka kufua na sion tatizo zaidi ya kuongeza furaha
Siyo kila familia ina Tv mkuu,harafu kwa nini maoni yenu yanawalenga wa mjiniKama wewe ni great thinker huwezi kumuachia mkeo kazi zote, achana na mila za zamani, ukifika nyumbani gawaneni kazi zikiisha angalieni TV pamoja
Hivi kwa nini mnawapenda wanaume wa Design hiiWanaume wa hivyo wapo wachache mnoo
HIZI ndoa zina mambo mengikazi za nyumbani ni wajibu na majukumu ya mama, kama ilivyo kwa baba mwenye majukumu na wajibu kutoa huduma na mahitaji yote kwa familia. wakumsaidia hayo mambo si mume ni watoto, kama watoto hakuna tafsiri ni kwamba hata familia sio kubwa kiasi cha kusema kazi ni nyingi. unaishi na mumeo tu hakuna watoto ya nini kupiga deki kila siku watu wazima gani mnakuwa rafu kiasi cha kuhitaji kudeki kila siku? hivi nguo za watu wawili na vyombo vya watu wawili unataka kusaidiwa? hata kupika msosi wa watu wawili husaidiwe aah. katika ugonjwa na katika ujauzito kuelekea kujifungua mume anawajibu wa kutafuta namna ya kumpunguzia mkewe majukumu kwa namna ambayo haitaathiri utafutaji wa riziki kwa ajili ya familia. ila kama mwanamke naye anaratibu majukumu yako mwanaume ya kuleta riziki nyumbani basi nawe mwanaume kazi za nyumbani itabidi usaidie maana hata wewe unasaidiwa kuleta mahitaji nyumbani ila kama kila kitu analeta mwanaume we mwanamke pambana na majukumu ya nyumbani acha uvivu.
Na nahisi kama vile wapo kwenye video tu. Kwenye uhalisia hawapoWanaume wa hivyo wapo wachache mnoo