Malingumu JF-Expert Member Apr 5, 2012 616 429 May 13, 2017 #3 Super women 2 said: tena kazi kubwa kwelikweli Click to expand... you can't please everybody
carbamazepine JF-Expert Member Dec 30, 2015 46,562 285,586 May 13, 2017 #4 Ukiishi maisha ya kusikiza watu wanasemaje juu yako utaishi maisha ya stress sana
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,590 May 13, 2017 #5 Ishi vile upendavyo sio watakavyo
Iceman 3D JF-Expert Member Sep 3, 2016 20,611 67,091 May 13, 2017 #6 basi ina maana hata JPM anaishi maisha yake msighasi ghasi, ishu ni kuwa sikiliza watu lakini chambua linalo faa na lisilo faa. Live your life, but rember you live among other people too.
basi ina maana hata JPM anaishi maisha yake msighasi ghasi, ishu ni kuwa sikiliza watu lakini chambua linalo faa na lisilo faa. Live your life, but rember you live among other people too.
nalb JF-Expert Member Dec 8, 2015 436 608 May 13, 2017 #8 Boss wa maisha yako ni wewe mwenyewe, ishi utakavyo, usiishi watakavyo