Kumradhi Rais Museveni, very sorry

KISHADA

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
2,224
3,290
Mh naomba radhi kwa niaba ya watanzania wenzangu. Tunasikitishwa na tukio la juzi la kuambiwa hadharani kwa njia ambayo sisi wengine haijatufurahisha kwamba uwachukulie hatua wasaidizi wako katika Hali ile.

Katika mazingira Yale ya kuchonganisha kwa wasaidizi wako na wewe binafsi na kushusha hadhi ya mamlaka na watu wa Uganda. Very sorry.

Mh sisi watanzania wengine hatukufurahi na tunaomba utusamehe.
 
Mh naomba radhi kwa niaba ya watanzania wenzangu. Tunasikitishwa na tukio la juzi la kuambiwa hadharani kwa njia ambayo sisi wengine haijatufurahisha kwamba uwachukulie hatua wasaidizi wako katika Hali ile. Katika mazingira Yale ya kuchonganisha kwa wasaidizi wako na wewe binafsi na kushusha hadhi ya mamlaka na watu wa Uganda. Very sorry. Mh sisi watanzania wengine hatukufurahi na tunaomba utusamehe.
"Afungwe Breki" - Halima Mdee.
 
images (8).jpeg
 
Usiseme sisi watanzania sema ww mtanzania, sio kila neno la mwanasiasa unaleta hapa kwa kuwaungnisha watanzania wote, acha chuki zitakuua kabla ya wkt!
Yale Yale! ya ndege ikinunuliwa ni ya Magu na CCM, Lakini ikikamatwa inaitwa ndege ya Watanzania tulie wote. Tukubaliane tuu kuwa mzee kamkosea na kumdhalilisha M7 na Uganda kwa kauli aliyotoa akiwa kama mwenyeji.
Ni sawa na kumkaribisha mgeni wako na kumwambia, hivi mkeo mpaka Leo hana mimba? Usipende kumchekea, mlete kwangu mwezi mmoja tuu utaona!
Hapimi maneno mzee huyu!
 
Acha tu Mkuu. Walau Kuna hii JF tunapata kufikikusha kilio chetu. Very sorry Mr President.
 
Mh naomba radhi kwa niaba ya watanzania wenzangu. Tunasikitishwa na tukio la juzi la kuambiwa hadharani kwa njia ambayo sisi wengine haijatufurahisha kwamba uwachukulie hatua wasaidizi wako katika Hali ile. Katika mazingira Yale ya kuchonganisha kwa wasaidizi wako na wewe binafsi na kushusha hadhi ya mamlaka na watu wa Uganda. Very sorry. Mh sisi watanzania wengine hatukufurahi na tunaomba utusamehe.
New World Order
President Trump
President Magufuli
Prime minister Boris Johnson
Hao viongozi wote na watu wa kusema ukweli si wanafiki
 
Mh naomba radhi kwa niaba ya watanzania wenzangu. Tunasikitishwa na tukio la juzi la kuambiwa hadharani kwa njia ambayo sisi wengine haijatufurahisha kwamba uwachukulie hatua wasaidizi wako katika Hali ile. Katika mazingira Yale ya kuchonganisha kwa wasaidizi wako na wewe binafsi na kushusha hadhi ya mamlaka na watu wa Uganda. Very sorry. Mh sisi watanzania wengine hatukufurahi na tunaomba utusamehe.
Ni Rais wetu mpedwa ndo anahitaji kufundishwa pamoja na PhD yake na washauri wake wasomi wanaojua kuandika pia. Wazimbabwe walimtukana inaonekana hakujifunza kitu tutaona itakuwaje atakapokwenda kwenye mazishi ya msomi Mugabe.
 
Mkuu bado Kuna watu hawaelewi. Mambo yako wazi kabisa, mzee huwa anakosea.
 
Back
Top Bottom