Kumradhi Rais Museveni, very sorry

Mh Magufuli, angekuwa mitaani tungesema mdomo wake hauna break. Njia pekee ya kuondoa hilo(washauri wake wewe wakali kwake, (ikiwa ni pamoja kukubali uwezekano wa kutimuliwa kazi) wamweleze ubaya wa maneno yake mbele ya camera. Maneno yale kama aliona ni ushauri, alitakiwa kumwambia wakati wa mazungumzo ya faragha. Mseveni hakujibu, ni busara.
 
Yale Yale! ya ndege ikinunuliwa ni ya Magu na CCM, Lakini ikikamatwa inaitwa ndege ya Watanzania tulie wote. Tukubaliane tuu kuwa mzee kamkosea na kumdhalilisha M7 na Uganda kwa kauli aliyotoa akiwa kama mwenyeji.
Ni sawa na kumkaribisha mgeni wako na kumwambia, hivi mkeo mpaka Leo hana mimba? Usipende kumchekea, mlete kwangu mwezi mmoja tuu utaona!
Hapimi maneno mzee huyu!
Waarabu wa Pemba wanajuana wenyewe. Ukidhani unawaelewa zaidi ni kupoteza muda wako ambao ungefaa ukufaidishe wewe na familia yako.
 
Mh Magufuli, angekuwa mitaani tungesema mdomo wake hauna break. Njia pekee ya kuondoa hilo(washauri wake wewe wakali kwake, (ikiwa ni pamoja kukubali uwezekano wa kutimuliwa kazi) wamweleze ubaya wa maneno yake mbele ya camera. Maneno yale kama aliona ni ushauri, alitakiwa kumwambia wakati wa mazungumzo ya faragha. Mseveni hakujibu, ni busara.
Najiuliza kwa Nini bwana Bashiru asintake mwenyekiti wake na yeye aende darasani akajifunze uongozi?
 
Mh naomba radhi kwa niaba ya watanzania wenzangu. Tunasikitishwa na tukio la juzi la kuambiwa hadharani kwa njia ambayo sisi wengine haijatufurahisha kwamba uwachukulie hatua wasaidizi wako katika Hali ile. Katika mazingira Yale ya kuchonganisha kwa wasaidizi wako na wewe binafsi na kushusha hadhi ya mamlaka na watu wa Uganda. Very sorry. Mh sisi watanzania wengine hatukufurahi na tunaomba utusamehe.
Araoo hamumujui Rais wa SADCC?
Anatumbua popote!
 
New World Order
President Trump
President Magufuli
Prime minister Boris Johnson
Hao viongozi wote na watu wa kusema ukweli si wanafiki
ACha kumchanganya Trump na ushuzi wako huo.

Unajua Trump katengeneza employment ngapi?

Unajua unemployment trend rate ya utawala wa Trump

Linganisha na huo uharo wako. Kwanza badala ya kutengeneza ajira anawaumiza wananchi wake.

Bodi ya mikopo tu ni ujunga mtupu hatumii akili.

Deni gani halilipiki?

Afu anakuja kujifanya kumfundisha Museven kazi

Pig.
 
Kiutuuzima ni sawa na kuambiwa Museven analea wavivu na .wanaokwamisha mradi Tena hadharani. Anachonganishwa na wananchi pamoja na wasaidizi
 
Ni Rais wetu mpedwa ndo anahitaji kufundishwa pamoja na PhD yake na washauri wake wasomi wanaojua kuandika pia. Wazimbabwe walimtukana inaonekana hakujifunza kitu tutaona itakuwaje atakapokwenda kwenye mazishi ya msomi Mugabe.

Nani kakuambia atakwenda kwenye mazishi ya Rob? Marehemu ni mstaafu kwa hiyo atatumwa mstaafu!
 
Yale Yale! ya ndege ikinunuliwa ni ya Magu na CCM, Lakini ikikamatwa inaitwa ndege ya Watanzania tulie wote. Tukubaliane tuu kuwa mzee kamkosea na kumdhalilisha M7 na Uganda kwa kauli aliyotoa akiwa kama mwenyeji.
Ni sawa na kumkaribisha mgeni wako na kumwambia, hivi mkeo mpaka Leo hana mimba? Usipende kumchekea, mlete kwangu mwezi mmoja tuu utaona!
Hapimi maneno mzee huyu!
Yaani zile ndege mpaka wameandika 'Hapa Kazi Tu' wakati ni kodi za watanzania wote wenye vyama na wasio na vyama
 
Mh Magufuli, angekuwa mitaani tungesema mdomo wake hauna break. Njia pekee ya kuondoa hilo(washauri wake wewe wakali kwake, (ikiwa ni pamoja kukubali uwezekano wa kutimuliwa kazi) wamweleze ubaya wa maneno yake mbele ya camera. Maneno yale kama aliona ni ushauri, alitakiwa kumwambia wakati wa mazungumzo ya faragha. Mseveni hakujibu, ni busara.
Nina'amini M7 akufuraishwa na ile kauli, sema kwavile yeye mkongwe kapotezea tu, M7 pamoja na mapungufu yake ila yupo makini sana na mdomo wake
 
Back
Top Bottom