Andie
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 713
- 1,641
Hivi na hili linatakiwa tupoteze muda wetu kukwambia hili halipo sawa ?!
Umempata mwanamke unaempenda unataka kumuoa unapiga magoti ?! Lakini jamani si naonyesha upendo. Upendo gani ndo maana nimekwambia wewe ni mjinga.
Je wajua maana ya kumpigia mtu magoti ?! Ni kuonyesha utii, sasa wewe unaonyesha utii kwa mke wako badala ya yeye kuonyesha utii kwako ?! Unaidhalilisha nafasi yako kama mwanaume and its a symbolic shift of authority from you to her, na ina madhara makubwa kwa fikra za huyo mkeo kwako.
Waweza kuona ni jambo dogo ila madhara yake ni makubwa mno, kitendo hicho subconciouslly humfanya mwanamke ajihisi na maamuzi na mamlaka juu yako. Siku akija kukuzab makofi hadharani unajiuliza ujasiri kautoa wapi wakati siku ya kuoa ulipiga magoti na hapo hua na muendelezo siku umemkosea kdogo ndani unampigia tena magoti si umeshamzoesha.
Na wanawake wanapenda sana wanaume magoigoi majinga jinga ili wayaendeshe vizuri. Mwanaume mzma na makengele yako between your legs unapiga magoti mbele ya mwanamke. Na kamwe mwanamke mwenye busara hawezi kumruhusu mumewe ampigie magoti.
Wakati naoa miaka kadhaa iliyopita nilitoa pete mfukoni kwa upendo mkubwa nikamshika mke wangu mkon nikamvalisha ghafla yeye ndo akapiga magoti na wala sikua nimemwambia kua apige magoti.
Mitoto ya kiume ya siku hizi ina iga iga tu kisa wanaona wengine wanapiga magoti na wao wanaiga, mtakuja kuiga hata kukalia vigogo mpakatwe. Utawasikia ooh mara hii ndo fashion, haya endeleeni na fashion zenu kuna siku mtaiga kujipaka KY na mtasema fashion.
Amani iwe kwa wanaume wote ambao bado wanatambua nafasi yao kama wanaume.