Kumpigia mwanamke magoti wakati wa kumvalisha pete ni ujinga uliotukuka

Andie

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
713
1,641
Hivi na hili linatakiwa tupoteze muda wetu kukwambia hili halipo sawa ?!

Umempata mwanamke unaempenda unataka kumuoa unapiga magoti ?! Lakini jamani si naonyesha upendo. Upendo gani ndo maana nimekwambia wewe ni mjinga.

Je wajua maana ya kumpigia mtu magoti ?! Ni kuonyesha utii, sasa wewe unaonyesha utii kwa mke wako badala ya yeye kuonyesha utii kwako ?! Unaidhalilisha nafasi yako kama mwanaume and its a symbolic shift of authority from you to her, na ina madhara makubwa kwa fikra za huyo mkeo kwako.

Waweza kuona ni jambo dogo ila madhara yake ni makubwa mno, kitendo hicho subconciouslly humfanya mwanamke ajihisi na maamuzi na mamlaka juu yako. Siku akija kukuzab makofi hadharani unajiuliza ujasiri kautoa wapi wakati siku ya kuoa ulipiga magoti na hapo hua na muendelezo siku umemkosea kdogo ndani unampigia tena magoti si umeshamzoesha.

Na wanawake wanapenda sana wanaume magoigoi majinga jinga ili wayaendeshe vizuri. Mwanaume mzma na makengele yako between your legs unapiga magoti mbele ya mwanamke. Na kamwe mwanamke mwenye busara hawezi kumruhusu mumewe ampigie magoti.

Wakati naoa miaka kadhaa iliyopita nilitoa pete mfukoni kwa upendo mkubwa nikamshika mke wangu mkon nikamvalisha ghafla yeye ndo akapiga magoti na wala sikua nimemwambia kua apige magoti.

Mitoto ya kiume ya siku hizi ina iga iga tu kisa wanaona wengine wanapiga magoti na wao wanaiga, mtakuja kuiga hata kukalia vigogo mpakatwe. Utawasikia ooh mara hii ndo fashion, haya endeleeni na fashion zenu kuna siku mtaiga kujipaka KY na mtasema fashion.

Amani iwe kwa wanaume wote ambao bado wanatambua nafasi yao kama wanaume.
 
Vipi kama nikisema hao hawa "igi igi" Bali wewe ndio umekariri?

Kila mtu anafanya kitu anachoona ni sahihi kwa afya ya mahusiano yake. Na kama yupo sawa na anachokifanya let him be.

Usiwashauri vile unavyoona wewe ni sawa. Pengine kwao sio sawa. Halafu haujui ni nini wanapewa wakiwa uchi hadi mtu anapiga hadi magoti. Trust me mwanaume anapopata furaha yupo tayari kufanya chochote hata kama dunia nzima itamcheka.
 
Na mwanamke mwenye busara hawezi kuruhusu mume wake apige magoti mbele yake.
That's your mentality Andie,
Inategemea hiyo mna tafsiri gani juu ya 'kupiga magoti'. Kneeling down Is a sign of 'surrendering'. They did/do because they wanted to. It's not something they feel forced into doing, kwanini nimzuie? And they wouldn't do it unless mwanamke ana deserve.
 
Ila wanaume skuhizi sjui mnapuliziwa nn kichwan kila kitu mnapinga hata hli?! Ndo maana wengine mnakuda hertbriken kwa kuhofia kuonesha mapenzi kwa mwenzio eti nitaonekana bwege, au dhaifu
Hakuna cha upendo wala mapenzi ya dhisi, kupiga magoti kwa mwanaume hakufai hilo lazimwa lisemwe

Ishara ya upendo hujionesha ni ishara pekee inayojitegemea isiyohitaji kitu kingine cha ziada ili ionekane

Ingekua kupiga goti ni ishara ya upendo kweli, basi asilimia 90% kusingekua na migogoro ya ndoa
 
unapokua na mtizamo tofauti na wengine si kigezo cha kuwaona washamba/mabwege...
wanaofanya hayo ni ajili ya kushow love na si kujidhalilisha ka unavodhani

Hatuwaoni kama mabwege, ila naona utandawazi unachangia kwa kiasi kikubwa kupunguza asili ya uanaume.

Hakuna cha ku show love, nachokiona mimi ni kufake na pretending zaki snitch ndio zinazotawala hapo.

Mwanamke mwanzo unavyomuoa akikuletea maji unakuta anapiga goti, lakini akishakuzoea ataacha. Ukitembelewa na ndugu zako ataibua tena hako ka mchezo ila wakisepa tu atakusogezea hadi kwa mguu
 
unapokua na mtizamo tofauti na wengine si kigezo cha kuwaona washamba/mabwege...
wanaofanya hayo ni ajili ya kushow love na si kujidhalilisha ka unavodhani
Kushow what ?!! Mambo ya kushow love yamekwisha bro mpaka kuamua kupiga magoti ?! Juzi kuna uzi uliwekwa na mdau akijiuliza wanaume wanaowanyonya wanawake bomba chafu aka uvunguni na mdau mmoja akasema ni "kushow love", mkuu nadhani kwa mwendo wako huo unaweza au ukanyonya bomba chafu kwa ajili ya "kushow love"

Sijakataa kushow love, na yatupasa kuonyesha upendo tena wa dhati lakini sio kwa kupiga magoti au wengine mpaka wananyonya tundu dogo.
 
That's your mentality Andie,
Inategemea hiyo mna tafsiri gani juu ya 'kupiga magoti'. Kneeling down Is a sign of 'surrendering'. They did/do because they wanted to. It's not something they feel forced into doing, kwanini nimzuie? And they wouldn't do it unless mwanamke ana deserve.
Nashukuru kwa mchango wako lakini je mkuu mambo ya kudeserve mwanamke kufanyiwa yamekwisha kabisha mpaka kupigiwa magoti. Thats tarnishing the man's image and beleive it or not bila kujua mwanamke unaanza kucompromise his authority the very day he kneels.
 
Wanaume wachache ambao wana-behave kama THE MEN, watu huwa hawaelewi ni kwa nini mwanamke anaweza akaacha mume wake mwenye hela, kazi nzuri na muonekano mzuri akaenda kwa kinyozi au mchoma chips wa kawaida saaana kwa sababu tu hajaonyesha shobo za kijinga...
Hakuna mwanamke anayependa mwanaume dhaifu..
 
Wanaofanya hivyo wengi ndoa zao hazidumu. Halafu swala mwanaume kumpigia mschana magoti sio utamaduni wetu sisi wa Africa.

Huku kwetu ukishakuwa mtoto wa kiume hata dada yako aliye kuzidi umri akikupa kitu anapiga magoti. Kumpigia mwanamke magoti wakati wa kumvisha pete sidhani kama huwa ni upendo mimi naona ipo kimaigizo zaidi.
 
Na mwanamke mwenye busara hawezi kuruhusu mume wake apige magoti mbele yake.
Kiukweli nime-google picha sasa hivi nyingi ambazo mwanamke amepiga goti akivishwa ring, inaonyesha ni romantic kweli, na submissive.
Mwanamke kwa aibu huku kanyoosha mkono pete ikiingia na kapiga goti, macho chini, what a material wife!
Magubegube ndo yatapenda kuwapigisha wanaume wao magoti.
 
Back
Top Bottom