Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,097
Nahitaji kujua taratibu za kisheria kuna mzungu Kingozi wangu kanipiga picha eneo langu la kazi na ametuma WhatsApp
Mkataba hausemi Mambo ya kupigana picha. Na mimi nilikua kwenye kiti Sasa NI halali kupigwa picha na kutuma mtandaoni?Kiongozi unataka ushitaki upate pesa? Si ulikuwa kazini lakini? Mkataba wako wa ajira wasemaje?
Nilikua ofisini kwangu nimekaa nikasinzia yeye aliingia kwa Siri akapiga picha bila hata kuniambia na akaanza kuwatumia viongozi wengineIlikuaje hadi ukapigwa picha..?? Na mzungu alipost kwa lengo lipi... Je umeongea nae mzungu kuuliza nn alikusudia? Anavokupiga ulimuona?
Nilikua ofisini kwangu nimekaa nikasinzia yeye aliingia kwa Siri akapiga picha bila hata kuniambia na akaanza kuwatumia viongozi wengine
Nilikua ofisini kwangu nimekaa nikasinzia yeye aliingia kwa Siri akapiga picha bila hata kuniambia na akaanza kuwatumia viongozi wengine
Kwenye mkataba hakuna Mambo ya kusinzia kazini. Bali Kuna kuhusu kulala kazi yaan kutokuja kazini. KaribuMkataba na sheria zinasemaje kuhusu kusinzia kazini?
Ivi kulala maana yake nn? Nimelala kwenye kiti? Na kwann asinishtue
Kwenye mkataba hakuna Mambo ya kusinzia kazini. Bali Kuna kuhusu kulala kazi yaan kutokuja kazini. Karibu

mkuu ukijibiwa naomba unitag! sio kazini tu hata kwenye maisha yetu ya kila siku.Habari wakuu
Naomba nipeni taratibu za kisheria endapo KIONGOZI wako wa kazi akikupiga picha na kutuma mtandaoni.
Natanguliza shukrani
Ni makosa kisheria kutuma mtandaoni picha za mtu bila consent yake.Habari wakuu
Naomba nipeni taratibu za kisheria endapo KIONGOZI wako wa kazi akikupiga picha na kutuma mtandaoni.
Natanguliza shukrani