Kumpiga mama yako mzazi na kumtukana kisa visa vya uzee imekaaje hii

Huku uchagani mtoto kumdunda mzazi mpaka anakema na kutapika damu ni kitu cha kawaida sana.

Tena wanasubiria amelewa wanamdunda kinyama.
Leo nimepata jibu kwanini makabila mengi ya wachaga wana psychiatric problem japo ni kweli wana maendeleo lakini uchagani vichaa wengi mno shauri ya laana na pombe
 
Kuna binadamu wanasikitisha sana...

Ila hizi tabia za kutukanana na mama zao wanazo sana watoto kike...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom