NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,032
- 4,028
Nimeona niweke hii mada si wongo mama zetu wakizeeka wanakuwa na vituko mno mfano anaweza jisaidia akajipaka kinyesi.Kibaya zaidi anatamka kuacha laana hii imekaaje je laana ipo kweli maana wengine wana test zali kuona je mke wako atampendaje akiwa mzee.Au unakuta huyo huyo mama ni mama wa mkeo anamtendea mama yake hivyo na kumtukana