Kumpiga chura teke ni kumwongezea mwendo, peoplesss powerrr !

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,064
22,757
CCM mtatuweka ndani lakini Igunga tunashinda. Ni kama kumpiga chura teke, unamwongezea tu mwendo ! Kashindye ashinde, Kafumu afumuliwe.


attachment.php



 
Niliposikia lisu ameenda igunga nilijua suala la kesi limeisha, magamba vilaza na mbumbumbu wa sheria wanawaza ufisadi tu!kashinde..................kafumu afumuliwe!nimemuona jana hata kujieleza hawezi nikacheka sana!hivi magambani hakuna watu wenye cv ambayo haijachafuka kweli???huyu jamaa si ashawahi kuwa kamishina wa madini??madudu yake si ndo moja ya matatizo yanayotufikisha hapa leo???akya mungu kafumu afumuliwe!!!!!!
 
Back
Top Bottom