Kumpenda na kumtaman mtu muda mwingine inachukuaga muda kutofautisha hivi vitu

Artifact Collector

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
6,539
10,006
Kupenda na kutaman ni vitu ambacho watu wengi wanaamin wanaweza kuvitofautisha, lakin ukweli ni kwamba mda mwingine ni ngumu na inachukua mda kutofautisha

Yaan unaweza kaa na MTU katika mahusiano au ndoa miaka mitatu, minne au sita kwenye mahusiano naye, ndo unakuja gundua ulikua unamtamani na ulikuwa humpendi

Na hii ni kutokana na ukweli kwamba ukimpenda MTU huwez mchoka hata iweje. Lakin ukimtaman MTU usipomchoka Leo au kesho, basi baada ya miaka kadhaaa mbele utamchoka tu

Kutokana na ugumu wa kutofautisha hivi vitu viwili, tuwe tuna mshirikisha Mungu hasa pale tunapojiandaa kuingia kwenye ndoa. Kwa nini ndoa Kwa sababu kwenye uchumba wa kawaida in rahisi kuachana na huyu kuanza mahusiano na MTU mwingine, tofaut na kwenye ndoa inakua na madhara makubwa pale ndo inapovunjika
 
Hiyo hali tunaimaliza vipi??

Siyakudumisa Nkosi Yezulu
Kwa mtazamo wangu, kwanza inabidi kuwa na msimamo katika maisha especially ya mapenzi.
Pili unapoona mmekwaruzana na mpenzi wako chukua muda kutafakari kama kweli unahisi huwezi kuishi bila yeye au ulimtamani tu kimapenzi.
Tatu, fanya maamuzi sahihi. Kama kweli unampenda jishushe myamalize, ikibidi mfunge na ndoa.
 
Owk thank uu. Nimekuelewa. Maana nilishtuka kidogo kwa coment yako. Niliunganisha na tukio fulani
Kwa mtazamo wangu, kwanza inabidi kuwa na msimamo katika maisha especially ya mapenzi.
Pili unapoona mmekwaruzana na mpenzi wako chukua muda kutafakari kama kweli unahisi huwezi kuishi bila yeye au ulimtamani tu kimapenzi.
Tatu, fanya maamuzi sahihi. Kama kweli unampenda jishushe myamalize, ikibidi mfunge na ndoa.

Siyakudumisa Nkosi Yezulu
 
Mkuu kuna mwanamke aliniambia, unataka nife kwa ajili yako ndio ujue nakupenda??
Nilimuangalia nusu nilie.
Maana nimemsumbua sana. Sikuwa nampenda kivileee ila nilimtongoza kwa masihara tuuu, baada ya kuona anakuja kwa nguvu na sina pa kumpeleka nikaanza kumzungusa.
Uliacha alafu ukashtuka kua umetupa dhaabu?

Siyakudumisa Nkosi Yezulu
 
Mkuu kuna mwanamke aliniambia, unataka nife kwa ajili yako ndio ujue nakupenda??
Nilimuangalia nusu nilie.
Maana nimemsumbua sana. Sikuwa nampenda kivileee ila nilimtongoza kwa masihara tuuu, baada ya kuona anakuja kwa nguvu na sina pa kumpeleka nikaanza kumzungusa.

Siyakudumisa Nkosi Yezulu
Hahahaaaaa ukajua ni mimi? Sasa umemmis au hata kumfikiria tu hutaki?
 
Dah, hii hali inakuwaga noma! Ukisema usitishe mahusiano mwenzio hataki kukuacha hatari sana. Jamani vijana msijaribu jaribu hayo ndio madhara yake!
 
Kwa mtazamo wangu, kwanza inabidi kuwa na msimamo katika maisha especially ya mapenzi.
Pili unapoona mmekwaruzana na mpenzi wako chukua muda kutafakari kama kweli unahisi huwezi kuishi bila yeye au ulimtamani tu kimapenzi.
Tatu, fanya maamuzi sahihi. Kama kweli unampenda jishushe myamalize, ikibidi mfunge na ndoa.
Unaambiwa kwamba do not say a negative word to your woman because women feel words!! But men not, men do analyse words!! Hapo ndipo matatizo yanapoanzia pia ktk mahusiano na ndoa nyingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada yko wa karbu unampenda ila humtamani
Mama yko unampenda ila humtaman
Rafki yko wa karbu skuzote unampenda ila humtamani

Ili mapenz yadum mda mrefu inamaanisha uwe unampenda na unamtamani
Kimoja kikikosekana lazima shida iwepo kwenye mahusiano
Sanasana kutaman
Ili mapenzi yaende vzr kwetu sie wanaume inabid umtamani ulienae
Kama unampenda ila humtaman ndo chanzo cha kuwa mbovu kwenye mechi

Kupenda kwa kifupi ni kuzoea
Kutamani kunahusisa sexual feelings
 
Tunatamani muonekano na tunapenda tabia...munekano na tabia zikiwa powa,utafurahia mahusiano.
 
Back
Top Bottom