Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,515
- Thread starter
- #41
shukranUmeandika point nzuri fam. Kwa sisi ambao bado hatujaingia kwenye ndoa tumejifunza kitu. At least i know i have.
shukranUmeandika point nzuri fam. Kwa sisi ambao bado hatujaingia kwenye ndoa tumejifunza kitu. At least i know i have.
Sijasema usioe unayempenda ila nachomaanisha kisiwe tu kigezo kimoja cha kwamba unampenda ndo umuoe inakupasa kuna mambo ya msingi ya kuzingatiaIla kuoa mtu usiempenda ni adhabu kubwa mno.
sasa nitaoaje nisipopendwaHakuwa maana yangu hiyo ,mkuu na wala usioe mwanamke kwa sababu unampenda tu sana
Nielewe hoja yangu ni hivi kupenda kusiwe ndo kigezo pekee cha kuowasasa nitaoaje nisipopendwa
Ok mkuuNielewe hoja yangu ni hivi kupenda kusiwe ndo kigezo pekee cha kuowa