Trecy edson
New Member
- May 17, 2014
- 3
- 1
Habari zenu jamani,
Am first mimi ni new member humu MMU ni ntafurahi zaidi endapo mtanipokea kwa mikono miwili na kuonesha ushirikiano wenu,na kubwa ni hili,nimetokea kumpenda kijana mmoja na tukakakubaliana tutajaoana.
Hivyo basi tukakubaliana kama kuna michepuko yoyote pembeni yetu tuachane nayo na tutambulishane kwa wazazi na mimi ni kafanya hivo,bt yeye hataki hata ndugu zake wanijue,kila niendapo kumsalimiaa kwake mama mwenye nyumba akiniita Mrs flani anachukiaaa,nikajaribu kufanya kauchunguzi na kubaini ana mwanamke mwingine nje kwani amekuwa na vijitabiaaa vya ajabu mara ajinunishe pasipo sababu,mara asipokee simu yangu wala kujibu mesegi zangu anazidi kunichanganya,na kumpenda nampenda saaana,naombeni ushauri nifanye nini juu ya huyu mtu jamani.