Kumpenda kwangu ndo imekuwa sababu ya yeye kuniumiza

uvumilivu uwe wa kiasi mama wewekujitoa roho wakati upo kwenye mahusiano jiulize akikuoa ndo mume wa maisha kaanza kukuchoka sasa si ndo kupata presha huko na kufa.... mama wewe kuolewa ni heshima lakini usilazimishe mama...

mwache tena ndo vizui yeye anajua umekwama ndio ujikwamue imuume ..
 
jamani hata kama kupenda upofu embu fungua macho yako unaona kabisa hapo hapafai lakini bado umeng'ang'ana kimbia usijali kuumia.
 
Hapo hakuna mapenzi bidada ila una pata mang'wenzi ya kwenye kipara hivi kusoma alama za nyakati hujajua bado?GO AHEAD!acha kupenda pasipokupendwa.
 
haya ndio madhara ya kuacha mchepuko wakati njia kuu inazingua hebu rud kwa mchepuko fasta
 
Habari zenu jamani,

Am first mimi ni new member humu MMU ni ntafurahi zaidi endapo mtanipokea kwa mikono miwili na kuonesha ushirikiano wenu,na kubwa ni hili,nimetokea kumpenda kijana mmoja na tukakakubaliana tutajaoana.

Hivyo basi tukakubaliana kama kuna michepuko yoyote pembeni yetu tuachane nayo na tutambulishane kwa wazazi na mimi ni kafanya hivo,bt yeye hataki hata ndugu zake wanijue,kila niendapo kumsalimiaa kwake mama mwenye nyumba akiniita Mrs flani anachukiaaa,nikajaribu kufanya kauchunguzi na kubaini ana mwanamke mwingine nje kwani amekuwa na vijitabiaaa vya ajabu mara ajinunishe pasipo sababu,mara asipokee simu yangu wala kujibu mesegi zangu anazidi kunichanganya,na kumpenda nampenda saaana,naombeni ushauri nifanye nini juu ya huyu mtu jamani.

Hii mijiti iliyo mengi ni m.is..h.e.....n...zi sana haibebeki kwa mbeleko yoyote, hata ukichukua mbeleko ya chuma itakojolea, itapata kutu na kutoboka
 
We una umri gani ? Mtafute babu Asprin akukague kwanza alafu matatizo yako atakuwa ameyatibu. Karibu sana MMU na JF at large.
 
Last edited by a moderator:
Hivi bado kuna watu mnajipa stress kwa ajili ya mtu mwingine,jipende kwanza achana na mambo ya kumpenda mtu anakufanya kama mdoli,
 
Mlete hapa JF huyo bazazi wako tumkanye!Mwenyewe umesema jamaa mhuni sasa tukushauri nn tena?
 
Back
Top Bottom