Kumpa Hassan Ngoma wa Clouds Tv kuongoza usemaji wa msafara ni kufeli kwa ITV au upungufu wa nguvukazi IPP Media?

A k A

JF-Expert Member
Jan 9, 2016
226
336
Nimejaribu kufatilia msafara uliobeba mwili wa dr Mengi kutoka Kia airport kuelekea machame kwa mda mrefu anayezungumza ktk msafara mzima ni Hassan Ngoma huku warushaji wakuu wa shughuli hyo wakiwa ITV huku kapalatu na mwenzie wakiwa studio wakimfuatilia na kujiunga nae mara moja moja huku wakimuachia uwanja wote Ngoma...pamoja na hii nayosikia kua ni media united je IPP hawana mtu makini wa kuperform show hyo kiasi kwamba mtu wa clouds ndio anafanya coverage nzima huku wao wakibaki kma supporters tu
 
Wanadamu jamani, ulitaka uwe wewe
 
Juzi wakati wa kuupokea mwili wa Mengi toka Dubai, alitangaza Godfrey Monyo barabarani, ni aibu niliona maana anaishiwa hata maneno ya kutosha! Kama wameona hawana mtuan astahili sio mbaya kukopa!
 
Nimejaribu kufatilia msafara uliobeba mwili wa dr Mengi kutoka Kia airport kuelekea machame kwa mda mrefu anayezungumza ktk msafara mzima ni Hassan Ngoma huku warushaji wakuu wa shughuli hyo wakiwa ITV huku kapalatu na mwenzie wakiwa studio wakimfuatilia na kujiunga nae mara moja moja huku wakimuachia uwanja wote Ngoma...pamoja na hii nayosikia kua ni media united je IPP hawana mtu makini wa kuperform show hyo kiasi kwamba mtu wa clouds ndio anafanya coverage nzima huku wao wakibaki kma supporters tu
Unataka wafiwa tena ndio wawe ma Mc au hujui wana huzuni
 
Nimejaribu kufatilia msafara uliobeba mwili wa dr Mengi kutoka Kia airport kuelekea machame kwa mda mrefu anayezungumza ktk msafara mzima ni Hassan Ngoma huku warushaji wakuu wa shughuli hyo wakiwa ITV huku kapalatu na mwenzie wakiwa studio wakimfuatilia na kujiunga nae mara moja moja huku wakimuachia uwanja wote Ngoma...pamoja na hii nayosikia kua ni media united je IPP hawana mtu makini wa kuperform show hyo kiasi kwamba mtu wa clouds ndio anafanya coverage nzima huku wao wakibaki kma supporters tu

Dalili za uchawi hizi...wahi ukaombewe
 
Back
Top Bottom