Nimejaribu kufatilia msafara uliobeba mwili wa dr Mengi kutoka Kia airport kuelekea machame kwa mda mrefu anayezungumza ktk msafara mzima ni Hassan Ngoma huku warushaji wakuu wa shughuli hyo wakiwa ITV huku kapalatu na mwenzie wakiwa studio wakimfuatilia na kujiunga nae mara moja moja huku wakimuachia uwanja wote Ngoma...pamoja na hii nayosikia kua ni media united je IPP hawana mtu makini wa kuperform show hyo kiasi kwamba mtu wa clouds ndio anafanya coverage nzima huku wao wakibaki kma supporters tu