Kumlinganisha Mrema wa 1995 na Dr Slaa wa 2010 ni sawa na nuru ya Mwezi vs ya Jua

Nilitoa thread "CHADEMA IMEFIKIA NCCR YA MREMA?"Nilitoa thread hiyo miezi kadhaa iliyopita na kwangu nilikusudia kama kutoa changamoto kwa wana-CHADEMA!!! Kilichofuatia thread hiyo ni kuporomoshewa kashfa na kejeli tofauti na lengo nililokusudia!!!

mafisadi ya ccm mnatisha kwa pumba

happy now?
 
mrema alikuwa kichuguu na slaa ni kokoto, jeuri hizo lakini haziwezi kukua.

hata sielewi iweje chadema washindwe hivi? wale watu wote kwenye mikutano yetu walikuwa wanakuja kuangalia ndege?
 
mrema alikuwa kichuguu na slaa ni kokoto, jeuri hizo lakini haziwezi kukua.

hata sielewi iweje chadema washindwe hivi? wale watu wote kwenye mikutano yetu walikuwa wanakuja kuangalia ndege?

madrassa al sul
 
Mazingira ya wakati ule na sasa ni tofauti.
Wakati ule NCCR ndicho kilikuwa chama chenye nguvu sana kuliko vyama vingine vya upinzani.
Sasa hivi Slaa amejikuta akipambana na mzoefu Lipumba.

Besides, uchaguzi huu umekuja na complex complexion (udini, uswahili, etc).

Kwa kweli Slaa has done very well na kama ingekuwa ule wakati wa Mrema nadhani angeweza hata kushinda.

Jamani na sisi Waswahili wacha tutese.. 5 more years.
 
Jamani tumwache mze.e wa watu akapunzike kdg huko maana alikuwa na hari mbaya 7ana. Wawaa mrema

Nani kakwambia bungeni ni sehemu ya kwenda kupumzika Baadaya ya kupigika kimaisha na kiafya (watu wa vunjo maboya sana)...wangemchukua kamanda wa "tafiti" wa chadema akaongeze nguvu mjengoni
 
Mrema was and is still my hero. He goes to HITORY books.
pioneered exposing corrupt leaders
 
Umesikia Slaa amepata kura ngapi maeneo ya Pwani (Tanga, Zanzibar, Pemba, Mafia, Kilwa, Mtwara, Lindi, etc) ukiondoa Dar?
Kuna social group moja obviously imemkataa Slaa wakati the opposite number of that group halijamkataa JK!
Tafakari......

Kwa hiyo ukitoa, maeneo ya pwani huko bara kuna social group nyingine iliyo mkataa jk
Wakati opposite imemkubali slaa!
'Chukua hatua'
A
 
Crap,

Kura za Dr Slaa ni zaidi ya asilimia 50.
Wabunge wa upinzani ni zaidi ya 60
Unless, wewe ni fisadi lililokubuhu (kikwete) linalotaka kuingia ikulu kwa lazima
KINYESI!
Slaa hakupata kura kabisa baadhi ya maeneo na hata yeye mwenyewe alisema nikupoteza resources bure, sasa hiyo 50% angeipataje?
 
The reasons for the performance of opposition in 1995 were entirely different from the ones we have now. Remember the events then, among other things:
1. The government reforms lead to retrenchment of ernomous number of public workers and the public production sector at its lowest (industries not functioning, government coffers empty, etc). This lead tremendous hardships to the common man, including the civil service - up to the PS levels. DESPERATE POPULATION
2. The Nyerere factor, well we know how the wonderful statesman could do. Managed to swing the whole rural population into voting the CCM.
3. There was no money from the FISADIS the way it is available today.

What this tells me is that had it not been for the availability of this FISADI money, opposition could be stronger now without the Nyerere factor. However, the opposition did its own bit of demage to their reputation by increasingly behaving like CCM in their modus operandi such that people could not clearly define the difference. In fact, had it not been the entrance of Slaa in the picture, this election could not be different from the others - a foregone conclusion of a comfortable CCM win. This explains the demage limitation strategies of the rulling party in this election since they were complacent earlier on.

The emergency of SLAA factor rejuvenated the opposition. The force slowly building up over the last four months until election. Sometime, I wish people had known Slaa would run for the post a little bit earlier. Would the picture be different now??? So many young people became motivated to join in too late to register for voting as NEC had already closed their books.

My worry lies from the question as to "what actually is the nature and form of the current wave of enthusiasm to politics?", Is it to dethrone CCM alone? and then what?? Are we going to maintain the same solidarity throughout the five years, or the opposition is giong to mess up the people by their greed to money or power (the same way NCCR mageuzi was turned into a shadow of its own self).

We may go the full cycle around to 1995 again at the joy of CCM. Wait when they start buying the vocal MPs through positions, shangingis, etc, AND those who refuse, use the courts and scandulous triks to finish their political carriers! Most of them are politically novice anyway!

What are the strategies to deal with the situation? I would propose to MOD to start a thread specifically dedicated to serious debate on POST ELECTION reflection to continue serious debate and possibly interact with our new heroes.
 
naona mpaka sasa slaa ana asilimia 19 wakati mrema alipata asilimia 28 mwaka 1995. watu wepesi wa kusahau historia lakini kwa mdundo huu nrema alikuwa kiboko kweli kweli mwaka 1995.

asingelikuwepo nyerere angechukua nchi. chadema muache kelele nendeni vijijini.

kwasababu nyerere amekufa chadema iliwasaidia wakaanza kusema slaa anafanana na nyerere. angelikuwepo kifimbo angewaambia i can't allow my county to go to the dogs

mimi bado naamini mrema wa mwaka 1995 alikuwa kiboko kuliko slaa wa mwaka 2010, mwenzangu unasemaje
 
kama mrema alikuwa kiboko, muangalie leo alivyo, so cheap matendo yake hayaonyeshi alikuwa mpinzani wa kweli, :thinking:
 
Amani iwe kwenu wana GREAT THINKERS! Hebu mtu atukumbushe Mh. Agustine Mrema alipata asilimia ngapi za kura za urais mwaka 1995 ili tuweze kulinganisha na asilimia 26 na ushee alizopata Dr Slaa mwaka huu. Lengo nikufanya rough evaluation ya muitikio wa mageuzi ya siasa kwa Watanzania, na tuweze ku forecast itakavyokua 2015 kama mafisadi hawatafanikiwa kuhonga wasaliti (akina Yuda Iskarioti bado wapo hata hivi leo) wakuvuruga mwenendo mzuri wa CHADEMA na upinzani kwa ujumla!:israel:
 
Mkuu ñçcr iliibuka ghafla haikukua, haikuwa na itikadi, ilikuwa na ushabiki. Mrema hakuwa na mipango nd
io ulikuwa mwisho wake, tofauti na chadema imekuwa taratibu siku hadi siku na sasa imeteka group la watu, wengi wanajua wanaibiwa kwa dhati. Naona mrema na slaa ni watu tofauti, slaa reformist mrema the conservatives, who believed in single party systems
 
Slaa is the best of all politicians in Tanzania, while Mrema the worst of all. Unfortunately I voted for both; I guess it is out of my hunger for change.
 
mkuu ñçcr iliibuka ghafla haikukua, haikuwa na itikadi, ilikuwa na ushabiki. Mrema hakuwa na mipango nd
io ulikuwa mwisho wake, tofauti na chadema imekuwa taratibu siku hadi siku na sasa imeteka group la watu, wengi wanajua wanaibiwa kwa dhati. Naona mrema na slaa ni watu tofauti, slaa reformist mrema the conservatives, who believed in single party systems

mrema alifukuzwa ccm , wakati slaa aliingia chadema baada ya mchujo wa kura ya maoni!!!! Wote walikuwa ccm damu!!!
 
Mh! haya bwana, kumdharau Mrema ni kumdharau Slaa, pengine nguvy ya slaa ni baada ya kusimama kwa watu wa caliber ya Mrema, mtikila n.k

ushabiki na kuweweseka huku ndio kunaharibu vitu vingi hata analysis watu wanashindwa kufanya kwa sababu ya ushabiki!

kama NEC ni ile ile ya CCM basi Mrema alipata asilimia nyingi ya kura mwaka 1995 ambazo slaa kashindwa kuzifikia mwaka 2010, !!!!!!!

muanzisha hoja kweka swali gumu na muhimu sana hapa ila majibu ya baadhi ya vingunge hapo juu yanatia wasiwasi sana!!!

kazi hipo!
 
Mh! haya bwana, kumdharau Mrema ni kumdharau Slaa, pengine nguvy ya slaa ni baada ya kusimama kwa watu wa caliber ya Mrema, mtikila n.k

ushabiki na kuweweseka huku ndio kunaharibu vitu vingi hata analysis watu wanashindwa kufanya kwa sababu ya ushabiki!

kama NEC ni ile ile ya CCM basi Mrema alipata asilimia nyingi ya kura mwaka 1995 ambazo slaa kashindwa kuzifikia mwaka 2010, !!!!!!!

muanzisha hoja kweka swali gumu na muhimu sana hapa ila majibu ya baadhi ya vingunge hapo juu yanatia wasiwasi sana!!!

kazi hipo!
Tafadhali sana Waberoya kumlinganisha Dr. Slaa na Mrema ni tusi ambalo wengine hatuwezi kulivumilia hata kidogo. Yawezekana unampenda Mrema na kila post yako humu yathibitisha hilo na ni kweli hauko peke yako, wapo wale aliokuwa akiwaamuru nenda kushoto ama nenda kulia walikuwa wanamtii - ndivyo Watanzania tulivyo hivyo sitakushangaa ! Msomi wetu Waberoya, pole sana, kuna thread umeanzisha humu ukimwita Dr. Slaa msaliti na kumkebehi kwa tuhuma za ajabu hadi wengine tumeshindwa kuchangia !

Sijui kama unaelewa mageuzi yalipokuwa yanaanza kati ya miaka ya tisini na tisini na nne Mrema alikuwa wapi na alikuwa anafanya nini. Lakini pia sioni ajabu kwani hulka ya Watanzania wengine ndio hivyo tena, haielezeki kwa kuangalia vigezo vya kawaida vya tabia za binadamu. Leo hii kuna wanaodai na kumwita huyo huyo Mrema eti shujaa wa mageuzi, wewe ukiwa moja wao lakini wengine twakumbuka juhudi za huyo shujaa wenu kuyapiga vita mageuzi na wengine bado twauguza majeraha ya FFU chini ya Mrema.

Nakushauri Waberoya umpe sifa zozote zile unazotaka kumpa Mrema lakini siyo kwa kumvunjia heshima Dr. Slaa kwa kujaribu kumlinganisha na huyo msaliti na mchumia tumbo. Mrema kama alivyotabiri mwaka 1993 wakati huo akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani na naibu Waziri Mkuu katika serikali ya CCM chini ya Mwinyi eti ni kichaa tu angeihama CCM na kuingia upinzani, utabiri wake huo unamtafuna sasa. Kwa matamko yake na vitendo vyake vya sasa ni vigumu kumtofautisha na huyo kichaa aliyemtabiri !

Sijui mtu ambaye hadi leo anamhusudu Mrema na kumwona Shujaa kama wewe Waberoya, nikuweke kundi gani kwa sababu kipenzi cha Mrema kwa sasa ni Kikwete. Wapenzi wa Kikwete nao wako wengi na hawaoni tatizo lolote kwa visingizio elfu kidogo mara oh kadanganywa, kaangushwa na watendaji wake au anapigwa vita ndani ya chama chama anachokiongoza. Jamani tukubali kuwa lililooza halina ubani na watu kama Mrema na Kikwete ndio sababu ya Tanzania kujikuta ikipiga mark time kwa miaka yakaribia hamsini.
 
Its sad kama tutawalinganisha hawa ndugu. Yes its true Mrema ndiye aliefungua wanasiasa wengi kwamba Tunaweza Kushinda Nje ya CCM, I will Give This to Mrema. At same time, I don't think is relevant anymore to today political environment. We will see if he have anything left or ideas when Parliament Session Start. Opposition need to stick together to fight Criminals.
 
Back
Top Bottom