Kumlima memo mfanyakazi kwa kujibu mkutanoni ni njia sahihi kutishia wafanyakazi??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Wana ndugu naomba msaada wenu kama si fikra zenu
kuna rafiki yangu majuzi walikuwa na mkutano ofisini mwao
baada ya hapo siku mbili zilizofwata akalimwa memo na mabosi wake
aache kuwasha mdomo wake wakati wa mkutano kisa tu alikuwa akiwatonesha
kidonda mahali pake....inasikitisha sana na jamaa very bright ila najiuliza hizi njia ni sahihi kumnyima mfanyakazi haki yake ya kuongea

ama kuna haja gani yakuwa na mikutano na huku watu wakiogopa...
nafikiri tunaitaji kuwa na viongozi wanaokubali mabadiliko wanaokubali kubadilishwa sehemu moja kwenda kwingine jamani.....mo nakumbuka wakati nikiwa CELTEL UJINGA kama huo ulitaka kuntokea sikuuachia na mpaka leoo hii viongozi wote wana adabu kwa wafanyakazi.....viongozi wacheni wafanyakazi wanavyowaheshimu nanyi mjiheshimu hvyo hvyo
 
1. Umesema "Kumlima memo mfanyakazi kwa kujibu mkutanoni ni njia sahihi kutishia wafanyakazi?? " unaweza kutafsirika kwamba kuna njia sahihi ya kumtisha mfanyakazi, kamwe hakuna njia sahihi ya kumtisha mfanyakazi kwa hiyo hata kabla ya kwenda kwenye details premise ya heading yako iko kushoto. Subtly but deeply flawed.

2. Kama unafanya kazi kwa watu.Popote unapofanya kazi, fanya muajiri akuhitaji kuliko unavyoihitaji kazi.Kama ni kwa kisomo, ujuzi fight everyday uwe katika sehemu ambapo boss anawaza kila siku akiombea usiondoke.Then utaweza kupata uhuru wa kusema unachotaka.hizi habari za kuona kazi ni kama neema ndizo zinafanya minyanyaso hii.

I know it can be unrealistic in terms of not everybody can be that influential, lakini ukweli ndio huu. make them need you, don't need them. Ama sivyo utakubali minyanyaso tu.
 
Back
Top Bottom