TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,744
- 21,194
Nawatetea hawa wanatembea na msemo wa Legacy why?.Ukweli ni kwamba, lipo kundi ndani ya Taifa hili tukufu la Tanzania linaloinyooshea vidole Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba imekumbwa na Rushwa na Ufisadi ghafla...
Zama za Magufuri zimepita akiwa Hai kama kiongozi kimamlaka, ila sasa katika viongozi ambao walikuwepo huyo mwamba amekuwa na tabia yake tofauti ya kiuongozi tofauti na wengine.
Utofauti huo ndiyo umepelekea wengi kutopenda aina ya tabia aliyokuwa nayo kitu ambacho wangi hatukuzoea.
Binadamu tuna tabia ya kutaka tabia, hurka na mienendo za binadamu wote ziwe sawa, kitu ambacho hakiwezekani.
Hawa waliosemwa na wengineo, siyo kwamba wanamtetea Magufuri la asha kuna jambo alilofanya Magufuri ila baadhi yenu mnahafifisha kile alichofanya na ndicho hicho ambacho wale watetea Legacy wanasimama nacho.
Binafsi nasimama nao, japo wengi mnasahau anayeoita ni bora kuliko anayekuja ambaye humjui.