Kumkopesha mtu zama hizi ni kutafuta uadui

Juzi kuna rafiki yangu wa karibu yupo mkoa mwingine nayeye alinipigia simu akitaka nimkopeshe elfu ishirini atarudisha baada ya siku tatu, nikamuamini nikamtumia leo hii ni wiki ya nne kimyaaaaa hakuna dalili ya kulipwa deni langu,

Aiseeeeee
Hatari sana mkuu kamkopesha juzi lakin huu mwezi wa nne hataki kilipa deni hahahaha
 
Kati ya vitu vinavyoua undugu/urafiki ni pesa. Hasa ikifika wakati wa kudai chako.
 
Uaminifu zama hizi haupo. Nilimkopea jamaa angu laki tisa kwa makubaliano kuwa atazirekesha ndan ya wiki mbili ,mwezi 10 mwishoni , baada ya kumtumia akawa hapokei simu wala SMS hajibu. Nikafika kwake hakuja kunipokea akazima simu mpaka jioni akaja na Mimi nilifika SAA tatu asubuhi .

Nikamwambia anipe pesa yangu ,hakuwa nayo ,akaniacha home kwake na familia yake kama siku mbili hivi nikaona nirudi tu kwangu maana mwenye mji kakimbia kwake. Nikawasiliana nae kwenye simu nikamwomba anisaidie laki na nusu kwanza ,kumbe alisema sawa ,ili niondoke tu kwake.

,nilipo rudi zangu mjin hapokei simu wala nn na wala hataki kujua nini kinaendelea kwangu. Juzi jumatano niliwekwa ndani na jamaa angu maana nilimkopa laki nne kuongezea na yangu ili itimie tisa , anaona namzungusha. Ni kweli namzungusha kwasababu ya MTU mwingine. Hili linaniuma sana sana ,kwanini nijitoe kwenye shida ya MTU afu anilipe hivi. Leo amepokea simu ananiambia "hela sina kwahiyo nifanyeje sasa kama umewekwa ndan" akakata simu. Inauma sana . kuna mambo kwenye maisha yanauma mno
Mpe kesi ya ujambazi mpka atoke atakua ameuza mpka shuka zake
 
Wakuu,
Kusaidizana ni kitu cha kawaida kwa binadamu, ni ishara ya utu na upendo, pia huongeza mshikamano na kuaminiana,

Nilimkopesha mjomba wangu laki mbili akidai atanirudishia baada ya mwezi mmoja, ilipofika Kati kati ya mwezi wa makubaliano akakopa tena Tsh laki moja na nusu kwa miadi ya kurejesha kiasi chote, wakuu huu ni mwezi wa tatu hakuna pesa iliyorudi wala dalili za kulipwa deni langu hamna, nimeamua kumpotezea tu,

Juzi kuna rafiki yangu wa karibu yupo mkoa mwingine nayeye alinipigia simu akitaka nimkopeshe elfu ishirini atarudisha baada ya siku tatu, nikamuamini nikamtumia leo hii ni wiki ya nne kimyaaaaa hakuna dalili ya kulipwa deni langu,

Wakuu hivi nakosea kuwakopesha watu?? Je roho mbaya inalipa?? Je ninyi mnakabiliana vipi na hii hali?
sio kwamba tunapenda madeni, ni kwamba unaichukua na uko ulikotaka kuipeleka matokeo yanakuja kinyume na mipango,.
 
Wewe kama mimi

Ndugu au rafiki akitaka mkopo, namkopesha kiasi cha fedha ambacho nipo tayari kukipoteza

Akinilipa fresh, asiponilipa... na hesabu kama hiyo ndio gharama niliyolipia ili nisimkopeshe tena

Imagine unaweza kumwambia mtu sina hela, anakwambia naomba hata nikopee, nitakurudishia tu

Sometime huwa nasema sina tu kupunguza stori nyingi
Mimi nina formula yangu,mtu akinambia nimkopeshe laki na ninataka kumpa basi nitampa nusu yake na nitamname kama bad debtor hili ata asiponilipa maumivu yanakuwa madogo.watu wagumu sana kulipa kipindi hiki
 
Pole sana,

Kwa hayo majibu mimi ninge enda kwake nihakikishe majirani na mke na watoto wake wanajua kwamba amenikopa hela na ananijbu ujinga

Wakati niendelee kutafakari hasara ya kumpatia
Uaminifu zama hizi haupo. Nilimkopea jamaa angu laki tisa kwa makubaliano kuwa atazirekesha ndan ya wiki mbili ,mwezi 10 mwishoni , baada ya kumtumia akawa hapokei simu wala SMS hajibu. Nikafika kwake hakuja kunipokea akazima simu mpaka jioni akaja na Mimi nilifika SAA tatu asubuhi .

Nikamwambia anipe pesa yangu ,hakuwa nayo ,akaniacha home kwake na familia yake kama siku mbili hivi nikaona nirudi tu kwangu maana mwenye mji kakimbia kwake. Nikawasiliana nae kwenye simu nikamwomba anisaidie laki na nusu kwanza ,kumbe alisema sawa ,ili niondoke tu kwake.

,nilipo rudi zangu mjin hapokei simu wala nn na wala hataki kujua nini kinaendelea kwangu. Juzi jumatano niliwekwa ndani na jamaa angu maana nilimkopa laki nne kuongezea na yangu ili itimie tisa , anaona namzungusha. Ni kweli namzungusha kwasababu ya MTU mwingine. Hili linaniuma sana sana ,kwanini nijitoe kwenye shida ya MTU afu anilipe hivi. Leo amepokea simu ananiambia "hela sina kwahiyo nifanyeje sasa kama umewekwa ndan" akakata simu. Inauma sana . kuna mambo kwenye maisha yanauma mno
 
Wakuu,
Kusaidizana ni kitu cha kawaida kwa binadamu, ni ishara ya utu na upendo, pia huongeza mshikamano na kuaminiana,

Nilimkopesha mjomba wangu laki mbili akidai atanirudishia baada ya mwezi mmoja, ilipofika Kati kati ya mwezi wa makubaliano akakopa tena Tsh laki moja na nusu kwa miadi ya kurejesha kiasi chote, wakuu huu ni mwezi wa tatu hakuna pesa iliyorudi wala dalili za kulipwa deni langu hamna, nimeamua kumpotezea tu,

Juzi kuna rafiki yangu wa karibu yupo mkoa mwingine nayeye alinipigia simu akitaka nimkopeshe elfu ishirini atarudisha baada ya siku tatu, nikamuamini nikamtumia leo hii ni wiki ya nne kimyaaaaa hakuna dalili ya kulipwa deni langu,

Wakuu hivi nakosea kuwakopesha watu?? Je roho mbaya inalipa?? Je ninyi mnakabiliana vipi na hii hali?
Hii biashara ya kukopesha binadamu niliishaiacha kitambo labda aje malaika!
Nimelizwa sana na hii biashara ya kukopesha.
Mara ya mwisho nilimkopesha ndugu yangu wa karibu sana ili amalize chuo mwaka wake wa mwisho pale UDOM.
Huu ni mwaka wa pili tangu amalize chuo na kurudi tena kazini kwake.
Simu zangu hapokei, SMS zangu hajibu. Full stop!
 
Uaminifu zama hizi haupo. Nilimkopea jamaa angu laki tisa kwa makubaliano kuwa atazirekesha ndan ya wiki mbili ,mwezi 10 mwishoni , baada ya kumtumia akawa hapokei simu wala SMS hajibu. Nikafika kwake hakuja kunipokea akazima simu mpaka jioni akaja na Mimi nilifika SAA tatu asubuhi .

Nikamwambia anipe pesa yangu ,hakuwa nayo ,akaniacha home kwake na familia yake kama siku mbili hivi nikaona nirudi tu kwangu maana mwenye mji kakimbia kwake. Nikawasiliana nae kwenye simu nikamwomba anisaidie laki na nusu kwanza ,kumbe alisema sawa ,ili niondoke tu kwake.

,nilipo rudi zangu mjin hapokei simu wala nn na wala hataki kujua nini kinaendelea kwangu. Juzi jumatano niliwekwa ndani na jamaa angu maana nilimkopa laki nne kuongezea na yangu ili itimie tisa , anaona namzungusha. Ni kweli namzungusha kwasababu ya MTU mwingine. Hili linaniuma sana sana ,kwanini nijitoe kwenye shida ya MTU afu anilipe hivi. Leo amepokea simu ananiambia "hela sina kwahiyo nifanyeje sasa kama umewekwa ndan" akakata simu. Inauma sana . kuna mambo kwenye maisha yanauma mno
Dah pole sana mkuu, pesa imevunja vitu vingi sana kaka
 
Back
Top Bottom