kumkonyeza mwanamke au kubaishia mwanamke ambae huna mahusiano nae ni kosa kisheria?

menny terry

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
509
667
huwa napenda kubaishia wanawake kwenye daladala na pia kama nimzuri basi lazima ni mkonyeze je ni kosa?
 
siku utatolewa meno yote ya mbele ndo utajua kama ni kosa ama la! huwezi kumkonyeza mwanamke usiyemjua,it is very uncomfortable!kha!
 
huwa napenda kubaishia wanawake kwenye daladala na pia kama nimzuri basi lazima ni mkonyeze je ni kosa?
Kuhusu kubashia ni udungadunga tena ni tatizo la kisaikolojia.
kuhusu kukonyeza soma hii;This is a schematic gesture that is, a more stylized gesture than the mimic gesturewhich has been vilified of late by the antisexist lobby I think a lot depends on where you were brought up In London we use the wink as a friend signal, not a mating signal It's employed as a tie-sign, which means a way of sending quite complex messages to someone in a simple signal It's a sign of like-mindedness or a sign of sharing a joke Sometimes it signals that the winker is just joking about something . As such I think the wink is one of the most attractive gestures in the human repertoire . But then I'm a Londoner . In practical terms it can be seen as sexual harassment in the workplace, which is a real pity
 
mbona jana tulicheza mduara na mke wa waziri, nimtaje? nilikuwa nyuma yake namgasigasi
 
Sospa inakuhusu. Ni kosa na ipo kwenywe marakebisho yaliyofanywa kwenye penal code
 
Ni kosa,cheki SOSPA,but dada zetu kibongobongo hawajui hilo wala hawana tm ya kufuatilia,ila kuwa makini one day itakula kwako.......!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom