Kumkashfu rais sioni kama ni jambo la busara sana.

Mroojr

Member
Nov 15, 2010
65
8
Ndg wanachama wenzangu mimi kwa upeo wangu mdogo sijaona kama ni jambo la busara sana kumkashfu kashfu mheshimiwa rais na kumpa majina ya kejeli kama mkwere n.k.Jambo hili halipendezi kimaadili kwanza ni mtu mzima kiumri,pili ni kiongozi wa nchi yetu hata kama wewe na mimi hatujamchagua haijalishi anafaa apewe heshima yake kama rais.Tusimsemeseme sana kwa mambo yasiyo ya msingi pamoja na uhuru tulionao.Kama ni mapungu wote waliopita walikuwa nayo mkitaka yatasemwa wazi kuanzia 1-4 kikwete.
 
kama amekutuma rudi ukamwambie ni mpuuzi sana na hafai kuwa rais......
 
Ndg wanachama wenzangu mimi kwa upeo wangu mdogo sijaona kama ni jambo la busara sana kumkashfu kashfu mheshimiwa rais na kumpa majina ya kejeli kama mkwere n.k.Jambo hili halipendezi kimaadili kwanza ni mtu mzima kiumri,pili ni kiongozi wa nchi yetu hata kama wewe na mimi hatujamchagua haijalishi anafaa apewe heshima yake kama rais.Tusimsemeseme sana kwa mambo yasiyo ya msingi pamoja na uhuru tulionao.Kama ni mapungu wote waliopita walikuwa nayo mkitaka yatasemwa wazi kuanzia 1-4 kikwete.

Hapo kwenye red:
Hata hayo uliyoyaandika ni matokeo ya hilo hilo. Hata usingesema, thread yako tu inakutambulisha kwa hilo.
 
Ndg wanachama wenzangu mimi kwa upeo wangu mdogo sijaona kama ni jambo la busara sana kumkashfu kashfu mheshimiwa rais na kumpa majina ya kejeli kama mkwere n.k.Jambo hili halipendezi kimaadili kwanza ni mtu mzima kiumri,pili ni kiongozi wa nchi yetu hata kama wewe na mimi hatujamchagua haijalishi anafaa apewe heshima yake kama rais.Tusimsemeseme sana kwa mambo yasiyo ya msingi pamoja na uhuru tulionao.Kama ni mapungu wote waliopita walikuwa nayo mkitaka yatasemwa wazi kuanzia 1-4 kikwete.

Akili yako na ya kwakwe wote mko sawa - malofa malofa tu!
 
Kumshauri kiongozi afanye mambo ya msingi kwa ajili ya maendeleo ya Taifa mnaita "kumsemasema.." ndo maana tunazunguka-zunguka badala ya kwenda mbele...mshaurini ya ukweli hata kama hayamfurahishi..
 
Nyote mnaonekana kutoa majibu mepezi katika swali ngumu; linapokuja suala la rais, lazima tuzingatie mambo mawili. kwanza, ofisi ya rais kama taasisi, na pili mtu anayeshikiria ofisi hiyo kwa wakati uliopo. Ofisi ya rais kama taasisi ndiyo iliyo kielelezo chetu wote kama taifa. Kwahiyokitendo chochote kinachodhalilisha ofisi hiyo kinatuhadhiri sisi wote. Hata hivyo jukumu la kutunza wa heshima ya ofisi hiyo, linamuangukia zaidi yule aliyokalia kiti cha ofisi. Katika miaka ya karibuni kumekuwepo tuhuma mbali mbali zinazowahusisha wale wanaoshikiria ofisi hiyo na vitendo vya hujuma wa rasilimali za nchi. Tutake tusitake tuhuma hizo zimeishushia heshima ofisi ya rais na hadhi ya taifa letu. Nchi nyingine katika kukwepa hali hiyo, katiba zao zinatenga ofisi ya mkuu wa nchi na ile ya mkuu wa serikali, kwa imani kwamba kwamba kwakuwa mkuu wa nchi hatakuwa na majukumu ya kiutendaji hataweza kuteteleka. Pengine kuna haja ya na sisi kuanza kufikiria kutenga hizo ofisi wakati wa mchakato wa kubadirisha katiba.
 
kanuni ya heshima;jiheshimu na uaheshimu wenzako ndipo uheshimike.eti"WANAOPATA UKIMWI NA UJAUZITO NI VIHEREHERE VYAO!"
 
Sikumchagua na simtambui kuwa ni raisi wa Tanzania hivyo ninaweza sema chochote juu yake!
 
kama leo amealikwa kwenda kwenye tamasha la pasaka kwani lazima aende yeye? Je tukimuita mzaramo kwa masherehe tusemaje?
 
Hii ingesemwa kwa mtume Slaa basi ingetembea ban, hongera JF kwa kuwa jukwaa huru.

Kweli kabisa! Hii Forum ingefaa ikaitwa kwa jina lake linalostahiki badala ya JAMII FORUMS. Hata hivyo ni changamoto kuendelea kuwa humu kwa vile tunaona viwango vya busara zetu!
 
mimi, dr slaa, mbowe, pengo na jf tunamtambua ingawa hawajamchaguwa!!!
mlitaka tusimwite mkwere kwanini yeye si mkwere? Au mnataka tumwite vile vyeo vya kupachikwa dr,dr,dr,dr, acheni hizo bwana yeye mwenyewe anajiita mkwere na ateendelea kuwa mkwere tuu na upumbavu wake!
 
Ndg wanachama wenzangu mimi kwa upeo wangu mdogo sijaona kama ni jambo la busara sana kumkashfu kashfu mheshimiwa rais na kumpa majina ya kejeli kama mkwere n.k.Jambo hili halipendezi kimaadili kwanza ni mtu mzima kiumri,pili ni kiongozi wa nchi yetu hata kama wewe na mimi hatujamchagua haijalishi anafaa apewe heshima yake kama rais.Tusimsemeseme sana kwa mambo yasiyo ya msingi pamoja na uhuru tulionao.Kama ni mapungu wote waliopita walikuwa nayo mkitaka yatasemwa wazi kuanzia 1-4 kikwete.
Kwa upeo wako unaona nani anafaa kukashifiwa.
 
Mkuu umefuka, sasa hivi watu hawataki hata kumwona afadhali hata kumkashfu. Saiv hata ambao hawakupata elimu wanamtukana yaani huyo jamaa watu wamemchoka. Aende zake huko Oman akaungane na Ben Ali
 
Hivi kumwita mtu kabila lake ni kumkashifu?
Mimi ni Mhaya huwa najisikia fahari sana Kuitwa MHAYA sasa sijui tatizo nini kwa Mkwere.
 
Wewe nawe huna hata point, kwani kuita rais majina ya utani kunaongeza au kupunguza tija gani ya maendeleo? Mbona inajulikana tu tangu enzi ya nyerere mpk jk wote wana majina. Nyerere (mchonga), mwinyi (ruksa), etc.

Hata nchi za wengine nje hali ni hiyo hiyo, sio issue ya kutuletea hapa jamii forum, nadhani jf saivi imeingiliwa sana na watoto wa shule, hakuna great thinking any more!
 
mkwere, baba riz, handsome oldman, mzee wa vimwana, mtalii......sio matusi ni baadhi ya sifa zake.
 
Back
Top Bottom