Kumjua adui wako ni nusu ya ushindi. Ndivyo maadui walivyoteketezwa kiulainiii!

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,375
Ndivyo ilivyotokea. Kwa sasa hawa jamaa si tishio tena. Mizizi yao imekatwa na tawi walilokuwa wanashikilia limekatika na limesombwa na maji.
 
Kweli kabisa Man U si tishio tena walikuwa wanategemea sana kubebwa na marefa.
Matawi waliyokuwa wanayashikilia yamekatwa.
 
Ni kweli kabisa mkuu, arsenal walionekana tishio sana, hata mechi ilipoabza hilo lilionekana wazi ila taratibu barcelona wakazijua mbinu zao.... na hapo ndio arsenal walipoteketezwa, tawi walilokalia likakatika, wakapigwa goli mbili.
Lizabon umenifikirisha sana leo
 
Ni kweli kabisa mkuu, arsenal walionekana tishio sana, hata mechi ilipoabza hilo lilionekana wazi ila taratibu barcelona wakazijua mbinu zao.... na hapo ndio arsenal walipoteketezwa, tawi walilokalia likakatika, wakapigwa goli mbili.
Lizabon umenifikirisha sana leo
Hahahahahaaaaaaa! Endelea kufikiri mkuu. Inawezekana ulichofikiri mwanzo sicho
 
Barca walimjua vema adui yao (Arsenal) ndio maana ushindi ulikuwa bwerere. Sasa hao washika bunduki nao wajifunze kumjua adui mapema sio tu kudhani mbinu za coach ziko efficient asilimia 100.

Ujumbe waridhawa sana huu "Kumjua adui wako ni nusu ya ushindi."
 
Leicester City nao matawi waliyokalia yanazid kukatwa na arsenal totenham na man city. Yani lizaboni umenifungua macho
 
Kwa sasa wasemaji,viongozi na wenye maamuzi ni waliowaita akili ndogo...wataburuzwa hawatafanya lolote...maji yaliyochemka yamewekewa bonge la barafu na moto umezimwa...na sasa ni mechi kati ya Simba na Smallsimba au Yanga na Toto nini kitatokea?
 
Wiki nzima kabla ya mechi Simba walikua wana chonga tu na pia story za mimba ya Wema nazo sikapungua, homa ilibaki kwa hilo pambano la Watani wa jadi, thank God Yanga wala hawakua na maneno mengi na waliingia uwanjani wakiwa na tahadhari kubwa, kidog kidogo Simba wakapigwa cha kwanza, baada ya half time wakapigwa kingine cha pili, kidogo waombe POO mara mpira ukawa umeisha. BAdo najiuliza, hivi Simba walikua wanajivunia nini ambacho wewe ndio umeiita TAWI!?
 
Back
Top Bottom