Kumiliki "used toyota car" ni symbol tosha ya umaskini

Wabongo wengi hawataki kuishi maisha Yao halisi!
Wanataka show off life style!
Wengi ni social approval seekers!
Hawajikubali!
Kuwa na ufahamu wa kutosha na akili kubwa ni jambo jema sana!
 
Na hii nazani siyo bongo tu ni Kwa waafrica wengi hata wale waliopo America!
Kwa kuwa umaskini unaanzia Kwenye ufahamu!
Unakuta Black Americans wanapenda kuweka miziki yenye sauti kubwaaaaa wakipita barabara kila Mtu aweze ku draw attention kumuangalia na Gari lake!
Ni ulimbukeni wa Hali ya Juu sana !
Mzungu mara nyingi hata vaa yako mostly yuko casual, utajua anazo utakapo muona anatoka na familia kwenda kula pamoja ktk hotel, na ukienda Kwenye bank account Yake utakuta ni millionaire !
 
Mwili jumba alafu upo kwenye kavits flan,au passo! Ngoja tuendelee kujipanga.
 
Umesema ukweli mtupu @ Mleta Mada!
Yani umelenga penyewe!
Magari yenyewe wengi yamenunuliwa Kwa pesa ya mkopo marejesho mtihani kiasi cha kuwapa watu Msongo wa mawazo na kuwa wababaishaji kwa kutafuta namna mbadala ya kujikimu!
Hebu tuonyeshe "LINDINGA" lako ulilonunua kwa Cash boss?
 
Si mpaka ninunue cash?!
Ninunue cash nitambe?!
Msome vizuri mleta Mada katikati ya mistari umuelewe, Kisha nisome vizuri na Mimi michango yangu!
Ngoja ni Kwamba tuache mashauzi na misifa , tuheshimiane na hata waenda Kwa miguu!
Sababu hata tunaojiona tufanikiwa siyo kiivyo ukilinganisha na wengine wenye ma brand makubwa na bado wanakuwa watu simpo tu!
 
Hakuna nchi haziuzwi used car hata Japan kwenyewe kuna maduka ya used cars. Acha ushamba mtoa mada
Ataachaje ushamba wakato hajawahi kutoka hata nje ya nchi wala hajui kinachoendelea duniani? Angekua katoka nje angeona maduka ya used things kila pahala. Toyota anayoiponda ndio inaongoza kwa uzalishaji wa magari duniani, ikifuatiwa na general motors kwa ukaribu. Ushanba ni mzigo.
Samahani kwa povu lakini.
 
mtoa mada nimekusoma nimekuelewa,

bila shaka kuna mtu amekukwaza,,, alafu kwa haraka ukamchunguza ukaona hajakuzidi kitu, nahisi hujamwagia povu kwa kuwa unamheshimu,,

sasa umekuja huku umetupa jiwe gizani, aiseeeh
 
Nashangaa sana Imekua kama Vile symbo Moja wapo Ya Utajiri kwa nchi za Africa especially Bongo Land kwa Mtu kumiliki Gari.
Gari lenyewe sasa Mtu analotamba nalo Ni Toyota Brand,nyingi Zikiwa Hizi Baby Walker. ..
Mtu ananunua katoyota Basi ndio hata akifika mahala kwenye Kakikao cha Ukoo anataka asikilizwe yeye tu hata kama ataongea pumba. .
Mtu unakuta ni Chembamba kuliko Fidodido ,ila atakavyojitanua sasa sanamu la michelini halioni ndani.

Ufunguo siku izi wanaweka kwnye kale Kadude ka mkanda. ...

Ivi mnajua Huo Mtumba wako wa Gari Nchi nyingine ni Dumped Product Ama ! Unajua Kuna nchi Nyingi Gari yako hiyo unayojidai nayo Ukithubutu kuigiza Nchi kwao unaweza Fungwa Hadi Miaka 30 Jela kwa Kuingiza Bidhaa chakavu.

TUPUNGUZENI MBWEMBWE NA HIVI VIUCHAFU VYETU JAMANI.
MBWEMBWE ZIANZIE
HAPA
0KM BRAND NEW CAR /SUPER BRAND ..SUPER BRAND NAZUNGUMZIA KINA BMW NA NDUGU ZAKE.
ILA KWA SISI WENGINE TUWENI TU WAPOLENI TUNAMILIKI TAKATAKA.

Nnaposema ni symbol tosha ya Umaskini wala sikosei though mtanishambulia,Jaribu kuchunguza kwann Unayo gari uliyonayo , I mean ni vigezo gani vilikufanya umiliki hiyo gari. ? Wengi mliangalia CC...plus Upatikanaji Wa Spare . ... maanake ni nn , mnaogopa Gharama za mafuta. .. Kuogopa Gaharama ni nn , kuogopa gharama maana yake ni kutokua na uwezo wa kujitosheleza/kua na uwezo mdogo wa kukabili majukumu makubwa.

Binafsi nnachoendelea kukikomba mwaka huu , moja wapo ni hili , Gari langu la pili lisitoke kwa Hawa Jamaa wa Japan Used Car na Liwe ni Brand New 0KM.
My Case is Different.

My take.

Enough is Enough bana Kwann wao hawatumii Mitumba kutoka Africa , Hadi Nguo za ndani wanatuuzi Used .. Tushikweni na Hasira sasa tuache Kujigamba na Huu uchafu wanaotutupia Hawa watu , mbaya Zaidi Uchafu huo ndio unakuja kutumika kututengenezea Matabaka sisi wenyewe.
Tambua tu ww , Mwenye pikipiki na Asiyekua na chombo chochote cha Moto kwa sisi hapa Bongo wote tu kwnye Tabaka Moja la UMASKINI.
Kwetu kulikuwa na mkokoteni na kijiji kizima walikuwa wanatukubali.
Brother aliporudi kutoka masomoni na Toyota Stout mambo yakawa moto zaidi. Gari lile limedumu sana.
Sikuelewi mtoa mada unapoongelea BMW au magari mengine ya show!
Toyota ni gari bwana!
Labda kama umeandika ukiwa umeweka non local brew!
 
Si mpaka ninunue cash?!
Ninunue cash nitambe?!
Msome vizuri mleta Mada katikati ya mistari umuelewe, Kisha nisome vizuri na Mimi michango yangu!
Ngoja ni Kwamba tuache mashauzi na misifa , tuheshimiane na hata waenda Kwa miguu!
Sababu hata tunaojiona tufanikiwa siyo kiivyo ukilinganisha na wengine wenye ma brand makubwa na bado wanakuwa watu simpo tu!
Wacha maneo ya kujipa moyo khs suala la kutembea kwa miguu,pambana uvute ndinga au tupia "LINDINGA" lako ulilonunua la CASH boss.

Maana naona shida yako ni watu wenye kukopa kununua Magari.
 
Viipi mleta mada unasemaje kumiliki gari jipya la kukopa ni utajiri au umaskini?
 
Aaaaaah kweli this is LIVING
Yaaani mtu kanyimwa lift na jirani yake na mvua zinavyoendelea kunyesha katoa povu mpaka baasi.
 
Leo mada za Magari mbona Zinakuja Juu sana... Ila nimependa hapo kwenye kikao cha Ukoo
 
Nashangaa sana Imekua kama Vile symbo Moja wapo Ya Utajiri kwa nchi za Africa especially Bongo Land kwa Mtu kumiliki Gari.
Gari lenyewe sasa Mtu analotamba nalo Ni Toyota Brand,nyingi Zikiwa Hizi Baby Walker. ..
Mtu ananunua katoyota Basi ndio hata akifika mahala kwenye Kakikao cha Ukoo anataka asikilizwe yeye tu hata kama ataongea pumba. .
Mtu unakuta ni Chembamba kuliko Fidodido ,ila atakavyojitanua sasa sanamu la michelini halioni ndani.

Ufunguo siku izi wanaweka kwnye kale Kadude ka mkanda. ...

Ivi mnajua Huo Mtumba wako wa Gari Nchi nyingine ni Dumped Product Ama ! Unajua Kuna nchi Nyingi Gari yako hiyo unayojidai nayo Ukithubutu kuigiza Nchi kwao unaweza Fungwa Hadi Miaka 30 Jela kwa Kuingiza Bidhaa chakavu.

TUPUNGUZENI MBWEMBWE NA HIVI VIUCHAFU VYETU JAMANI.
MBWEMBWE ZIANZIE
HAPA
0KM BRAND NEW CAR /SUPER BRAND ..SUPER BRAND NAZUNGUMZIA KINA BMW NA NDUGU ZAKE.
ILA KWA SISI WENGINE TUWENI TU WAPOLENI TUNAMILIKI TAKATAKA.

Nnaposema ni symbol tosha ya Umaskini wala sikosei though mtanishambulia,Jaribu kuchunguza kwann Unayo gari uliyonayo , I mean ni vigezo gani vilikufanya umiliki hiyo gari. ? Wengi mliangalia CC...plus Upatikanaji Wa Spare . ... maanake ni nn , mnaogopa Gharama za mafuta. .. Kuogopa Gaharama ni nn , kuogopa gharama maana yake ni kutokua na uwezo wa kujitosheleza/kua na uwezo mdogo wa kukabili majukumu makubwa.

Binafsi nnachoendelea kukikomba mwaka huu , moja wapo ni hili , Gari langu la pili lisitoke kwa Hawa Jamaa wa Japan Used Car na Liwe ni Brand New 0KM.
My Case is Different.

My take.

Enough is Enough bana Kwann wao hawatumii Mitumba kutoka Africa , Hadi Nguo za ndani wanatuuzi Used .. Tushikweni na Hasira sasa tuache Kujigamba na Huu uchafu wanaotutupia Hawa watu , mbaya Zaidi Uchafu huo ndio unakuja kutumika kututengenezea Matabaka sisi wenyewe.
Tambua tu ww , Mwenye pikipiki na Asiyekua na chombo chochote cha Moto kwa sisi hapa Bongo wote tu kwnye Tabaka Moja la UMASKINI.
Weka definition ya utajiri. Nafikiri UPO off point. Utajiri unamaana tofauti kwa kila mahali na kila Jamii. Pole Ndugu.
 
Nadhani Luna MTU unamlenga hapa ila hujataka kumtaja
Bila shaka uko Naye kitaa au ni nduguyo kabisa umeona uje usemee huku
Ila pambana na hali yako boss
Usifanye kitu kufurahisha watu
Kama unaweza kutoka na new brand napo sawa maana ni ya kwako acha mbwembwe maana nao ni ushamba
Nadhani jamaa aliwakomoa kwenye kikao na used car take?tehtehteh funguo aliweka mezani wote muone
 
Nashangaa sana Imekua kama Vile symbo Moja wapo Ya Utajiri kwa nchi za Africa especially Bongo Land kwa Mtu kumiliki Gari.
Gari lenyewe sasa Mtu analotamba nalo Ni Toyota Brand,nyingi Zikiwa Hizi Baby Walker. ..
Mtu ananunua katoyota Basi ndio hata akifika mahala kwenye Kakikao cha Ukoo anataka asikilizwe yeye tu hata kama ataongea pumba. .
Mtu unakuta ni Chembamba kuliko Fidodido ,ila atakavyojitanua sasa sanamu la michelini halioni ndani.

Ufunguo siku izi wanaweka kwnye kale Kadude ka mkanda. ...

Ivi mnajua Huo Mtumba wako wa Gari Nchi nyingine ni Dumped Product Ama ! Unajua Kuna nchi Nyingi Gari yako hiyo unayojidai nayo Ukithubutu kuigiza Nchi kwao unaweza Fungwa Hadi Miaka 30 Jela kwa Kuingiza Bidhaa chakavu.

TUPUNGUZENI MBWEMBWE NA HIVI VIUCHAFU VYETU JAMANI.
MBWEMBWE ZIANZIE
HAPA
0KM BRAND NEW CAR /SUPER BRAND ..SUPER BRAND NAZUNGUMZIA KINA BMW NA NDUGU ZAKE.
ILA KWA SISI WENGINE TUWENI TU WAPOLENI TUNAMILIKI TAKATAKA.

Nnaposema ni symbol tosha ya Umaskini wala sikosei though mtanishambulia,Jaribu kuchunguza kwann Unayo gari uliyonayo , I mean ni vigezo gani vilikufanya umiliki hiyo gari. ? Wengi mliangalia CC...plus Upatikanaji Wa Spare . ... maanake ni nn , mnaogopa Gharama za mafuta. .. Kuogopa Gaharama ni nn , kuogopa gharama maana yake ni kutokua na uwezo wa kujitosheleza/kua na uwezo mdogo wa kukabili majukumu makubwa.

Binafsi nnachoendelea kukikomba mwaka huu , moja wapo ni hili , Gari langu la pili lisitoke kwa Hawa Jamaa wa Japan Used Car na Liwe ni Brand New 0KM.
My Case is Different.

My take.

Enough is Enough bana Kwann wao hawatumii Mitumba kutoka Africa , Hadi Nguo za ndani wanatuuzi Used .. Tushikweni na Hasira sasa tuache Kujigamba na Huu uchafu wanaotutupia Hawa watu , mbaya Zaidi Uchafu huo ndio unakuja kutumika kututengenezea Matabaka sisi wenyewe.
Tambua tu ww , Mwenye pikipiki na Asiyekua na chombo chochote cha Moto kwa sisi hapa Bongo wote tu kwnye Tabaka Moja la UMASKINI.
Mkuu umesema kweli pia kuna wanaume wana gari za kike lst ina shepu ya kike tene shepu ya kinyarwanda maana nyuma imetanuka mbele nyembaba alafu unamuona mwanaume kachonga ndevu 0 anaringa nayo.
 
45 Reactions
Reply
Back
Top Bottom