Kumiliki "used toyota car" ni symbol tosha ya umaskini

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Nashangaa sana Imekua kama Vile symbol Moja wapo Ya Utajiri kwa nchi za Africa especially Bongo Land kwa Mtu kumiliki Gari.
Gari lenyewe sasa Mtu analotamba nalo Ni Toyota Brand, nyingi Zikiwa Hizi Baby Walker. ..
Mtu ananunua katoyota Basi ndio hata akifika mahala kwenye Kakikao cha Ukoo anataka asikilizwe yeye tu hata kama ataongea pumba. . Mtu unakuta ni Chembamba kuliko Fidodido, ila atakavyojitanua sasa sanamu la michelini halioni ndani.

Ufunguo siku hizi wanaweka kwenye kale Kadude ka mkanda. ...

Hivi mnajua huo Mtumba wako wa Gari Nchi nyingine ni Dumped Product Ama ! Unajua Kuna nchi Nyingi Gari yako hiyo unayojidai nayo Ukithubutu kuingiza Nchi kwao unaweza Fungwa Hadi Miaka 30 Jela kwa Kuingiza Bidhaa chakavu.

TUPUNGUZENI MBWEMBWE NA HIVI VIUCHAFU VYETU JAMANI.
MBWEMBWE ZIANZIE
HAPA
0KM BRAND NEW CAR /SUPER BRAND ..SUPER BRAND NAZUNGUMZIA KINA BMW NA NDUGU ZAKE.
ILA KWA SISI WENGINE TUWENI TU WAPOLENI TUNAMILIKI TAKATAKA.

Nnaposema ni symbol tosha ya Umaskini wala sikosei though mtanishambulia, jaribu kuchunguza kwanini Unayo gari uliyonayo, I mean ni vigezo gani vilikufanya umiliki hiyo gari. ? Wengi mliangalia CC...plus Upatikanaji Wa Spare . ... maanake ni nn , mnaogopa Gharama za mafuta. .. Kuogopa Gharama ni nini, kuogopa gharama maana yake ni kutokua na uwezo wa kujitosheleza/kuwa na uwezo mdogo wa kukabili majukumu makubwa.

Binafsi nnachoendelea kukikomba mwaka huu, moja wapo ni hili, Gari langu la pili lisitoke kwa hawa Jamaa wa Japan Used Car na Liwe ni Brand New 0KM.
My Case is Different.

My take.

Enough is Enough bana Kwanini wao hawatumii Mitumba kutoka Africa, Hadi Nguo za ndani wanatuuzia Used .. Tushikweni na Hasira sasa tuache Kujigamba na Huu uchafu wanaotutupia Hawa watu, mbaya Zaidi Uchafu huo ndio unakuja kutumika kututengenezea Matabaka sisi wenyewe.
Tambua tu wewe, Mwenye pikipiki na Asiyekua na chombo chochote cha Moto kwa sisi hapa Bongo wote tu kwenye Tabaka Moja la UMASKINI.
 
Nashangaa sana Imekua kama Vile symbo Moja wapo Ya Utajiri kwa nchi za Africa especially Bongo Land kwa Mtu kumiliki Gari.
Gari lenyewe sasa Mtu analotamba nalo Ni Toyota Brand,nyingi Zikiwa Hizi Baby Walker. ..
Mtu ananunua katoyota Basi ndio hata akifika mahala kwenye Kakikao cha Ukoo anataka asikilizwe yeye tu hata kama ataongea pumba. .
Mtu unakuta ni Chembamba kuliko Fidodido ,ila atakavyojitanua sasa sanamu la michelini halioni ndani.

Ufunguo siku izi wanaweka kwnye kale Kadude ka mkanda. ...

Ivi mnajua Huo Mtumba wako wa Gari Nchi nyingine ni Dumped Product Ama ! Unajua Kuna nchi Nyingi Gari yako hiyo unayojidai nayo Ukithubutu kuigiza Nchi kwao unaweza Fungwa Hadi Miaka 30 Jela kwa Kuingiza Bidhaa chakavu.

TUPUNGUZENI MBWEMBWE NA HIVI VIUCHAFU VYETU JAMANI.
MBWEMBWE ZIANZIE HAPA

0KM BRAND NEW CAR /SUPER BRAND ..SUPER BRAND NAZUNGUMZIA KINA BMW NA NDUGU ZAKE.
ILA KWA SISI WENGINE TUWENI TU WAPOLENI TUNAMILIKI TAKATAKA.
Sema wewe tu huna uwezo mbona ma used cars mengine very luxurious. Mayweather mwenyewe anauza buggati lake
 
Nashangaa sana Imekua kama Vile symbo Moja wapo Ya Utajiri kwa nchi za Africa especially Bongo Land kwa Mtu kumiliki Gari.
Gari lenyewe sasa Mtu analotamba nalo Ni Toyota Brand,nyingi Zikiwa Hizi Baby Walker. ..
Mtu ananunua katoyota Basi ndio hata akifika mahala kwenye Kakikao cha Ukoo anataka asikilizwe yeye tu hata kama ataongea pumba. .
Mtu unakuta ni Chembamba kuliko Fidodido ,ila atakavyojitanua sasa sanamu la michelini halioni ndani.

Ufunguo siku izi wanaweka kwnye kale Kadude ka mkanda. ...

Ivi mnajua Huo Mtumba wako wa Gari Nchi nyingine ni Dumped Product Ama ! Unajua Kuna nchi Nyingi Gari yako hiyo unayojidai nayo Ukithubutu kuigiza Nchi kwao unaweza Fungwa Hadi Miaka 30 Jela kwa Kuingiza Bidhaa chakavu.

TUPUNGUZENI MBWEMBWE NA HIVI VIUCHAFU VYETU JAMANI.
MBWEMBWE ZIANZIE HAPA

0KM BRAND NEW CAR /SUPER BRAND ..SUPER BRAND NAZUNGUMZIA KINA BMW NA NDUGU ZAKE.
ILA KWA SISI WENGINE TUWENI TU WAPOLENI TUNAMILIKI TAKATAKA.
Usituletee Ugomvi Binafsi au Wivu Hapa JF
 
Akili ya maskini siku zote hujifariji....wenzako wanadrive we baki unavuta mdomo....0km inamaa hiyo gari imetengenezewa chumbani kwako? Inatembea kitandani tu? Maana ninavyojuwa 0km maana yake hubebwa!...watu Wa kariba yako hata wanapoona mtu kajenga! Husema MIJENGO ULAYA BONGO MABANDA TU!
 
Ndo tabu za watu wenye roho za kukosa hubakiza majungu tu.
Haya tuambie wewe unamiliki gari gani? Hata kama unamiliki buggatti binadamu hatukosawa hayo unayoyaita baby Walker hawajatengenezewa mbuzi tumetengenezewa watu kuendana na vipato vyetu.
Mbuzi hula kwa urefu wa kamba.
 
45 Reactions
Reply
Back
Top Bottom