Kumiliki dry cleaner nyumbani

WAKU-GOOGLE

JF-Expert Member
Jan 20, 2015
950
623
Habari wakuu.

Kulingana na ubachela na changamoto ya ufuaji natamani kumiliki dry cleaner ili kurahisisha swala la usafi.

Pia kujua bei zake na uimara wake.

Naomba ushauri kutoka kwa watu wanao zitumia majumbani na wana Jf kwa ujumla.
 
Mkuu sema laundry machine ukisema dry cleaning unamaanisha kufua nguo bila kutumia maji

Mashine zinaanzia 450000 kuendelea kutokana na mahitaji yako.

Pia zipo ambazo automatic, sem automatic na manual.

Kuna zile zinazofua tu na kuna zinazofua na kukausha wewe tu na pesa yako
 
Nashukuru mkuu.

Vipi ni ipi yenye ubora na uwezo wa kuchukua nguo nyingi kidogo kwa pamoja na bei isizidi Laki 5?
 
Back
Top Bottom