luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,295
- 8,258
Kama ni ma To tafuta To wa form six 2012,form 4 2014 alafu uje hapa nakwambia hakuna idara mnayotupita tumewagaragaza kote mnachofanya ni kujaribu kutufukuziaLo utachekwa Sana Kwa unayoyandika .hebu tuamie maTo tz Kwa wa form six mwaka huu kijana Anthony mulokozi.hebu nenda udsm mabest students wengi wanatokea wap.bila kusahau asilimia 60 ya maprofesa wote wanatokea bk tena sehemu moja maarufu kama ulaya ndogo.muhaya sifa yake kusoma na kuchimba
ma To wachaga tumekuwa nao tangu enz na enz mfano mke wa mbowe anaitwa Dr Lilian mtei alikuwa To miaka hiyo ,mwaka 2012,14,2008 pia tulitoa ma To Sasa hapo ndio Kuna jipya gan?