Kumi bora std seven kagera wamependelewa au ni akili 50% kutoka kagera, mikoa 29 ilobaki nayo 50%

Lo utachekwa Sana Kwa unayoyandika .hebu tuamie maTo tz Kwa wa form six mwaka huu kijana Anthony mulokozi.hebu nenda udsm mabest students wengi wanatokea wap.bila kusahau asilimia 60 ya maprofesa wote wanatokea bk tena sehemu moja maarufu kama ulaya ndogo.muhaya sifa yake kusoma na kuchimba
Kama ni ma To tafuta To wa form six 2012,form 4 2014 alafu uje hapa nakwambia hakuna idara mnayotupita tumewagaragaza kote mnachofanya ni kujaribu kutufukuzia
ma To wachaga tumekuwa nao tangu enz na enz mfano mke wa mbowe anaitwa Dr Lilian mtei alikuwa To miaka hiyo ,mwaka 2012,14,2008 pia tulitoa ma To Sasa hapo ndio Kuna jipya gan?
 
Lo utachekwa Sana Kwa unayoyandika .hebu tuamie maTo tz Kwa wa form six mwaka huu kijana Anthony mulokozi.hebu nenda udsm mabest students wengi wanatokea wap.bila kusahau asilimia 60 ya maprofesa wote wanatokea bk tena sehemu moja maarufu kama ulaya ndogo.muhaya sifa yake kusoma na kuchimba
Hapo umedanganya labda hiyo asilimia 60 iwe makabila yote aliyotaja Mayala. Monopoly ya wahaya katika elimu kwa sasa ipo chini kulinganisha na zamani. Kwa sasa wachaga wapo juu, hata wasukuma wamejiongeza sana. Inawezekana nikawa wrong lakini ni maoni yangu kulingana na sehemu nilizopitia kielimu.
 
Labda tuliangalie hili kwa upande mwingine..

Mchagga ni enterpreneural wakati muhaya kakaa zaidi katika corporates na academics, Ukiangalia jamii hizi mbili zinapimaje maendeleo ni tofauti sana ...

Mchagga anaangalia biashara kupata fullfillment na acceptance kubwa katika jamii yake ilhali kwa wahaya hicho si kitu kikubwa kama ukubwa wa elimu, pahala anapokaa na nyadhifa..

Kingine mchagga katapakaa sana Tz lakini ukiangalia diaspora ambao ni expatriates , mchagga hamkuti muhaya.

Hivyo unaipimaje brain power katika jamii hizi mbili Pascal
Top Brain unaipima kwa academic excellence, wasomi wengi, maprofesor na ma top executives ni Wahaya. Brain Power unaipima kwa output ya hiyo kazi ya brain kuyamudu maisha na kupata mafanikio. Wachagga ndio the most successful tribe.
Wametapakaa kuanzia kazi za kisomi hadi shoe shine na wote wana vibanda.
P
 
Ok lakini bado hujanijibu kuhusu perception za hizo jamii mbili katika concept nzima ya maendeleo...

Wachagga ni enterprenuaral na wahaya ni corporate guys (ambapo umekubali ni top excutives pia) na pia katika academics (hii ni katika career wise na si grades wanazopata kama academic rewards) hivyo, katika aspect za maendeleo anazoziangalia muhaya yupo more successful kuliko mchagga..

Hivyo unawezaje kusema kuwa mchagga kamzidi muhaya katika brain power kwa kutumia concept ya enterpreneurship ambayo kwa muhaya si kipaumbele na ni kipaumbele cha mchagga..

Huoni kama itakuwa sawa na kusema brain power ya muhaya ni kubwa kuliko mchaga kwa kutumia corporate world na academic wise kama career na kusahau ni attributes gani za hawa watu hutumia katika kupima maendeleo..

This was my question to you Mr Pascal and i hope you 'll turn your opinions into facts...
 
Success hupimwa kwa development na mafanikio na sio kwa academic top grades, top scores na academic excellence. Wahaya ni vichwa zaidi academically wakati Wachagga ndio the most successful developmental.
Unapima kwa visibility ya developmental landmarks kwa Wahaya na Wachagga.
Naomba tusiuendeleze huu mjadala, wataingia wawamba ngoma and it might turn nasty.
P
 
Labda tuliangalie hili kwa upande mwingine..

Mchagga ni enterpreneural wakati muhaya kakaa zaidi katika corporates na academics, Ukiangalia jamii hizi mbili zinapimaje maendeleo ni tofauti sana ...

Mchagga anaangalia biashara kupata fullfillment na acceptance kubwa katika jamii yake ilhali kwa wahaya hicho si kitu kikubwa kama ukubwa wa elimu, pahala anapokaa na nyadhifa..

Kingine mchagga katapakaa sana Tz lakini ukiangalia diaspora ambao ni expatriates , mchagga hamkuti muhaya.

Hivyo unaipimaje brain power katika jamii hizi mbili Pascal
Thats what I know
 
Ina maana wahaya hawajatapakaa ni sehemu gani bongo hakuna mhaya na je nje ya nchi
Asante kwa ufafanuz mujarabu mkuu,ni kweli mchaga ni akili mingi,anajiongeza anaweza ishi popote n'a akapabadili ndio maana wachaga hufananishwa n'a Israelites,na mchaga huwa Ana kiu ya kuendelea kufanikiwa Kama Ana degree atatamani masters,Kama Ana nyumba 1 atatamani 2
Ila ndugu zangu wahaya yeye akiwa na nyumba mikocheni anajiona bili gate Ila mchaga akiwa na gorofa anasema kibanda
cc
instanbul
 
urithi wa mchaga ni elimu na biashara
tangu enzi na enzi ndio maana mtawala wa jadi wa wachaga mangi mareale alikuwa na degree alioipata UK mwaka 1940
tunavyopata Uhuru Baraza la mawazr walishehen wachaga kibao
pia waliomfadhili mwl JK nyerere nauli za kwenda un kudai Uhuru wachaga nao walikuwemo mfano mzee aikaeli mbowe aliyekuwa akimiliki mahotel ndan na nje ya tz
mchaga anapiga kitabu na anapga maendeleo tofauti na nyie mnapiga kitabu lkn maendeleo ni 0
Do you mean wahaya ni maskini .hivi unajua kwani walivyopatwa na majangwa magu akawaacha Tu .alijua kuwa watu hawa wanaringa Tu na misaada Ila wanauwezo wakujijengea nyumba zao na kusaidiana wao Kwa wao ndo rambirambi alizipiga .ni tofauti na kama earth quake ingetokea mahali pengine tz
 
hahaha mkuu umenivunja mbavu nimecheka kwa sauti hapa hotelini hadi watu wamenisahau
nyie hapa jf si mlikuwa mkililia lia juz hapa mkiomba rambirambi? niwaumbue kwa kufufua thread zenu? hahahaha baada ya jpm kuwakazia ndio mnajibaraguza kuwa mna uwezo? mm naangalia takwimu
mkoa namba 3. kwa umaskini ni kagera Sasa hapo inasemaje?
anyway karibu hapa marangu Moshi tunywe balimi na ndafu kwa kwenda mbele tupo shaz Kilimanjaro imefurika wachaga kutoka dunia nzma tupo ndan ya mkoa tulivu uliobarikiwa na Mungu ,karibu ujionee mandhari nzuri Kama Geneva
karibu ujionee mijengo mgombani pmj na migorofa
ma V8 yamejaa barabaran hadi mji umesimama dah mwaka huu imekuwa funika waitu nyegera iwe omshaija
 
Na kama sio serikali yetu strategically to undermine na marginalise mkoa wa kagera, wahaya wangekuwa mbali sana. Ndo maana walitaka kumpindua Nyerere. Hawa jamaa acha kabisa. Mhaya akikisa fursa atafanya hata utapeli ili atoke.
 
Ina maana wahaya hawajatapakaa ni sehemu gani bongo hakuna mhaya na je nje ya nchi
Ina maana wahaya hawajatapakaa ni sehemu gani bongo hakuna mhaya na je nje ya nchi
tuongee uhalisia sio ushabk mhaya hata Kama katapakaa
lkn hajamfkia kbs mchaga tuanze hapa nchini
hivi kuna kata yoyote ktk tz nzima utamkosa mchaga? Kama sio mtumishi utamkuta ni mfanya biashara tuanze bukoba Yale mamigahawa n'a lodges nyingi pale bukoba unajua zinamilikiwa na wachaga? mfano yule mchaga kwenye mabasi ya Osaka Ana hotel zake 3 pale
achilia mbali wengine ukienda mwanza magorofa kadhaa tunamiliki Kuna ile hotel ya kifahari ya gold crest IPO Kona ya bwiru nayo pia niambie ni wapi hatupo
nyie mpo mmoja mmoja
ukija kwenye diaspora tumewaacha ila sio sana
 
hahaha mkuu umenivunja mbavu nimecheka kwa sauti hapa hotelini hadi watu wamenisahau
nyie hapa jf si mlikuwa mkililia lia juz hapa mkiomba rambirambi? niwaumbue kwa kufufua thread zenu? hahahaha baada ya jpm kuwakazia ndio mnajibaraguza kuwa mna uwezo? mm naangalia takwimu
mkoa namba 3. kwa umaskini ni kagera Sasa hapo inasemaje?
anyway karibu hapa marangu Moshi tunywe balimi na ndafu kwa kwenda mbele tupo shaz Kilimanjaro imefurika wachaga kutoka dunia nzma tupo ndan ya mkoa tulivu uliobarikiwa na Mungu ,karibu ujionee mandhari nzuri Kama Geneva
karibu ujionee mijengo mgombani pmj na migorofa
ma V8 yamejaa barabaran hadi mji umesimama dah mwaka huu imekuwa funika waitu nyegera iwe omshaija
Mkuu ni hapa mkuu karibu na skuli ya rawiya uko kwa wapi mkuu
 
Na kama sio serikali yetu strategically to undermine na marginalise mkoa wa kagera, wahaya wangekuwa mbali sana. Ndo maana walitaka kumpindua Nyerere. Hawa jamaa acha kabisa. Mhaya akikisa fursa atafanya hata utapeli ili atoke.
mhaya na fursa wapi na wapi mhaya yy akiwa na million 5 anajiona bilionea Ila mchaga akiwa na million 10 anataman zifike 50
mchaga hata awe na gorofa anaiita kibanda mhaya Sasa akimilik vyumba viwili tandale utashangaa atakavyo ji proud
Ila namba hazidanganyi
kagera ni mkoa wa tatu kwa umaskini tz kwa mujibu wa nbs,Sasa mmebaki kusema ooh nyerere achen ujinga,mnapenda starehe mno mnategemea mtaendelea?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom