luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,295
- 8,257
matokeo form four 207/18Lazima wachaga watoe povu ๐๐๐๐๐
Kilimanjaro ilikuwa ya 1 Sasa sijui unatambia nn
matokeo form four 207/18Lazima wachaga watoe povu ๐๐๐๐๐
matokeo ya form four 2017/18 namba one ilikuwa Kilimanjaro,kagera ilikuwa ya 9 naona mnajitahidi kutufukuzia hongeren
mkuu nakubaliana na we 99% Ila nakunyima 1% hapo wanaanza wachaga,then wahayaMkuu Britannica, kabila linaloongoza kwa vichwa ni Wahaya, wanafuata Wachagga halafu Wanyakyusa.
Enzi za mkoloni tukifanya mtihani mmoja wa Cambridge, top walikuwa Waganda, Wahaya, Wanyarwanda,Wakikuyu, Wachagga etc, kama sio Mwalimu Nyerere kufuta hii kitu na kuweka different cut off point kwa mikoa fulani, kuna baadhi ya Makabila, shule wangeishia kuisikia tuu, tena kama sio WA missionary kuokoa jahazi kusomesha kila mtu, kuna watu humu wangeishia...
Nafanya utafiti kama ni kula ndizi, kulima kahawa, moist cool climate or
green environment.
Niliwahi kuuliza hili swali humu, watu humu walikuja juu
Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake? - JamiiForums
P
nyie mbatufukuzia nyuma mkuuLuambo makadi Yuko wap
Pepa lilivujaMkuu hawajapendelewa walimu ndio wanaofanya mitihani ova
nyie mnatufukuzia nyuma mkuuLuambo makadi Yuko wap
mnatufukuzia maana mwaka Jana tumeongoza kitaifa form fourLuambo makadi Yuko wap
100%.Mkuu Britannica, kabila linaloongoza kwa vichwa ni Wahaya, wanafuata Wachagga halafu Wanyakyusa.
Enzi za mkoloni tukifanya mtihani mmoja wa Cambridge, top walikuwa Waganda, Wahaya, Wanyarwanda,Wakikuyu, Wachagga etc, kama sio Mwalimu Nyerere kufuta hii kitu na kuweka different cut off point kwa mikoa fulani, kuna baadhi ya Makabila, shule wangeishia kuisikia tuu, tena kama sio WA missionary kuokoa jahazi kusomesha kila mtu, kuna watu humu wangeishia...
Nafanya utafiti kama ni kula ndizi, kulima kahawa, moist cool climate or
green environment.
Niliwahi kuuliza hili swali humu, watu humu walikuja juu
Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake? - JamiiForums
P
It's so unfair.Kwa Tanzania mpaka kesho, cut off point ya Bukoba ipo juu inafuatiwa na Kilimanjaro ambayo nayo imegawanywa kwa upareni kushushwa.
Arusha kabla ya Manyara kumegwa kuna two cut off points kwa shule za watoto wa makabila ya wafugaji iko low na the lowest ni watoto wa kabila la Hadzabe hawa ni endangered species, wanakamatwa kwa nguvu na kufungiwa shule last time wanne walifanikiwa kufika Standard seven, walifeli wote, cut off point kwa shule zao ni kumaliza la 7.
Hao wanne walipelekwa Pugu na kulindwa for 4 years, wote wanne walipata Division 0, wakarudishwa kwao wakiwa civilised wakapewa na nguo za kuwagawia wenzao na Wakawajengea modern fixed houses with modern amenities.
Serikali iliporudi kuwafanyia follow up, walikuta nyumba tupu na hadi nguo zao pia walizivua na kurejea asili yao. I don't know the situation as of now!.
Kiukweli utaratibu huu japo umesaidia kuleta usawa kidogo lakini majanga ni makubwa zaidi kwa taifa kupoteza a big potential ya brilliant brain power at the expense ya vilaza.
P
Lo utachekwa Sana Kwa unayoyandika .hebu tuamie maTo tz Kwa wa form six mwaka huu kijana Anthony mulokozi.hebu nenda udsm mabest students wengi wanatokea wap.bila kusahau asilimia 60 ya maprofesa wote wanatokea bk tena sehemu moja maarufu kama ulaya ndogo.muhaya sifa yake kusoma na kuchimbanyie mnatufukuzia nyuma mkuu
mwaka Jana kitaifa matokeo ya form four Kilimanjaro tumeongoza nyie mlikuwa wa 9 hongereni kwa kutufukuzia mkuu
Kilimanjaro big up
Eti eh nyie ndo mnajifanya mnawafukuzia wahaya siku hiz hebu jaribu kuulizia .sifa juu ya muhaya ni kitabumnatufukuzia maana mwaka Jana tumeongoza kitaifa form four
hongereni kwa kutufukuzia
Kwenye top brain ni Mhaya ila kwenye brain power ni Mchagga ana jua sana kujiongeza, entrepreneurmkuu nakubaliana na we 99% Ila nakunyima 1% hapo wanaanza wachaga,then wahaya
mtazame mchaga ktk general factors elimu,biashara,uchumi je mhaya ataona ndani? hebu fanya simple research
Asante kwa ufafanuz mujarabu mkuu,ni kweli mchaga ni akili mingi,anajiongeza anaweza ishi popote n'a akapabadili ndio maana wachaga hufananishwa n'a Israelites,na mchaga huwa Ana kiu ya kuendelea kufanikiwa Kama Ana degree atatamani masters,Kama Ana nyumba 1 atatamani 2Kwenye top brain ni Mhaya ila kwenye brain power ni Mchagga ana jua sana kujiongeza, interpreter
anaweza kufanya lolote
popote to make money, ndio maana ametapakaa kote. Mhaya anajisikia sana.

Labda tuliangalie hili kwa upande mwingine..Kwenye top brain ni Mhaya ila kwenye brain power ni Mchagga ana jua sana kujiongeza, interpreter
anaweza kufanya lolote
popote to make money, ndio maana ametapakaa kote. Mhaya anajisikia sana.
P
urithi wa mchaga ni elimu na biasharaEti eh nyie ndo mnajifanya mnawafukuzia wahaya siku hiz hebu jaribu kuulizia .sifa juu ya muhaya ni kitabu
kwenye diaspora mhaya anafuata baada ya mchaga,Nina experience ya nje ya nchi wachaga wamejaa tele huko dunian usipime nitaandika thread yenye evidences na Nita ku tagLabda tuliangalie hili kwa upande mwingine..
Mchagga ni enterpreneural wakati muhaya kakaa zaidi katika corporates na academics, Ukiangalia jamii hizi mbili zinapimaje maendeleo ni tofauti sana ...
Mchagga anaangalia biashara kupata fullfillment na acceptance kubwa katika jamii yake ilhali kwa wahaya hicho si kitu kikubwa kama ukubwa wa elimu, pahala anapokaa na nyadhifa..
Kingine mchagga katapakaa sana Tz lakini ukiangalia diaspora ambao ni expatriates , mchagga hamkuti muhaya.
Hivyo unaipimaje brain power katika jamii hizi mbili Pascal
Mzee naona kama unajaribu ku-prove kuwa muhaya yupo chini ya mchagga... hope it isnt in anyway assocciated with inferiority complexkwenye diaspora mhaya anafuata baada ya mchaga,Nina experience ya nje ya nchi wachaga wamejaa tele huko dunian usipime nitaandika thread yenye evidences na Nita ku tag