Kumi bora std seven kagera wamependelewa au ni akili 50% kutoka kagera, mikoa 29 ilobaki nayo 50%

luambo makiadi

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
8,223
2,000
Mkuu Britannica, kabila linaloongoza kwa vichwa ni Wahaya, wanafuata Wachagga halafu Wanyakyusa.

Enzi za mkoloni tukifanya mtihani mmoja wa Cambridge, top walikuwa Waganda, Wahaya, Wanyarwanda,Wakikuyu, Wachagga etc, kama sio Mwalimu Nyerere kufuta hii kitu na kuweka different cut off point kwa mikoa fulani, kuna baadhi ya Makabila, shule wangeishia kuisikia tuu, tena kama sio WA missionary kuokoa jahazi kusomesha kila mtu, kuna watu humu wangeishia...

Nafanya utafiti kama ni kula ndizi, kulima kahawa, moist cool climate or
green environment.
Niliwahi kuuliza hili swali humu, watu humu walikuja juu

Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake? - JamiiForums
P
mkuu nakubaliana na we 99% Ila nakunyima 1% hapo wanaanza wachaga,then wahaya
mtazame mchaga ktk general factors elimu,biashara,uchumi je mhaya ataona ndani? hebu fanya simple research
 
Qwy

JF-Expert Member
Nov 23, 2018
4,519

100%.
 
Qwy

JF-Expert Member
Nov 23, 2018
4,519
2,000
Kwa Tanzania mpaka kesho, cut off point ya Bukoba ipo juu inafuatiwa na Kilimanjaro ambayo nayo imegawanywa kwa upareni kushushwa.

Arusha kabla ya Manyara kumegwa kuna two cut off points kwa shule za watoto wa makabila ya wafugaji iko low na the lowest ni watoto wa kabila la Hadzabe hawa ni endangered species, wanakamatwa kwa nguvu na kufungiwa shule last time wanne walifanikiwa kufika Standard seven, walifeli wote, cut off point kwa shule zao ni kumaliza la 7.
Hao wanne walipelekwa Pugu na kulindwa for 4 years, wote wanne walipata Division 0, wakarudishwa kwao wakiwa civilised wakapewa na nguo za kuwagawia wenzao na Wakawajengea modern fixed houses with modern amenities.

Serikali iliporudi kuwafanyia follow up, walikuta nyumba tupu na hadi nguo zao pia walizivua na kurejea asili yao. I don't know the situation as of now!.

Kiukweli utaratibu huu japo umesaidia kuleta usawa kidogo lakini majanga ni makubwa zaidi kwa taifa kupoteza a big potential ya brilliant brain power at the expense ya vilaza.
P
It's so unfair.
 
instanbul

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
8,636
2,000
nyie mnatufukuzia nyuma mkuu
mwaka Jana kitaifa matokeo ya form four Kilimanjaro tumeongoza nyie mlikuwa wa 9 hongereni kwa kutufukuzia mkuu
Kilimanjaro big up
Lo utachekwa Sana Kwa unayoyandika .hebu tuamie maTo tz Kwa wa form six mwaka huu kijana Anthony mulokozi.hebu nenda udsm mabest students wengi wanatokea wap.bila kusahau asilimia 60 ya maprofesa wote wanatokea bk tena sehemu moja maarufu kama ulaya ndogo.muhaya sifa yake kusoma na kuchimba
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
39,593
2,000
mkuu nakubaliana na we 99% Ila nakunyima 1% hapo wanaanza wachaga,then wahaya
mtazame mchaga ktk general factors elimu,biashara,uchumi je mhaya ataona ndani? hebu fanya simple research
Kwenye top brain ni Mhaya ila kwenye brain power ni Mchagga ana jua sana kujiongeza, entrepreneur
anaweza kufanya lolote
popote to make money, ndio maana ametapakaa kote. Mhaya anajisikia sana.
P
 
DREAMBOY

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
2,019
2,000
Mimi naamini kwa upimaji wa kutumia mitihan tu. Mimi nliwahi kufundisha pale Mwanza private Fulani. Wahaya walikuwa wakiongoza. Yaan summary ilikuwa hivi;
1.wahaya
2.waha
3.wakurya
4.etc.
NB.hizo shule za kagera hawasomi wahaya tu.
 
luambo makiadi

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
8,223
2,000
Kwenye top brain ni Mhaya ila kwenye brain power ni Mchagga ana jua sana kujiongeza, interpreter
anaweza kufanya lolote
popote to make money, ndio maana ametapakaa kote. Mhaya anajisikia sana.
P
Asante kwa ufafanuz mujarabu mkuu,ni kweli mchaga ni akili mingi,anajiongeza anaweza ishi popote n'a akapabadili ndio maana wachaga hufananishwa n'a Israelites,na mchaga huwa Ana kiu ya kuendelea kufanikiwa Kama Ana degree atatamani masters,Kama Ana nyumba 1 atatamani 2
Ila ndugu zangu wahaya yeye akiwa na nyumba mikocheni anajiona bili gate Ila mchaga akiwa na gorofa anasema kibanda
cc

Eyce

JF-Expert Member
Mar 16, 2016
3,405

Labda tuliangalie hili kwa upande mwingine..

Mchagga ni enterpreneural wakati muhaya kakaa zaidi katika corporates na academics, Ukiangalia jamii hizi mbili zinapimaje maendeleo ni tofauti sana ...

Mchagga anaangalia biashara kupata fullfillment na acceptance kubwa katika jamii yake ilhali kwa wahaya hicho si kitu kikubwa kama ukubwa wa elimu, pahala anapokaa na nyadhifa..

Kingine mchagga katapakaa sana Tz lakini ukiangalia diaspora ambao ni expatriates , mchagga hamkuti muhaya.

Hivyo unaipimaje brain power katika jamii hizi mbili Pascal
 
luambo makiadi

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
8,223
2,000
Eti eh nyie ndo mnajifanya mnawafukuzia wahaya siku hiz hebu jaribu kuulizia .sifa juu ya muhaya ni kitabu
urithi wa mchaga ni elimu na biashara
tangu enzi na enzi ndio maana mtawala wa jadi wa wachaga mangi mareale alikuwa na degree alioipata UK mwaka 1940
tunavyopata Uhuru Baraza la mawazr walishehen wachaga kibao
pia waliomfadhili mwl JK nyerere nauli za kwenda un kudai Uhuru wachaga nao walikuwemo mfano mzee aikaeli mbowe aliyekuwa akimiliki mahotel ndan na nje ya tz
mchaga anapiga kitabu na anapga maendeleo tofauti na nyie mnapiga kitabu lkn maendeleo ni 0
 
luambo makiadi

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
8,223
2,000
Labda tuliangalie hili kwa upande mwingine..

Mchagga ni enterpreneural wakati muhaya kakaa zaidi katika corporates na academics, Ukiangalia jamii hizi mbili zinapimaje maendeleo ni tofauti sana ...

Mchagga anaangalia biashara kupata fullfillment na acceptance kubwa katika jamii yake ilhali kwa wahaya hicho si kitu kikubwa kama ukubwa wa elimu, pahala anapokaa na nyadhifa..

Kingine mchagga katapakaa sana Tz lakini ukiangalia diaspora ambao ni expatriates , mchagga hamkuti muhaya.

Hivyo unaipimaje brain power katika jamii hizi mbili Pascal
kwenye diaspora mhaya anafuata baada ya mchaga,Nina experience ya nje ya nchi wachaga wamejaa tele huko dunian usipime nitaandika thread yenye evidences na Nita ku tag
 
Eyce

JF-Expert Member
Mar 16, 2016
3,405
2,000
kwenye diaspora mhaya anafuata baada ya mchaga,Nina experience ya nje ya nchi wachaga wamejaa tele huko dunian usipime nitaandika thread yenye evidences na Nita ku tag
Mzee naona kama unajaribu ku-prove kuwa muhaya yupo chini ya mchagga... hope it isnt in anyway assocciated with inferiority complex

Usiache kunitag lakini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom