Kumhamisha Mbunge Humphrey Polepole kutoka Kamati ya kudumu ya Utawala bora na Serikali za Mitaa kumelenga nini?

Kwani Spika ana madaraka kuchagua mwenyekiti wa Kamati?

Mwenyekiti wa Kamati anachaguliwa na wajumbe siyo Job
Job anapanga kamati, kuhamisha kamati hawezi hama na uenyekiti. Hoja ilikuwa kumvua uenyekiti na kama lingefanywa na wanakamati ingeleta athali kwa CCM, wakaona ahamishwe kamati.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom