kumfunga kiongozi wa upinzani wa uganda kutaondoa tatizo au kutaongeza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kumfunga kiongozi wa upinzani wa uganda kutaondoa tatizo au kutaongeza?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kituro, May 19, 2011.

 1. k

  kituro Senior Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Dr. Kizza Besigye ambae ni kiongozi wa upinzani Uganda, walivyomfunga je tatizo linaweza kwisha kwa hivo tu?
  [​IMG]
   
 2. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tatizo gani unaloongelea mkuu? Fafanua nijue pa kuanzia mchango wangu
   
 3. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mi nimeicheki 2 picha nikakumbukia siku ile walivokuwa wakimuonea, ila mi naamin siku zote mpinzani ni mleta maendeleo.
   
Loading...