Kumfikisha kileleni mke (Wife) kila siku HAIWEZEKANI; labda mara moja moja lakini siyo kila siku NEVER

Upo sahihi kwa kiasi chake,
Nilikuwa Kabla sijaanza sex na mwanamke. nilikiwa natumia mwezi mzima kumuandaa.

kumuandaa ilikuwa Ina ambatana na mambo haya.

*itakuwa pamoja na kumsoma SAIKOLOJIA yake
*Kutomkwaza kwa lolote lile Ndani ya mwezi mzima
*Kuongea naye kwa upole na kumjali
*kuwa naye karibu na kumtoa hata maeneo tofauti ya Utulivu na ya ucheshi.
*Kusoma naye vitabu,kucheki muvi,kula naye kwa kulishana,kupika wote na kuosha,kufua kila kitu pamoja
*Kumletea zawadi,Nguo na maua+mapambo mbali mbali
*Kucheza pamoja
*Na mengineyo mki Ni Pm nitawaambia...

ilikuwa mwezi mzima nikimuandaa

siku ya show nilikuwa sina papara
nilikuwa na,mfungia sehemu tutashinda humo wiki nzima pasipo kutoka nje Wala kuwasiliana na watu
(it's like Eden).

humo tutashinda tukiwa watupu,na c muda wote tutakuwa tuna sex...haha sometimes tulikuwa tunataniana na ucheshi Mwingi,kucheza na kupigana ki mahaba etc
Hapo kidume nilikuwa Kabla Sija fanya kitu Basi atakuwa kashapizi zaidi ya Mara 1000..
Yule mwanamke alikuwa ana enjoy sanaa..
ilikuwa tunafanya wiki nzima ya show.
baada ya hapo,tunaachana miezi mi 3 au 2 bila kugusana zaidi ya ku, dendeka TU
Lengo ilikuwa Ni ku recover energy ambazo tulipoteza,coz ya mikito ya non stop 24/7

Too sadly Yule mwanamke,Nilipotezana Naye kwa njia ya kutatanisha Hadi Leo hii yapita miaka mwak 1 Sasa.
Nadhani mahali popote alipo atakuwa ana nikumbuka Sana
Now napumzika,Kabla sijarudi kwa mwanamke mwingine Tena

Wanaume wenzangu,wanadhani kufanya mapenzi kila siku au week Ni sifa
hahaha na wakati huo ki,Moja chalii pasipo kumridhisha mwezi wake.

Mapenzi Ni zaidi ya kungonoka, Sex Ni kipande TU katika mapenzi
mwanamke unamridhisha kwanza kwenye matendo na kumuandaa then ukienda naye Chumbani hutopata shida.yani wewe utakuwa una slide TU

nyie acheni,Tena mkiwa mnaandaana unaweza piga show kuanzia SAA 1 asubuhi Hadi SAA 7 usimwage hata kidogo ila yeye akabaki ku,fika juuuuuuu.

Ushauri wangu
Muwe mnatenga wiki maalumu la kungonoka na wenza wenu,na siku zinginezo tafuteni Nguvu Huku mkiwa mnaandaana na kutafuta pesa.

mkifanya kila siku mtasababisha wear and tear.

Sent using Jamii Forums mobile app
NIMEKUELEWA SANA!
yani mno!
UJUE ZAIDI YA SANA!
 
NIMEKUELEWA SANA!
yani mno!
UJUE ZAIDI YA SANA!
Amesema alipotezana nae kwenye mazingira ya kutatanisha na Sasa hivi yupo peke yake!
Kama kweli umemuelewa ZAIDI YA SANA hebu muahidi chochote Mkuu😂😂😂
 
dah noma sana aisee kama huna mchepuko unaweza jihisi unamatatizo/....ila shangaa ukikamata mchepuko unaupiga hata vi4 mke kimoko ushachoka dah
 
Amesema alipotezana nae kwenye mazingira ya kutatanisha na Sasa hivi yupo peke yake!
Kama kweli umemuelewa ZAIDI YA SANA hebu muahidi chochote Mkuu😂😂😂
AHAHAHHAHAHHAHHAA mi wangu sijampoteza Mkuuu!
NILIMAANISHA HIKI ALICHOELEZEA NIMEKIELEWA MNO!
 
Aisee kumbe wengine tuna neema tunapata vilele vyote kwa waume zetu kibo, mawenzi na shira napata kila ninapoingia kwenye 18
Ukirudi home leo mchumu mumeo na kumshukuru kwa kutokuwa mbinafsi kwako, anahakikisha unapata raha hadi ufike kibo.
 
Upo sahihi kwa kiasi chake,
Nilikuwa Kabla sijaanza sex na mwanamke. nilikiwa natumia mwezi mzima kumuandaa.

kumuandaa ilikuwa Ina ambatana na mambo haya.

*itakuwa pamoja na kumsoma SAIKOLOJIA yake
*Kutomkwaza kwa lolote lile Ndani ya mwezi mzima
*Kuongea naye kwa upole na kumjali
*kuwa naye karibu na kumtoa hata maeneo tofauti ya Utulivu na ya ucheshi.
*Kusoma naye vitabu,kucheki muvi,kula naye kwa kulishana,kupika wote na kuosha,kufua kila kitu pamoja
*Kumletea zawadi,Nguo na maua+mapambo mbali mbali
*Kucheza pamoja
*Na mengineyo mki Ni Pm nitawaambia...

ilikuwa mwezi mzima nikimuandaa

siku ya show nilikuwa sina papara
nilikuwa na,mfungia sehemu tutashinda humo wiki nzima pasipo kutoka nje Wala kuwasiliana na watu
(it's like Eden).

humo tutashinda tukiwa watupu,na c muda wote tutakuwa tuna sex...haha sometimes tulikuwa tunataniana na ucheshi Mwingi,kucheza na kupigana ki mahaba etc
Hapo kidume nilikuwa Kabla Sija fanya kitu Basi atakuwa kashapizi zaidi ya Mara 1000..
Yule mwanamke alikuwa ana enjoy sanaa..
ilikuwa tunafanya wiki nzima ya show.
baada ya hapo,tunaachana miezi mi 3 au 2 bila kugusana zaidi ya ku, dendeka TU
Lengo ilikuwa Ni ku recover energy ambazo tulipoteza,coz ya mikito ya non stop 24/7

Too sadly Yule mwanamke,Nilipotezana Naye kwa njia ya kutatanisha Hadi Leo hii yapita miaka mwak 1 Sasa.
Nadhani mahali popote alipo atakuwa ana nikumbuka Sana
Now napumzika,Kabla sijarudi kwa mwanamke mwingine Tena

Wanaume wenzangu,wanadhani kufanya mapenzi kila siku au week Ni sifa
hahaha na wakati huo ki,Moja chalii pasipo kumridhisha mwezi wake.

Mapenzi Ni zaidi ya kungonoka, Sex Ni kipande TU katika mapenzi
mwanamke unamridhisha kwanza kwenye matendo na kumuandaa then ukienda naye Chumbani hutopata shida.yani wewe utakuwa una slide TU

nyie acheni,Tena mkiwa mnaandaana unaweza piga show kuanzia SAA 1 asubuhi Hadi SAA 7 usimwage hata kidogo ila yeye akabaki ku,fika juuuuuuu.

Ushauri wangu
Muwe mnatenga wiki maalumu la kungonoka na wenza wenu,na siku zinginezo tafuteni Nguvu Huku mkiwa mnaandaana na kutafuta pesa.

mkifanya kila siku mtasababisha wear and tear.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha mbwembwe
 
Ni kweli wanawake tukiwa na stress ni bora mkajikojolea zenu tuu maana mtatuchubua mkisema mnataka tufike
 
Back
Top Bottom