Kumfikisha kileleni mke (Wife) kila siku HAIWEZEKANI; labda mara moja moja lakini siyo kila siku NEVER

Ahahaha upo jukwaa la wakubwa?
SEMA bahati mbaya Mimi mvivu wa kuandika.mada

ukitaka kufaidi
Uliza maswali yoyote kuhusu ejaculation na Orgams kwa mwanamke na mwanaume.

Na nondo hatari
Au Kama unaye rafiki mthailand au Buddhist unaweza muuliza lolote kuhusu sex Mengineyo atakufundisha mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba uanzishe topic kabisa ili tufaidi uhondo zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahahaaa,bangi kwa pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Yah ushawahi kuona,ma Rasta wanavyofanya ibada yao na kuzunguka pamoja wakiwa na bangi?

ule msisimko na hamasa wanayoipata inakuwa c ya Nchi hii.
Sasa ibada za marasta na ibada ya sex kwa wale ma Buddhism Ni zaidi Yake

kuna mambo,ambayo hata ukiyasimulia huwezi elezea msisimko wake unavyokuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha yenu yalikua magumu sana
Upo sahihi kwa kiasi chake,
Nilikuwa Kabla sijaanza sex na mwanamke. nilikiwa natumia mwezi mzima kumuandaa.

kumuandaa ilikuwa Ina ambatana na mambo haya.

*itakuwa pamoja na kumsoma SAIKOLOJIA yake
*Kutomkwaza kwa lolote lile Ndani ya mwezi mzima
*Kuongea naye kwa upole na kumjali
*kuwa naye karibu na kumtoa hata maeneo tofauti ya Utulivu na ya ucheshi.
*Kusoma naye vitabu,kucheki muvi,kula naye kwa kulishana,kupika wote na kuosha,kufua kila kitu pamoja
*Kumletea zawadi,Nguo na maua+mapambo mbali mbali
*Kucheza pamoja
*Na mengineyo mki Ni Pm nitawaambia...

ilikuwa mwezi mzima nikimuandaa

siku ya show nilikuwa sina papara
nilikuwa na,mfungia sehemu tutashinda humo wiki nzima pasipo kutoka nje Wala kuwasiliana na watu
(it's like Eden).

humo tutashinda tukiwa watupu,na c muda wote tutakuwa tuna sex...haha sometimes tulikuwa tunataniana na ucheshi Mwingi,kucheza na kupigana ki mahaba etc
Hapo kidume nilikuwa Kabla Sija fanya kitu Basi atakuwa kashapizi zaidi ya Mara 1000..
Yule mwanamke alikuwa ana enjoy sanaa..
ilikuwa tunafanya wiki nzima ya show.
baada ya hapo,tunaachana miezi mi 3 au 2 bila kugusana zaidi ya ku, dendeka TU
Lengo ilikuwa Ni ku recover energy ambazo tulipoteza,coz ya mikito ya non stop 24/7


Too sadly Yule mwanamke,Nilipotezana Naye kwa njia ya kutatanisha Hadi Leo hii yapita miaka mwak 1 Sasa.
Nadhani mahali popote alipo atakuwa ana nikumbuka Sana
Now napumzika,Kabla sijarudi kwa mwanamke mwingine Tena

Wanaume wenzangu,wanadhani kufanya mapenzi kila siku au week Ni sifa
hahaha na wakati huo ki,Moja chalii pasipo kumridhisha mwezi wake.

Mapenzi Ni zaidi ya kungonoka, Sex Ni kipande TU katika mapenzi
mwanamke unamridhisha kwanza kwenye matendo na kumuandaa then ukienda naye Chumbani hutopata shida.yani wewe utakuwa una slide TU

nyie acheni,Tena mkiwa mnaandaana unaweza piga show kuanzia SAA 1 asubuhi Hadi SAA 7 usimwage hata kidogo ila yeye akabaki ku,fika juuuuuuu.

Ushauri wangu
Muwe mnatenga wiki maalumu la kungonoka na wenza wenu,na siku zinginezo tafuteni Nguvu Huku mkiwa mnaandaana na kutafuta pesa.

mkifanya kila siku mtasababisha wear and tear.




Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,mwanamke ukimfikisha kileleni haswa.Yeye popote kwenye mwili wake ataona Kama ana shots na ataona utamu wa haja
watu wengi hawawafikishi wenzi wao kileleni in deep.

elimu ya kumfikisha mwanamke kileleni,nilipewa na mzee mmoja wa ki Buddha ambaye alikuwa kiongozi wa dini yao.

Yaah yani Kuna ule utamu anaupata kana kwamba akiona unaingiza utampotezea Utamu.

bao Moja la haja linaweza kudumu wiki nzima akawa bado ana sense ule utamu.

Sisi tulikuwa tuna,Ngonoka kwa staili hiyo na alikuwa ana enjoy Sanaa
mwezi mzima kutokana na zile dozi bado alikuwa anahisi utamu yaani inafika extent akikumbuka TU anajikojolea (ku, mwaga)



Sent using Jamii Forums mobile app
Haya maneno yana ukwel lkn kuna watu watabisha...ni kweli kumfikisha mwanamke kileleni kila siku haiwezekan hata mwanaume ukate mauno ya paka...ila hilo la kupigwa show ya maana mpaka utamu unaendlea kuusikia mpak siku za mbelen ni kwel kabisaaa.... !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka mpo ndani ya ndoa takatifu unaweza kumuomba Mungu akakusaidia kufanya tendo la ndoa kikamilifu kila mtakapo kuanza, sali kimoyomoyo tu maana ni tendo takatifu na mpo ndani ya ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwa kama mwanamke tena alie kwenye ndoa nakubaliana na mtoa mada kwa baadhi na baadhi sikubaliani. Ni kweli kwa mwanamke kufika kileleni kiiiila cku sio rahis mana hisia zetu huwa ziko mbali kidogo na pia tendo kwetu ni kitu tunakinai upesi kama una mwanaume anaetaka mara kwa mara atakukinaisha na utakuwa unafanya kumridhisha tu na sio kuinjoi unless asafiri arud, na pia changamoto za maisha unatoka kazn jikoni kuna kusubiri, mara watoto hv hapo bado madudu ya housegirl, lakn pia mkiwa na interval labda mna sex kila baada ya siku 3 au 4 mwanamke kufika inawezekana lakn sio kama hv alivyosema mtoa mada kwamba ili mwanamke aridhishwe kusiwe na vitu alivyoorodhesha hapo juu duh haiko kiuhalisia mana maisha yetu yamezungukwa na hizo changamoto azikwepeki cha muhimu upendo na umoja tu kwenye ndoa. Mkipendana umoja wenu ndo faraja yenu through anything that life may bring

Nadhani hii comment ilitakiwa iwe ya kufunga huu mjadala Waungwana, ni ukweli usio na shaka kwamba shughuli hii Muhimu inahitaji uwe na msawazo ulio angalau na uwiano sawa kati ya akili, hisia, mwili na saikolojia ya wafanyaji wa shughuli husika.

Msawazo huu wa akili, hisia, mwili na saikolojia huweza "kutingishwa" kiurahisi sana na kuharibu msawazo wake kirahisi sana kwa mambo mengi sana ikiwamo wasiwasi utakaosababishwa na jambo lolote lile iwe unawaza kodi, hujakula vizuri, mmenuniana na mwenzi wako, sijui gari lako ni bovu, sijui mlikorofishana na mfanyakazi mwenzio na kadhalika.

Pia kuna changamoto ya mazingira ya uwanja unaotumika katika kufanya shughuli pendwa na kibaya zaidi huwa ni mazoea kati ya wenza ambayo huua ule "mzuka" wa shughuli kiujumla na kujikuta kila mtu akifanya tu alimradi atimizie wajibu wake. Hapa huwa ni ngumu sana kwa wanawake kufika hitimisho la shughuli, Aghalabu wanaume hufikia hapo kutokana na maumbile yao ya kibaiolojia kuwawezesha kufika huko kiurahisi zaidi.

Naambatanisha na kitabu kinachoitwa "HOW SEX WORKS" kimeandikwa kwa lugha ya kimombo kwa anayeweza kukisoma kina elimu ya kutosha sana kuhusu hii shughuli katika utofauti wa mwanaume na mwanamke kimaumbile.
 

Attachments

  • How Sex Works.pdf
    11.8 MB · Views: 86
Back
Top Bottom