Kumfikisha kileleni mke (Wife) kila siku HAIWEZEKANI; labda mara moja moja lakini siyo kila siku NEVER


D

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Messages
4,180
Points
2,000
D

dmkali

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2014
4,180 2,000
Kumekuwepo na promotion nyingi sana kunadi dawa za nguvu za kiume;

Ukweli ni kwamba hili tatizo siyo kubwa kama jamii inavyokaririshwa; wanaume tupo fit kitandani kwa zaidi ya asilimia 95% ukiachilia mbali wale machoko.
kwanza ifahamike kwamba ziko siku chache maalum ambazo mwanamke ndizo siku nzuri za kumwingilia tofauti na zile za siku zake!

Tatizo la nguvu za kiume linachangiwa na kulazimisha kufanya mapenzi kila siku, huwezi kumlidhisha mkeo (wife) kila siku haiwezekani labda awe bado MPYA ama katoka safari siku hiyo vinginevyo haiwezekani kwasababu; Lile tendo la kumfikisha mkeo kileleni linajumuisha mambo mengi sana ambayo kwa kila siku mwanaume mtaftaji huwezi kuyatimiza, Ili tendo lifanikiwe kwa 100% nilazima;
 • Takribani saa 3 kabla ya tendo wote muwe na lengo la kujamiiana bdae! (mnaweza anza kuchati mkiwa hata bado kazini kuandaana)
 • Mmoja wenu asiwe kagombana na mtu masaa 8 kabla ya tendo.
 • Muwe mmekula vizuri nusu saa kabla ya tendo
 • Mwanamke asiwe na mæzïVuzi marefu
 • Usiwe unadaiwa kodi ya nyumba
 • Gari unayotumia kila siku iwe nzima
 • usiwe umeandikiwa notification na traffic kwa siku hiyo
 • Tanesco wasikate Umeme dakika 20 kabla ya tendo.
 • mitungi ya gas na chakula kiwepo cha kutosha
 • Kitanda kiwe kimetandikwa vizuri hata kubadilishwa uelekeo.
 • Uwe umemuahidi zawadi au offer yoyote mkeo siku hiyo
 • Usiwe umetizama rangi inayokukera au kusikiliza Chanel usiyoipenda saa moja kabla ya tendo n.k
KUTIMIZA HAYO YOTE KILA SIKU LABDA MJIFUNGIE NDANI KAMA HONEYMOON

Hata ma-bachela huwa wanamzuka wa tendo kwa demu ndani ya wiki moja tu baada ya hapo hutafta kila mbinu ya kumuondoa!!

NDANI YA NDOA KUMFIKISHA KILELENI MWANAMKE KILA SIKU SIYO RAHISI HATA KAMA UNA UUME MKUBWA KAMA KOMBEO
 
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
566
Points
1,000
Age
23
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
566 1,000
Hii itabidi iwe subtopic

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaha upo jukwaa la wakubwa?
SEMA bahati mbaya Mimi mvivu wa kuandika.mada

ukitaka kufaidi
Uliza maswali yoyote kuhusu ejaculation na Orgams kwa mwanamke na mwanaume.

Na nondo hatari
Au Kama unaye rafiki mthailand au Buddhist unaweza muuliza lolote kuhusu sex Mengineyo atakufundisha mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Messages
2,019
Points
2,000
Age
25
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2016
2,019 2,000
Ahahaha upo jukwaa la wakubwa?
SEMA bahati mbaya Mimi mvivu wa kuandika.mada

ukitaka kufaidi
Uliza maswali yoyote kuhusu ejaculation na Orgams kwa mwanamke na mwanaume.

Na nondo hatari
Au Kama unaye rafiki mthailand au Buddhist unaweza muuliza lolote kuhusu sex Mengineyo atakufundisha mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba uanzishe topic kabisa ili tufaidi uhondo zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
566
Points
1,000
Age
23
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
566 1,000
Ahahahahaaa,bangi kwa pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Yah ushawahi kuona,ma Rasta wanavyofanya ibada yao na kuzunguka pamoja wakiwa na bangi?

ule msisimko na hamasa wanayoipata inakuwa c ya Nchi hii.
Sasa ibada za marasta na ibada ya sex kwa wale ma Buddhism Ni zaidi Yake

kuna mambo,ambayo hata ukiyasimulia huwezi elezea msisimko wake unavyokuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
blackcornshman

blackcornshman

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
1,965
Points
2,000
blackcornshman

blackcornshman

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
1,965 2,000
Hizi nyuzi za kufikishana kileleni zimejaa uwongo mwingi sana.
 
Akwota

Akwota

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2016
Messages
354
Points
250
Age
49
Akwota

Akwota

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2016
354 250
Uzuri wenyewe sio dhambi kutokumfikisha mwanamke kileleni kila siku,
Wanawake wengi huishia kusokomezwa mabondeni badala ya kileleni.

Maendeleo hayana chama


Sent from Nokia 7 Plus
 
Tatigha

Tatigha

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Messages
1,617
Points
2,000
Tatigha

Tatigha

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2017
1,617 2,000
Maisha yenu yalikua magumu sana
Upo sahihi kwa kiasi chake,
Nilikuwa Kabla sijaanza sex na mwanamke. nilikiwa natumia mwezi mzima kumuandaa.

kumuandaa ilikuwa Ina ambatana na mambo haya.

*itakuwa pamoja na kumsoma SAIKOLOJIA yake
*Kutomkwaza kwa lolote lile Ndani ya mwezi mzima
*Kuongea naye kwa upole na kumjali
*kuwa naye karibu na kumtoa hata maeneo tofauti ya Utulivu na ya ucheshi.
*Kusoma naye vitabu,kucheki muvi,kula naye kwa kulishana,kupika wote na kuosha,kufua kila kitu pamoja
*Kumletea zawadi,Nguo na maua+mapambo mbali mbali
*Kucheza pamoja
*Na mengineyo mki Ni Pm nitawaambia...

ilikuwa mwezi mzima nikimuandaa

siku ya show nilikuwa sina papara
nilikuwa na,mfungia sehemu tutashinda humo wiki nzima pasipo kutoka nje Wala kuwasiliana na watu
(it's like Eden).

humo tutashinda tukiwa watupu,na c muda wote tutakuwa tuna sex...haha sometimes tulikuwa tunataniana na ucheshi Mwingi,kucheza na kupigana ki mahaba etc
Hapo kidume nilikuwa Kabla Sija fanya kitu Basi atakuwa kashapizi zaidi ya Mara 1000..
Yule mwanamke alikuwa ana enjoy sanaa..
ilikuwa tunafanya wiki nzima ya show.
baada ya hapo,tunaachana miezi mi 3 au 2 bila kugusana zaidi ya ku, dendeka TU
Lengo ilikuwa Ni ku recover energy ambazo tulipoteza,coz ya mikito ya non stop 24/7


Too sadly Yule mwanamke,Nilipotezana Naye kwa njia ya kutatanisha Hadi Leo hii yapita miaka mwak 1 Sasa.
Nadhani mahali popote alipo atakuwa ana nikumbuka Sana
Now napumzika,Kabla sijarudi kwa mwanamke mwingine Tena

Wanaume wenzangu,wanadhani kufanya mapenzi kila siku au week Ni sifa
hahaha na wakati huo ki,Moja chalii pasipo kumridhisha mwezi wake.

Mapenzi Ni zaidi ya kungonoka, Sex Ni kipande TU katika mapenzi
mwanamke unamridhisha kwanza kwenye matendo na kumuandaa then ukienda naye Chumbani hutopata shida.yani wewe utakuwa una slide TU

nyie acheni,Tena mkiwa mnaandaana unaweza piga show kuanzia SAA 1 asubuhi Hadi SAA 7 usimwage hata kidogo ila yeye akabaki ku,fika juuuuuuu.

Ushauri wangu
Muwe mnatenga wiki maalumu la kungonoka na wenza wenu,na siku zinginezo tafuteni Nguvu Huku mkiwa mnaandaana na kutafuta pesa.

mkifanya kila siku mtasababisha wear and tear.




Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
gwijimimi

gwijimimi

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2011
Messages
6,961
Points
2,000
gwijimimi

gwijimimi

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2011
6,961 2,000
Sijaona uhusiano wa.kumfikisha mwanamke kileleni na hayo masharti yoote hado ya tanesko kukata umeme
Otherwise hujui unalolifanya ukiwa on closed door

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SPYMATE

SPYMATE

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2013
Messages
905
Points
500
Age
39
SPYMATE

SPYMATE

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2013
905 500
Kweli kabisa, unaweza kujiona fala kwenye sex kumbe ni chai tu tunapeana

Sent using Jamii Forums mobile app
Afu nimeuliza hakuna hata aliyenijibu huko kileleni wakifika wadada wanakuwaje na je utajua vipi kama wamefika?
Si wake wala waume waliojitoa kimaso maso kujibu kwa maana kwamba tunapigwa kamba tu hapa
 
uujn

uujn

Member
Joined
Mar 24, 2019
Messages
29
Points
45
uujn

uujn

Member
Joined Mar 24, 2019
29 45
Mkuu,mwanamke ukimfikisha kileleni haswa.Yeye popote kwenye mwili wake ataona Kama ana shots na ataona utamu wa haja
watu wengi hawawafikishi wenzi wao kileleni in deep.

elimu ya kumfikisha mwanamke kileleni,nilipewa na mzee mmoja wa ki Buddha ambaye alikuwa kiongozi wa dini yao.

Yaah yani Kuna ule utamu anaupata kana kwamba akiona unaingiza utampotezea Utamu.

bao Moja la haja linaweza kudumu wiki nzima akawa bado ana sense ule utamu.

Sisi tulikuwa tuna,Ngonoka kwa staili hiyo na alikuwa ana enjoy Sanaa
mwezi mzima kutokana na zile dozi bado alikuwa anahisi utamu yaani inafika extent akikumbuka TU anajikojolea (ku, mwaga)



Sent using Jamii Forums mobile app
Haya maneno yana ukwel lkn kuna watu watabisha...ni kweli kumfikisha mwanamke kileleni kila siku haiwezekan hata mwanaume ukate mauno ya paka...ila hilo la kupigwa show ya maana mpaka utamu unaendlea kuusikia mpak siku za mbelen ni kwel kabisaaa.... !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bro_A

bro_A

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2015
Messages
1,168
Points
2,000
bro_A

bro_A

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2015
1,168 2,000
Kaka mpo ndani ya ndoa takatifu unaweza kumuomba Mungu akakusaidia kufanya tendo la ndoa kikamilifu kila mtakapo kuanza, sali kimoyomoyo tu maana ni tendo takatifu na mpo ndani ya ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,285,016
Members 494,369
Posts 30,847,424
Top