Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio jibu zuri. Heri aliyemuuliza kwa nini hakuhoji pale palenenda kashtaki polisi.
Samahani kumbe wahusika wa hiyo hospitali wote ni wagonjwa?!!!Nimuulize mgonjwa mwenzangu maswala ya kiutawala ya hospital?
Umezidiwa sana mkuu hadi ukashindwa kuwauliza wahusika?
Subiri usiondoke ngoja niende nikaangalie ninauhakika wa kukuletea jibu.Habari wandugu,nimefika job asubuhi nikaona siko poa nikaamua kutoka kwenda pale Tumaini hospital ila nilichokikuta kimenishangaza hakuna huduma na amsha amsha za zamani wamepatwa na nini?
Itakuwa anataka ubuyu
hahitaji majibu rasmi
Si unajua wabongo
sureHakuna staff ewe mwanafunzi wa memkwa yaani kwa kifupi hakuna activities za kiofisi zinaendelea au unafikiri nimeeuliza tu humu? Anyway nimepata jibu jamaa wamefirisika
akikujibu vibaya usikimbiie kushitaki kwa mods!nenda kashtaki polisi.